Quote (Mkandara "sijui kama ni kampeni against JK au kweli UVCCM wamepania kufanya mabadiliko kwa manufaa ya wananchi au ya chama..)
Mkuu nimekuelewa na ninashukuru kwa info. Hapo juu kwenye red na mimi napata wasiwasi pia however, ni vizuri kama UVCCM wameona kuna tatizo. Ndani ya UVCCM sio tu kunampambano wa mambo ya ufisadi lakini kuna underground class war (watoto wa vigogo against others), udini, ukabila etc. In short everyone is targeting the "prize" for different purpose. I should also say hivi vyama vya siasa sivielewagi sometimes for one reason: mtu anaweza kuona makosa asiseme kitu, lakini siku akiwa na ugomvi binafsi ataibua yote mabaya aliyoyaona. JK anapata upinzani mkali sio tu kwa wananchi wakawaida wanaopenda maendeleo but also kwa vigogo wenzie wa CCM ambao hawakubaliani na uongozi wake. Wengi hawawezi ku-mface kwenye vikao nakumpa ukweli; but wana influence kubwa behind the scene. Siwafahamu kwa karibu organizers wa hayo maandamano, lakini naelewa wako wana CCM wasioridhika na utendaji wa Kikwete watakaohudhuria na wasio wana CCM. So for that; I say let them express their frustration. Nafikiri wakielekeza ujumbe towards Kikwete utabeba uzito lakini wakimtaja Riz 1, issue itasomeka kisiasa zaidi kwasababu; legally Riz 1 wananchi hawajamkabidhi majukumu yeyote kwenye serikali (my views). Although E. Mallya ametamka wazi yeye ni UVCCM, baadhi ya watu watakaoudhuria hawataki kuji-associate/hawaja commit kwenye chama chochote. I agree our ship is sinking na probably watakaopona ni wale wenye plan B.