Kwanini US embassy wanawapa visas anyway? Hizo funds wanatoa Tanzania kama donor si zimeleta deficit huko US. Sometime nafikiri US na Europe na hawa ma-donors ni wanafiki kweli kweli wanapiga kelele at the same time they are enabling people like kikwete to continue killing their people. How come kikwete get to visit US and these nations many many times while his country don't have constitution and ccm continue to cover up everything for their wives and kids.
US Ambassador we are calling you out to get evolve and help Tanzanians live up their dreams. We need US to take a lead in Tanzania similar to Zimbabwe and Libya. Kikwete conquer us by force not our will! Please Please stopping kikwete delegation to US is important signal!
At least something has been done. sijawahi kuona mtu wa ajabu wa this category. yeye kila anachofikiri lazima kiwe based katika udini!bado ana id zaidi ya moja, hata mimi nina mashaka
hii nimeipenda! sasa nenda kawaambie na wenzako wanaolalama kila siku kwamba mfumo kristu unawakandamiza waislam...nenda kawaambie waache majungu na wafanye kazi!Mwehu ni yule anaetembea hovyo barabarani akijidanganya nafsi yake kuwa hakuna anachofanyiwa na Serikali yake jiulize wewe umeifanyia nini nchi yako? nna uhakika huna hata moja zaidi ya kulalamika. Na mtu anaelalamika sana nimeonewa, nimeonewa, ujuwe hilo ni vivu la kutupa linataka likae liletewe kila kitu. Fanyeni kazi wacheni majungu.
Anakwenda kuwakilisha Taifa kwenye nini? Hivi kazi ya Bernad Membe ni nini? mbona simsikii kwenda Japan ambako ndio marafiki zetu wa kweli? au kwa sababu Wajapan hawaintatain visiting za kipuuzi?dude relax!
Rais wetu atakwenda kuwakilisha taifa States ... na atarudi... au weye ni mmoja ya wale watu mnaodhani anakwenda kula kuku kule!
P.S - Tanzania ni nchi ya vyama vingi huwezi ukalinganisha na Libya!
Mkuu naona unapata shida kulijibu sanamu, huyo ameshapewa ban yake ambayo alikuwa anaitaka kwa hali na mali, sasa sioni mantiki ya wewe kuendelea kumjibu mtu mwenye poor thinking capasity to that level.hii nimeipenda! sasa nenda kawaambie na wenzako wanaolalama kila siku kwamba mfumo kristu unawakandamiza waislam...nenda kawaambie waache majungu na wafanye kazi!
Naunga mkono hoja. Hii ni kwa sababu watanzania tumekuwa kama kondoo, tunaswagaswagwa tu, Hii nchi itakuja kuwa kama Zimbabwe au somalia kwa ugumu wa maisha unaosababishwa na uongozi mbovu wa huyu jamaa. The country is going to collapse huku tuanajidai tunavumiliana. Hivi watanzania kwa nini tumezoea shida hivi, hasa hizi zinazosababishwa na binadamu wenzetu?TUMENI BARUA BARUA PEPE KWA WINGI KUWEKA PINGAMIZI KUHUSU SAFARI ZA KIKWETE KWENDA MAREKANI. BARUA ZOTE ZITUMWE KWENDA wiegertjr@state.gov HUU NI USHAURI KUTOKA KWA WAHUSIKA. ATAZUILIWA ISIPOKUWA TU KUHUDHURIA UN SESSIONS. WENYE FACEBOOK, WAANDIKE PINGAMIZI ZAO KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
**************************************************************************************
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com
Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.
1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...) 2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)
Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com. Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.
TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
Waandaji tuelezeni hao wadhamini wenu nina kinani? Na wana interest gani na Tanzania. Mapinduzi ya kumuondoa Siad Barre Somalia yalikuwa na wadhamini wengi wa nje leo hii wako wapi? Wasomali wanamkumbuka Siad Barre, Somalia moto hakukaliki. Kama mngekuwa na uchungu wa kweli na Tanzania msingesubiri wadhamini, nachelea kuwaita ni vibaraka. Hakuna hata mzungu mmoja mwenye interest ya kweli kuisaidia Tanzania na Afrika kwa ujumla; wanachoangalia ni maslahi yao binafsi. Msipoteze muda wenu angalieni yaliyowapeleka Marekani.
Chama
Gongo la Mboto DSM
Unafikiri wanao huo ujasiri? wenyewe ni wapambanaji wa keyboard, na wewe peke yako umewashika pabaya sana.
Nioneshe kimoja ambacho JK hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yake, kama huna ujue huu ni udini.
Chama
Hivi kweli wewe binafsi kama Chama, unafurahishwa na hizo safari za Mhe. Rais JK kila kukicha? Kama unafurahishwa, basi kuna namna unavyofaidika🙂 Binafsi, japo ninampenda sana Rais wetu lakini kwa hizi safari za kila leo na ukimya wake juu ya mambo ya msingi ya nchi yetu........ninakili, uvumilivu unaelekea kunishinda.........
Haiwezekani tuendelee kuwa na Rais anayefikiria safari muda wote wakati wananchi wake wanaendelea kuteseka!