Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001

Ndo maana alikuwa anaiba kura alijua ccm ikianguka watampeleka jela .
Marehemu ndo alikuwa mbabe wa CCM. Huyu ndo alikuwa anatoa amri hadi kwa wenyeviti wa tume wabadirishe matokeo na kuwapa ushindi CCM. Alifanya hivyo mwaka 2000 Zanzibar na hata mwaka 2015. Ni busara tu za Maalim za diplomasia za Kikwete ziliepusha ya 2001 kutokea tena 2015 Zanzibar baada ya Jecha kuweka mpira kwapani.

Ndo mana mwishoni alikuwa anajutia sana na nafikiri ndo sababu ya kutaka Tume Huru kwenye kitabu chake.

Kwa madhira tuliyopitia Tanzania Mkapa ana asilimia 70 ya mchango kwa sababu hata Magu ni yeye ndo aling’ang’ania awe raisi huku akijua hana uwezo. Matokeo yake ameyaona kabla hajafa maana Magu anapata shida kuanzia kuongoza Chama hadi nchi
 
Truly Rip ,Mungu amaptie haki yake.
 
Dunia ni tambara bovu na watu wake ni maji yenye tope. Jadili kauli hii kwa Mifano mitano
 
Zanzibar walikianzisha baada ya mkapa kupoka ushindi wa CUF kwenye uchaguz mkuu wa 2000. Jamaa akapeleka wanajeshi na ffu kutoka bara kwenda kuwakazimisha. Taarifa zinasema zaidi ya wazanzibar 60 waliuawa na polisi
Hata hujui kitu
 
eti ndio anasifiwa, aisee bongo tumelogwa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom