Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Wote hawa wamevutiwa na hii thread!

mwabaluhi

Ngalikihinja

FaizaFoxy

LAT

Nduka

Eiyer

campana

Matola

Lukansola

Mosachaoghoko

liverpoolfc

Sangara

HosannaTech

mtanzania poli

Namtambo

Keren_Happuch+

Mamndenyi

Livanga

HOYANGA

Laurence

MANI

fredmlay

Kaseko

Kilbark

nchasi

Fungo N.

DCONSCIOUS

jjeremiah

makaptula

Muadilifu

chapa

tusichoke

ESCO

nyangau

Kinyasi

Ibra Mo

plus me MUZEEZAIDI.

Waheshimiwa, nadhani hawa mabwenyenye na mafisadi sugu wanajaribu kuvamia mtandao wetu ili maandamano yetu yasiwepo. Hii haitawezekana. Wanajaribu kutumia njia tofauti pamoja na vitisho kutusambaratisha. Hii haitawezekana, na Ikibidi tutawakilisha vithibitisho hivi kwenye vyombo vya usalama vya kimarekani kama "Ughaidi". Maandamano yapo dhidi ya Kikwete. Ila ifahamike kwamba hatuna tatizo na kikao chake UN, Hii ni haki yake ya Msingi kama ilivyo kwa Viongozi wengine. Tatizo letu ni haya ya DICOTA na mengineyo ya uzururaji na ufujaji wa Rasilimali zetu

Aatakayehutubia ni Mcheza sinema wa Kimarekani ambaye pia ni mwanaharakati mkubwa kwenye maswala ya Kiafrika. Msikate Tamaa, mabadiliko yanakuja. Hata Kama ni kufa, heri tufe kishujaa kuliko kufa kama Kuku waliofungwa miguu na Sultani Kikwete. tunaendelea na maandalizi na tutawataarifuni kila kipya kitakachotokea

Mtiifu Wenu katika Ukombozi
Mallya

@Mkandara ".......JK akisema hivi:- [U said:
Believe in being part of the solution!.."
[/U]

Mkandara thanks for your informative post. Labda nianze na hiyo quote hapo juu, inabeba ujumbe mzito ni kweli lakini; it also depends on who is saying or using that phrase. Kama ni JK huo ujumbe/msemo hauna maana yeyote zaidi ya propaganda. Kwenye maisha tunakutana na watu wanaotupa wosia/advice tofauti. Wengine watapokea ule ujumbe na kuandika mahali au kuutunza mahali kwa kumbukumbu; wengine wataandika mahali lakini wataenda further than that; wataufanyia kazi (put the words into action). Sasa haya maandishi ya JK kwenye face book hayana tofauti na mtu aliyeandika advice nzuri akaweka mahali (frame it and hang on the wall) kwaajili ya kumbukumbu bila kuufanyia kazi. Kwanini nasema hivi:

1)JK anataka sisi tuwe part of the soln lakini yeye ni part of the problem. Nitatoa mifano ku-support ninachosema hapa. JK anahimiza watanzania hasa watanzania nje ya nchi wawekeze nyumbani (good idea). Lakini mimi nimefanya kazi nje ya nchi kwa jitihada zangu nakuja TZ kuanzisha biashara ya hotel; kwanza natakiwa kila ninapopita e.g.kuomba leseni etc niache 10%. Nikilalamika na kutoa taarifa TAKUKURU nobody cares. Kumbuka biashara yangu sio kwa faida yangu pekee lakini pia ndugu zangu watafaidika kupata kazi, na pia serikali itajiongeza mapato (that is me being part of the soln to TZ poverty). Pamoja na kupambana stage za mwanzo kuweza kusimamisha biashara yangu, bado nakuja kugundua mimi kama mwekezaji wa ndani nalipa tax wakati mwekezaji wa nje anakwepa tax. Nikilalamika na kuripoti sifiki mahali kwanini: mwekezaji anauhusiano/urafiki wakaribu zaidi huko magogoni kuliko mimi mtu wa kawaida. Nikiwa nafikiria nifanye nini kuhusu hili; then inaibuka tatizo lingine (uhaba wa umeme). Kutokana na hilo nalazimika kuwa na genereta stand by ili biashara yangu iendelee. Nikiwa nasubiri wabunge waje na kitu concrete kuhusu soln ya umeme kwaku-mbana Ngeleja, ndio inakuja hii trend ya Jairo style. Kuongeza pain kwenye kidonda nakuja kueleweshwa kwamba hakuna wakuweza kuwaadhibu watu kama Jairo kwasababu ndio "mtindo uliopo" and so the only order to clean this mess has to come from Mr. President himself.
Kutokana na hayo na mengine mengi naomba nieleweshwe who is part of the problem and who is part of the soln.
a) JK kufumbia macho ufisadi is it part of the soln or part of the problem? Unamuhamasishaje mwananchi kuwekeza au hata kujitolea kwenye community wakati anajua wazi mafisadi wana-benefit at others expense?

b) How can JK and all of us expect Waalimu, Madaktari, Mapolisi wawe part of the soln wakati hatujali mchango wao? Kama tungewajali tunge-limit spending (cut down safari zisizo za lazima, posho, ziba mianya yote ya watu wanaokwepa kodi including haya makampuni yanayobadilisha majina kila baada ya miaka 5 etc) ilituwalipe watu hawa mshahara unaostahili. I mean njia zakuongeza government revenue ziko nyingi lakini watendaji hatuna (JK & Co are definately not playing their part).

c) Unam-convince vipi mtu atii mamlaka vyombo vya sheria e.g. mahakama wakati wewe unachagua incompetent judges (majaji wa vodafasta) ambao hata hiyo sheria yenyewe hawajaijua vizuri leave alone practice that much? Kweli unategemea ni play part yangu kwakuamini nitapata haki yangu from someone who does not know what she/he is doing? I can play my part to report thieves, corrupted leaders etc; but I also need the government to do their part, not only bringing them to justice but also provide fair justice (Refer Issue ya Chenge; waingereza wamefanya almost half of the work in their investigation but look at what JK and his people are doing!!!? And the list goes on and on.

Ni ukweli usiopingika wananchi wengi wa TZ wana nia yakufanya mazuri kwaajili ya nchi lakini siku zinavyozidi kwenda wanakata tamaa. Haitusaidii kuangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa ulikuwaje kama wengine wanavyo-justify hii mess. Why; Because tumeshapita huko; tunachotakiwa sasa nikujifunza where we went wrong and then move forward. However, we can not move forward under JK leadership in this manner. Me and you + others agree something drastic has to happen, and the question is; what is the best approach to bring those changes before it is too late? Life is what is coming and not what was.

Ndugu Mkandara,
Kwani Mkandara hujui maana ya demonstration....!!!??

Acha watu waonyeshe hisia zao kwa amani,hata rais wa USA hufanyiwa maandamano jamani ebu tuwe positive...watu wanaandamana kisha wanatoa sababubu zao kwa mabango ama risala...thats it.Nchi zina mabalozi wata cross-check ukweli na balozi zao hakuna cha kuogopa kama serikali i safi.

Kama huyu;

Mwesigwa ni huyu hapa chini;
Mr. Mwesigwa Blandesi,
frame_mwesigwa.JPG
Chairman of the Organization and the Board of Directors Mwesigwa Blandesi is one of Tanzanian Community Organization's founding members. He was elected Chairman of the Organization right when it was founded, and then lead a team of selected members that drafted its bylaws.
He has guided the organization since it was founded in 1995 to the present day. Upon the formation of the organization's Board of Directors, he was also elected Chairman of the Board. His focus has been on building the organization by attracting new members and retaining existing ones, by consistently defining and promoting the organization's core aims.

Huyu mbeba boxi kaishiwa

Huyu Mwesiga Blandesi ndio chairman of the Organization and the Board of Directors wa Tanzania community organisation??? Mbona kauli yake imekaa ki-street sana? Name calling does not add any substance to your post Mr. Mwesiga! Everyone is frustrated na jinsi mambo yanavyoenda lakini at least spare some "integrity" in your part as a chairman; you need it. I mean kama chairman anashindwa kutumia convincing argument wajumbe wakawaida watakuwaje? Sasa kama chairman anaandika hivyo, unaanza kujiuliza u-seriousness wa hiyo org.

MWANAHARAKATI MCHEZA SINEMA WA KIMAREKANI ATAHUTUBIA, IMETHIBITISHWA....JINA PUNDE
WATU 2117 WAMETUMA MAOMBO KUSHIRIKI

TUMENI BARUA BARUA PEPE KWA WINGI KUWEKA PINGAMIZI KUHUSU SAFARI ZA KIKWETE KWENDA MAREKANI. BARUA ZOTE ZITUMWE KWENDA
wiegertjr@state.gov HUU NI USHAURI KUTOKA KWA WAHUSIKA. ATAZUILIWA ISIPOKUWA TU KUHUDHURIA UN SESSIONS. WENYE FACEBOOK, WAANDIKE PINGAMIZI ZAO KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...) 2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda
eliakimmallya@yahoo.com. Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov
Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.

TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
kila la heri

Mkandara thanks for your informative post. Labda nianze na hiyo quote hapo juu, inabeba ujumbe mzito ni kweli lakini; it also depends on who is saying or using that phrase. Kama ni JK huo ujumbe/msemo hauna maana yeyote zaidi ya propaganda. Kwenye maisha tunakutana na watu wanaotupa wosia/advice tofauti. Wengine watapokea ule ujumbe na kuandika mahali au kuutunza mahali kwa kumbukumbu; wengine wataandika mahali lakini wataenda further than that; wataufanyia kazi (put the words into action). Sasa haya maandishi ya JK kwenye face book hayana tofauti na mtu aliyeandika advice nzuri akaweka mahali (frame it and hang on the wall) kwaajili ya kumbukumbu bila kuufanyia kazi. Kwanini nasema hivi:

1)JK anataka sisi tuwe part of the soln lakini yeye ni part of the problem. Nitatoa mifano ku-support ninachosema hapa. JK anahimiza watanzania hasa watanzania nje ya nchi wawekeze nyumbani (good idea). Lakini mimi nimefanya kazi nje ya nchi kwa jitihada zangu nakuja TZ kuanzisha biashara ya hotel; kwanza natakiwa kila ninapopita e.g.kuomba leseni etc niache 10%. Nikilalamika na kutoa taarifa TAKUKURU nobody cares. Kumbuka biashara yangu sio kwa faida yangu pekee lakini pia ndugu zangu watafaidika kupata kazi, na pia serikali itajiongeza mapato (that is me being part of the soln to TZ poverty). Pamoja na kupambana stage za mwanzo kuweza kusimamisha biashara yangu, bado nakuja kugundua mimi kama mwekezaji wa ndani nalipa tax wakati mwekezaji wa nje anakwepa tax. Nikilalamika na kuripoti sifiki mahali kwanini: mwekezaji anauhusiano/urafiki wakaribu zaidi huko magogoni kuliko mimi mtu wa kawaida. Nikiwa nafikiria nifanye nini kuhusu hili; then inaibuka tatizo lingine (uhaba wa umeme). Kutokana na hilo nalazimika kuwa na genereta stand by ili biashara yangu iendelee. Nikiwa nasubiri wabunge waje na kitu concrete kuhusu soln ya umeme kwaku-mbana Ngeleja, ndio inakuja hii trend ya Jairo style. Kuongeza pain kwenye kidonda nakuja kueleweshwa kwamba hakuna wakuweza kuwaadhibu watu kama Jairo kwasababu ndio "mtindo uliopo" and so the only order to clean this mess has to come from Mr. President himself.
Kutokana na hayo na mengine mengi naomba nieleweshwe who is part of the problem and who is part of the soln.
a) JK kufumbia macho ufisadi is it part of the soln or part of the problem? Unamuhamasishaje mwananchi kuwekeza au hata kujitolea kwenye community wakati anajua wazi mafisadi wana-benefit at others expense?

b) How can JK and all of us expect Waalimu, Madaktari, Mapolisi wawe part of the soln wakati hatujali mchango wao? Kama tungewajali tunge-limit spending (cut down safari zisizo za lazima, posho, ziba mianya yote ya watu wanaokwepa kodi including haya makampuni yanayobadilisha majina kila baada ya miaka 5 etc) ilituwalipe watu hawa mshahara unaostahili. I mean njia zakuongeza government revenue ziko nyingi lakini watendaji hatuna (JK & Co are definately not playing their part).

c) Unam-convince vipi mtu atii mamlaka vyombo vya sheria e.g. mahakama wakati wewe unachagua incompetent judges (majaji wa vodafasta) ambao hata hiyo sheria yenyewe hawajaijua vizuri leave alone practice that much? Kweli unategemea ni play part yangu kwakuamini nitapata haki yangu from someone who does not know what she/he is doing? I can play my part to report thieves, corrupted leaders etc; but I also need the government to do their part, not only bringing them to justice but also provide fair justice (Refer Issue ya Chenge; waingereza wamefanya almost half of the work in their investigation but look at what JK and his people are doing!!!? And the list goes on and on.

Ni ukweli usiopingika wananchi wengi wa TZ wana nia yakufanya mazuri kwaajili ya nchi lakini siku zinavyozidi kwenda wanakata tamaa. Haitusaidii kuangalia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa ulikuwaje kama wengine wanavyo-justify hii mess. Why; Because tumeshapita huko; tunachotakiwa sasa nikujifunza where we went wrong and then move forward. However, we can not move forward under JK leadership in this manner. Me and you + others agree something drastic has to happen, and the question is; what is the best approach to bring those changes before it is too late? Life is what is coming and not what was.
Me and you + others agree something drastic has to happen, and the question is; what is the best approach to bring those changes before it is too late? Life is what is coming and not what was...Thank U mkuu wangu kwanza kwa ku acknowledge kwamba tatizo ni Kikwete. Hilo moja maana sii watanzania wote wanaamini hivyo. Pili mimi nasema tatizo sio Kikwete peke yake hata sisi Watanzania ni TATIZO..Kwa hiyo hapa tunapata sura mbili ambazo ni tatizo na kwa ujumla wake ndio tunaijenga sarafu moja ya Utanzania..Yeye JK kama reflection yetu sisi sote ni TATIZO kama tulivyo TATIZO sisi wenyewe.. Umenipata hapo mkuu wangu.. Na tukianza na kuamini hivyo tu, nadhani utakuwa mwanzo mzuri wa kutafuta ufumbuzi..

Mkuu wangu maelezo yako yoote hapo juu kuhusiana na mapungufu ya JK na ukaorodhesha mchango wako pamoja na raia wengine ambao wamejaribu pasipo mafanikio kulijenga taifa letu lakini yalipuuzwa na utawala wa JK.. Hayo yote mkuu wangu, ni mchango ambao ulikuwa WAJIBU wa kila raia, kila mtanzania ktk hali ya kawaida ktk ujenzi wa Taifa katika Kujikimu na mahitaji yetu ya kawaida... Yaani ili tuendelee tulitakiwa kufanya kadha wa kadha na rais alitakiwa kutoa fursa hizi na zile na kama angekuwa HIVYO tusingekuwa hapa tulipofika, lakini haikuwa hivyo!..JK hakuwa rubani au niseme dereva mzuri, na sisi abiria hatukupata nafasi ya mchango wetu kuingia ktk grid la maendeleo ya kitaifa kwa sababu za kisiasa zaidi (hizo nguvu mpya, ari mpya, na madudu yake) ndio maana tumefika hapa tulipo..

Kwa bahati mbaya yeye JK haoni tatizo lake na sidhani kama atakubaliana na uloyaandika hapo juu, lakini pia ni bahati mbaya nyingine hata wewe na Watanzania wengi hawakubaliani na maelezo yangu kwamba wao pia ni sehemu ya tatizo.. Upeo wa kifira wa JK na wa Watanzania wengi hatuna tofauti kabisa na ndio maana kiuchumi MAHITAJI yamegeuka kuwa MATATIZO. Ukosefu wa umeme haukuanza na Ngeleja wala Jairo, tulijua toka JK akiingia madarakani na kwa bahati mbaya EL alitwambia ataleta mvua za kisayansi na JK leo anasema Hiyo ni kazi ya Mungu..sasa unategemea kitu gani kwa viongozi ambao ndio walikuwa wa kwanza kukimbilia Loliondo kupata kikombe cha babu ikiwa na maana wana magonjwa sugu na hatuyafahamu.. hawa watu wanaamini kweli uchawi zaidi ya sayansi kwa hivyo unapowapa madaraka unategemea wafanye miujiza gani?

Kwa hiyo mchango wako sii hoja tena, uzembe wa JK sii hoja tena kwa sababu hatuwezi kwenda popote tukitumia mifano ya nyuma ambayo ilishindikana na tumefika hapa tulipo leo. Lakini maadam tumejua kwamba tumekwama na sababu ya kukwama ni kwamba sisi wenyewe ndio sababu WE ARE PART OF THE PROBLEM (including JK mwenyewe) hivyo basi to be part of the solution - we got to be responsible/accountable.. Kwanza tukubali na kutambua kwamba sisi sote ni sehemu ya tatizo, kisha tuache ushabiki wa vyama, makundi nakadhalika ndipo tunapoweza kuchambua vizuri mbinu nzuri za kufanya..

Mkuu wangu tumekwama kiuchumi, tumekwama kwa kila hali bora ya kimaisha.. Hivyo basi kwa kutazama hali halisi ya leo hapa tulipokwama, ndipo tunapotakiwa kuja na strategy nyingine kabisa ya kujikwamua toka hapa tulipokwama.. Kama vile gari lililokwama ktk tope, huwezi kuendelea kukanyaga mafuta ili kutumia nguvu zaidi ya farasi kulikwamua toka ktk tope wakati abiria wamekaa ndani ya viti wakichungulia nje.. Kuamini kwamba lilokwama ni gari hivyo ni kazi ya dereva na wenye gari kujikwamua ni mawazo mgando ambayo yatatushindisha porini...Pia kuamini na kutegemea nguvu za farasi za gari letu ni maamuzi mabaya kwani kila tunapokanyaga mafuta zaidi ndivyo gari linavyozidi kuzama ndani ya tope..Kwa mwerevu hataendelea kukanyaga mafuta bali kutazama mahusiano ya hapo tulipo, tope, uzito wa gari na mzigo, kukwama na kadhalika ili kufiikia maamuzi ya kujikwamua, hivyo hata nyenzo za matumizi zinazohitajika zitakuwa tofauti na zile za kawaida ktk safari..

Na ili kujiondoa hapo tulipo tunatakiwa kuja na mipango mipya na sii kuanza kulaumiana jinsi gani dereva hakusikia warning zetu. Na wala sii swala la kumtazama na kumzomea dereva, kondakta au fundi isipokuwa hii ni kazi mpya ya kujikwamua toka ktk tope ili tupate kuendelea na safari!..Kujikwamua huko hakuna ujuzi wa mtu mmoja kuendesha gari na wala sii dhamana ya mtu mmoja kwani tusiposaidiana ndio tumelala porini. Na kibaya zaidi Kibongobongo ikishindikana kabisa, madereva wanaweza kutuacha hapo porini wakaenda kulala mahotelini, wewe na mimi tulokwama msituni kazi ipo kwetu.

Na itanishangaza sana ikiwa vijana wa UVCCM watapingana nami hali ni wao waliotuacha mataani kwa kufanya kapeni kubwa ya kumrudisha JK madarakani 2010.. Naweza kabisa kusema UVCCM pamoja na umoja wa Wanawake ndio umecheza turufu kubwa ktk uchaguzi mkuu kuliko hao wazee asilia kila Malecela, Msekwa, Mwinyi na kadhalika..Pale tulipokuwa na nafasi ya kumwondoa JK wao hawakuona lakini ni rahisi leo kwao kuona makosa ya JK baada ya...sijui kama ni kampeni against JK au kweli UVCCM wamepania kufanya mabadiliko kwa manuifaa ya wananchi au ya chama..Hasa pale wanapotaka kuandaa maanadamano nchi za nje..Kwa nini yasifanyike nyumbani, ikiwa mara ya kwanza UVCCM kumpiga vita rais na mwenyekiti wa chama chao..

Sasa turudi ktk maandamano, ningeomba mtu hata mmoja aje hapa aniambie hayo maandamano mnategemea ku accomplish kitu gani? nini malengo ya maandamano hayo na ujumbe gani utakaotawala zaidi ya kuwaonyesha ulimwengu jinsi Ridhwan sijui tajiri na kadhalika. Halafu kibaya zaidi ni kwamba maamndamano haya yanatayarishwa na mtu anayedai kuwa Mwana UVCCM hali hii haijawahi tokea nyumbani hata siku moja UVCCM kufanya maandamano dhidi ya kiongozi wao wenyewe.

Sasa ingekuwa bora zaidi kwa hali zote za kimalengo maandamano haya kufanyika Tanzania kuliko Marekani kwa sababu haijawa utamaduni wa Mtanzania kumpinga rais kwa maandamano nyumbani wakati hapo Marekani maandamano kama haya ni sehemu ya maisha yao ya kila siku.. Naweza kusema kila siku, kila saa kuna maandamano sehemu fulani ya Marekani.. Ni halki ya kimsingi kwa wananchi wake ktk kuufikisha ujumbe wao kwa wahusika iwe serikali, shirika au taasisi yeyote.. Wananchi wana uhuru wa kufanya hivyo hata kama kundi la watu hao wanaona Ufisadi ni haki yao.. Ufisadi sio uhujumu uchumi na wakaandamana kuupamba Ufisadi.

Mwisho mkuu wangu, JK kachagua viongozi woote dhaifu na hatukufanya lolote kupinga chaguzi hizo hata kama analindwa na sheria kwa sababu mawaziri wote na wanasheria wa Mkapa na JK wengi wao walikuwa wakijulikana kwamba hawafai, wana scandals kabla hata hawajachaguliwa..Ni watu wanaojulikana kuendesha ufisadi kabla hawajawa mawaziri lakini tumewapa heshima zote za kitaifa muda wote..Tulitegemea kuvuna kitu gani haswa. Mimi nambieni tu hayo maandamano ya DC tunategemea kufanikisha kipi?.. Kama ni ujumbe jamani CUF wamefanya sana, Chadema wamefanya sana tena hadi mauaji yametokea lakini umesikia nani katusiiliza. mauaji yote toka Bulyanhulu, Pemba, Tarime, Arusha yote yako recorded ktk vyombo vya kimataifa lakini wamefanya nini - NOTHING!!..

Kifupi Kukata mzizi wa fitna dawa ya matatizo yetu ipo kwetu sisi wenyewe na nitasema tena JK ni sehemu ya Matatizo<Soluhisho..akiwa kama rais na Mtanzania..

Chama

Hivi kweli wewe binafsi kama Chama, unafurahishwa na hizo safari za Mhe. Rais JK kila kukicha? Kama unafurahishwa, basi kuna namna unavyofaidika🙂 Binafsi, japo ninampenda sana Rais wetu lakini kwa hizi safari za kila leo na ukimya wake juu ya mambo ya msingi ya nchi yetu........ninakili, uvumilivu unaelekea kunishinda.........

Haiwezekani tuendelee kuwa na Rais anayefikiria safari muda wote wakati wananchi wake wanaendelea kuteseka!

Nyami;
Sina tatizo na watanzania kudai haki zao za msingi. Tatizo ni langu ni tangazo linaposema "wadhamini wamejitolea" inaonekana ni kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa kitanzania kwa manufaa yao. Kama ingekuwa watanzania waishio Marekani wameamua kuandamana kwa uchungu wa nchi yao ningekubaliana nao ndio maana nahoji hao wadhamini ni kina nani? Wangewekwa hadharani tujue nia na madhumuni yao.

Chama
Gongo la Mboto DSM

Chama, hata kama hela zinatoka kwa shetan mwenyewe zije tu..eti marekan inaharibu wa2 mbona yeye ndo anaenda huko sasa aende akakutane na waandamaji akome...alafu ngoja nikunong'oneze kidogo dunia sasa iv sio sehdmu salama ya kuish kama unaogopa machafuko kufa kabisa uwah ahera

Miya
Ngoma usioijua usiikimbilie, kama machafuko ya kisiasa unayasoma kwenye magazeti, mimi nimeyaona kwa macho najua ninachosema
Chama
Gongo la Mboto DSM

Wakati wa woga umeisha,woga ni dhambi tuache woga,tujitokeze kuipinga serikali na ibadilike iwatazame wananchi!

Nitayaunga mkono kokote yatakakofanyika, hata kama ni kwenye sayari ya Mars, cha muhimu ni kuwa ujumbe aupate from left and right!! Na vibaraka wake wajue kuwa siku zao zinahesabika!

Nyami;
Sina tatizo na watanzania kudai haki zao za msingi. Tatizo ni langu ni tangazo linaposema "wadhamini wamejitolea" inaonekana ni kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa kitanzania kwa manufaa yao. Kama ingekuwa watanzania waishio Marekani wameamua kuandamana kwa uchungu wa nchi yao ningekubaliana nao ndio maana nahoji hao wadhamini ni kina nani? Wangewekwa hadharani tujue nia na madhumuni yao.

Chama
Gongo la Mboto DSM
Kwahiyo kama nimekuelewa vizuri unamaanisha kwamba wafadhili wanaojitolea pesa kuisaidia Tanzania na NGO mbalimbali wanatoa pesa kwa ajili ya manufaa yao? tuache kutumia "Masaburi" kufikiri.

Magogoni wangwaya na kuweweseka nini kitatokea wakati Fisadi papa atakapokwaana na mabango .... .... ...

FAIZFOXY:
Habari yako mama, nimefuatilia hii post sana, na moja ya vitu vilivyonivutia ni wewe kutoa namba yako ya simu +255 754 526 313 ( Baada ya Revolutionalist kuomba kwenye moja ya post zake), lakini cha kushangaza nimejaribu kupiga namba yako ili nisikie japo sauti yako nilinganishe na michango yako kwenye hizi posts nijiridhishe katika mambo flani flani, ajabu nimekutanana na sauti ya kiume, tena kume kweli....Sasa hapo ndipo nimekosa mwerekeo. Je wewe ni dumejike au inakuwaje.
Naomba majibu.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom