Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Mmetuaid wenyewe maisha bora 2nayadai mnaleta vikwazo mlijua hatvadai eee! 2tadai kwa njia yoyote na ndo ivo 2meanza na maandamano afu mnayaogopa sana kumbe..hik ni kzaz kpya kinahoj na kudai
 
Mkuu hadi kieleweke, Kikwete must go. mie natuma hela kesho kwa makamanda DC wakafanye maandalizi. Mallya anapigika, wakina Glover ndio wazungumzaji wakuu kwenye maandamano hayo
 
Mmetuaid wenyewe maisha bora 2nayadai mnaleta vikwazo mlijua hatvadai eee! 2tadai kwa njia yoyote na ndo ivo 2meanza na maandamano afu mnayaogopa sana kumbe..hik ni kzaz kpya kinahoj na kudai

Wewe uanfikiri maisha bora utaletewa kitandani? fanya kazi kijana, jitume. Ni nani aliyokuzuia kufanya mambo chungu nzima Tanzania.

Hivi hao wooote wanaopanda maisha yao kila siku huwa yanakuja tu kama ndoto vile? unanchekesha kweli kweli. Hivi ni nini unachoweza kufanya cha kukuingizia kipato Tanzania hii ukashindwa kukifanya au ukazuiwa usifanye?

Tanzania hii na fursa zilizokuwepo, kama unabaki kuwa maskini wa kulalamika basi ama wewe ni mvivu kuoita kiasi au ni mjinga kupita kiasi, au una matatizo ya kichwa.

Mie (house girl wangu) ka save mshahara wake mpaka kaenda kununua pikipiki, sasa hivi anataka kuongeza nyingine, inamuingizia kila wiki 50,000 na huku anafanya kazi yake. Anasema zikifika tatu tu nimruhusu aache kazi. na mimi nimemwambia Mungu akusaidie na akuzidishie.

Sasa leo wewe mwanamme mzima unajuwa kuingia hata JF unalalamika maisha bora? unanshangaza sana. Ndio maana Kikwete akasema hata hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Kweli kitu cha kushangaza, fursa zote ziliopo. Bora nianze kuwapa darsa ya kuondokana maisha duni na niwaongoze namna ya kuingia kwenye maisha bora..
 
Jitauyarisheni rais wenu kuabikia marekani. Hela za maandamano zimeshamwagwa watu kibao watashiriki.
 
Hela unazijuwa wewe? Hivi maandamano yanafanywa kwa hela kumbe? sikujuwa mimi. Nilidhani watu wanaamuwa wanaingia mitaani. Itabidi tuwaambie TRA wachunguze kama hizo pesa mnazotumia kwenye maandamano zinalipiwa kodi.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania ndo kaul mbiu aliyoingilia ikulu huyo mbayu wayu wako! Haijalish atayatoa kwa njia gan sisi 2nayataka ahad ni den au hujui..wakat anatoa ahad alikuwa anakenua leo anaulizwa anasema cjui sasa ndo atajua baada ya maandamano ya Weshington...
 
Kaz 2nafanya mnatufisid sasa 2taendeleaje?yan mnataka 2vuje jasho sie nyie mjisevie..sasa imetosha... hapana
 
2chume sisi juan nyie mlie kivulin..dawa ni maandamano mana mnayaogopa sana na yanaanzia DC
 
A number of members who have used derogatory and insulting remarks in this thread have suffered a 2 weeks ban. If people can not restrain themselves we will help them do so.

For Admins.
 
Hela unazijuwa wewe? Hivi maandamano yanafanywa kwa hela kumbe? sikujuwa mimi. Nilidhani watu wanaamuwa wanaingia mitaani. Itabidi tuwaambie TRA wachunguze kama hizo pesa mnazotumia kwenye maandamano zinalipiwa kodi.

FaizaFoxy, Kikwete amemtanguliza bwana Michuzi kuandaa mazingira na kuzoma upepo unavyoenda, sasa nakumbana na pilikapilika za maandamano ya kumwanika bosi wake. Bora angekwenda Marekani kimya kimya lakini mpaka kutuonyesha anavyochoma BBCutie huko kwenye back yard, hahaha siku hizi watu si wa saizi ya kuchezewa kama enzi zile wa kutuma barua ya mkono kwa mkono hadi imfikie mhusika.
 
A number of members who have used derogatory and insulting remarks in this thread have suffered a 2 weeks ban. If people can not restrain themselves we will help them do so.

For Admins.
Haya nimaamuzi ya busara yaliochelewa, kuna mkakati mzito wa kuisambaratisha JF. mkiendelea kumchekea Faiza Foxy & co, mtakuja kujuta, simaanishi kwamba watu wasitofautiane, kutofautiana ndio utamu wa hoja, lakini tuwe wakweli wa nafsi zetu hebu kokotoeni mahesabu nyinyi wenyewe kwenye thread hii mtu mmoja Faiza foxy anajibu kila post kana kwamba ni automatic answering machine!

Great thinker hawezi kuwa hivyo hata siku moja, mtu makini husoma kwanza michango ya wenzake ndipo na yeye hutoa maoni yake, lakini sivyo kwa Faiza Foxy.
 
A number of members who have used derogatory and insulting remarks in this thread have suffered a 2 weeks ban. If people can not restrain themselves we will help them do so.

For Admins.

Sawa kabisa. Lakini pia watu kama Saigon na muanzisha maada pia wanastahili kupigwa ban kwa kutoa habari, changamoto na kauli ambazo ni wazi ni uwongo na zenye uzushi mtupu kutokana na wao kushindwa kabisa kutetea hoja na madai yao kutoka kwa Wachangiaji wengi, binafsi nikiwemo. Hii inachangia sana kuteremsha hadhi ya jukwaa kwa kweli. Kwa mtazamo wangu, hii maada ingebidi ifutwe tokea awali kutokana na mtoa maada kushindwa kutetea madai na hoja zake.
 
Wewe uanfikiri maisha bora utaletewa kitandani? fanya kazi kijana, jitume. Ni nani aliyokuzuia kufanya mambo chungu nzima Tanzania.

Hivi hao wooote wanaopanda maisha yao kila siku huwa yanakuja tu kama ndoto vile? unanchekesha kweli kweli. Hivi ni nini unachoweza kufanya cha kukuingizia kipato Tanzania hii ukashindwa kukifanya au ukazuiwa usifanye?

Tanzania hii na fursa zilizokuwepo, kama unabaki kuwa maskini wa kulalamika basi ama wewe ni mvivu kuoita kiasi au ni mjinga kupita kiasi, au una matatizo ya kichwa.

Mie (house girl wangu) ka save mshahara wake mpaka kaenda kununua pikipiki, sasa hivi anataka kuongeza nyingine, inamuingizia kila wiki 50,000 na huku anafanya kazi yake. Anasema zikifika tatu tu nimruhusu aache kazi. na mimi nimemwambia Mungu akusaidie na akuzidishie.

Sasa leo wewe mwanamme mzima unajuwa kuingia hata JF unalalamika maisha bora? unanshangaza sana. Ndio maana Kikwete akasema hata hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Kweli kitu cha kushangaza, fursa zote ziliopo. Bora nianze kuwapa darsa ya kuondokana maisha duni na niwaongoze namna ya kuingia kwenye maisha bora..

Kama mlijua kuwa maisha bora ni ya kujituma mbona mliwahadaa Watanzania ili kupata kura zao eti mtawaletea maisha bora kwa kila Mtanzania kwa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya? Nani muongo hapa? Yaani alitaka kura tu ili aendeleze matanuzi yake huku Watanzania wakisota kila kukicha? Shame on Kikwete and shame on you for attempting to defend him.
 
Bado nawategemea wakoloni wawafundishe namna ya kuishi. Mna kazi sana nyie wakimbizi wa Tanzania

Wakoloni ni wazuri tu pale tunapoomba hela za kukamilisha bajeti eeh!! Labda tujiulize kwanini bajeti ya TZ hatuipangi kwa kutumia mapato ya nchi ila tunategemea zaidi hela za wakoloni? Labda tuanzie hapo.
 
Sawa kabisa. Lakini pia watu kama Saigon na muanzisha maada pia wanastahili kupigwa ban kwa kutoa habari, changamoto na kauli ambazo ni wazi ni uwongo na zenye uzushi mtupu kutokana na wao kushindwa kabisa kutetea hoja na madai yao kutoka kwa Wachangiaji wengi, binafsi nikiwemo. Hii inachangia sana kuteremsha hadhi ya jukwaa kwa kweli. Kwa mtazamo wangu, hii maada ingebidi ifutwe tokea awali kutokana na mtoa maada kushindwa kutetea madai na hoja zake.
wewe ni kama nani hapa JF unaejiona kwamba mawazo yako ndio sahihi, wakati hata wewe ulikuwa unaongea pumba tu na kukejeli wenzako?
 
Pumba hizo, Kuna Rais yupi Tanzania alyefanya mema zaidi ya Kikwete? nitajie mmoja na alichofanya ambacho Kikwete hajakipiku.
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
Inavyoonekana wewe upo chini ya meza ya m-kwere unakula mabaki ya chakula kinachodondoka. Kama kikwete amewapiku marais wengine waliopita basi ni kwa idadi na siyo ubora. Mfano mmojawapo ni safari za nje. Nadhani kwa sasa ndiye rais anayeoongoza duniani kwa kutembelea wenzie lakini safari zake zote hazina manufaa kwa nchi. Sijui huwa haoni aibu!!! Kuna wakati huwa mpaka nahisi kwamba kuna mtu pale ikulu ambaye amem-assign awe ana-browse kwenye mtandao kuona kama kuna vikao vyovyote vinavyoandaliwa nje ya nchi. Ptuuuu!!!!! Aibu gani hiiii. Utake usitake, kwa sasa hakuna mtanzania mwenye hamu ya kuendelea kuongozwa na m-kwere. Unajisumbua bure kuwa-discourage wanaoandaa maandamano. Tena basi bango mojawapo ni bora liandikwe kuhusu tabia yake ya kupenda kuzurura kwenye nchi za wenzie walioendelea.
 
Jiungeni kwenye facebook kujadili hili keyword ni MAANDAMANO DHIDI YA KIKWETE karibuni
 
Hela unazijuwa wewe? Hivi maandamano yanafanywa kwa hela kumbe? sikujuwa mimi. Nilidhani watu wanaamuwa wanaingia mitaani. Itabidi tuwaambie TRA wachunguze kama hizo pesa mnazotumia kwenye maandamano zinalipiwa kodi.
maandamano marekani yamekugusa sana loh, tra inavuka mipaka siku hizi.. eti wakachunguze hizo hela kama zimelipiwa kodi!
 
Haya nimaamuzi ya busara yaliochelewa, kuna mkakati mzito wa kuisambaratisha JF. mkiendelea kumchekea Faiza Foxy &amp; co, mtakuja kujuta, simaanishi kwamba watu wasitofautiane, kutofautiana ndio utamu wa hoja, lakini tuwe wakweli wa nafsi zetu hebu kokotoeni mahesabu nyinyi wenyewe kwenye thread hii mtu mmoja Faiza foxy anajibu kila post kana kwamba ni automatic answering machine!<br />
<br />
Great thinker hawezi kuwa hivyo hata siku moja, mtu makini husoma kwanza michango ya wenzake ndipo na yeye hutoa maoni yake, lakini sivyo kwa Faiza Foxy.
bado ana id zaidi ya moja, hata mimi nina mashaka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom