Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

Sio waziri wa habari ni Waziri wa mambo ya ndani, E. Nchimbi
 
Moja ya silaha kubwa dhidi ya serikali hii na vibaraka vyake ni kuizomea kwa nguvu zote!

Hata polisi wamenywea baada ya kuzomewa kwa nguvu zote na waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla kutokana na kifo cha Mwangosi!
 
Hivi kwann hamuwi wawazi kwa kusema polisi ndio wameuwa mnaishia kusema wanasadikiwa mnaogopa nini wakati picha kwa ushahidi.. Mimi ndio maana huwa namkubali saed kubenea tu
-at least kwayu mhariri wa nipashe nmemuona laivu akisema kuwa mauaji yanayofanywa na polisi kwa raia yakomeshwe
ndiyo tumetoka hapa dtv
UPDATE ndiyo sasa tunaindia jangwani
 
Weweeee katata huyo magamba hao hoo hoo kubwa jinga hilooo eeee! Unataka kusema wamefanya hivi aaa waandish sio hivyo mngemwacha labda alikuwa anakuja kutangaza anaachia ngazi.
 
Mbona habari imekaa kama ulikuwa unakimbizwa au na wewe umetimuliwa, tuambie ilikuwaje wapi na kwa nini?
 
Wakiuwa wote atwahutubia akina nani? heri aende akaiutubie ofisi yake na Polisisiem wake!. Ovyo kweli kweli.
 
waandishi mnaandamana tena DSM mpaka saa hii hakuna picha hata moja ... mhhhhh ... kuna ueledi hapa
 
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.

na waziri nchimbi naye wanamtimua sasa hivi wakimzomea aibu kweli
 
Nchimbi kafukuzwa kwa aibu na waandishi wahabari wanasema yeye kaja kuwapokea kama nani wakati hawajamwalika
- yeye amegoma kuondoka, sasa hapa fujo tu angalieni channel 10 laivu
 
Maandamano hayo itapendeza kama mkishinikiza RPC akamatwe na kufikishwa mahakamani!!! Then IGP na Nchimbi wajiuzuru!
 
safi sana huyo nchimbi anataka awaeleze nini waandishi? ataweza kumrudisha mwandishi wao aliyeuawa? na huyo dr mukangara sijawahi ona an incompetent minister in the history of tz kama huyo...JK sijui hua anawatoaga wapi mawaziri wake...siku ziishe jamani such ppo watolewe serikalini
 
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.

Huyu waziri alikuwa amealikwa hapo? Aluta continua
 
Huyu Nchimbi anaongea nini sasa?
Eti anabwabwaja ya kwmb maisha ya mtanzania inaheshimika!

Jamani maisha yetu yanaheshimika jamani??
 
Hebu muhojini huyo waziri mkimrekodi live kwanini RPC hajakamatwa? Mbona picha na video ziko wazi kabisa kwanini hakuna hatua hadi sasa mambo yanaenda kwa siri while mauaji yamefanyika mchana kweupe tena na Polisi? Msimuache hivi hivi pateni ushahidi zaidi wa hawa wanasiasa feki!
 
Back
Top Bottom