Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
jamani serikali ya ccm inajaribu kujikosha kupitia nchimbi lakini waandishi wamemfukuza.
Ni aibu kwa kweli.
Ni aibu kwa kweli.
Waziri wa habari amefika Jangwani kuongea na waandishi wa habari walioandamana kwa ajili ya kifo cha Mwangosi lakini amezomewa vibaya, na walipoulizwa waandishi ni wangapi wanataka awahutubie wote wamemkataa, ikabidi aondoke kwa aibu kubwa.
Naskia baadhi ya mikoa yamepigwa marufuku
niliangalia habari juzi jumapili E-TV sikuamini macho yango lakini nimesikia habari hii ikirudiwa leo asubuhi na BBC. Kwa sasa nchi za Kusini na hasa South Africa zimeiweka Tanzania katika nchi za kigaidi na yale mashambulio waliokuwa wakifanyiwa wageni hapo awali sasa hivi yanaelekezwa kwa Waethiopia, Somalia na Watanzania ...amini usiami ndipo hapo tulipofikia!Huyu Nchimbi anaongea nini sasa?
Eti anabwabwaja ya kwmb maisha ya mtanzania inaheshimika!
Jamani maisha yetu yanaheshimika jamani??
weka tunehatumtaki! aondoke! hatumtaki oandoke! hatumtaki aondoke!!
hii ni nyimbo anaimbiwa nchimbi na waandishi wa habari