Wacha
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 1,052
- 288
Rwanda nako kumekucha wakuu.... Wanaandamana ufaranza kumpinga kagame allAfrica.com: Rwanda: Opposition to Protest At Kagame Visit to France
Asiione Koba hii patakuwa hapatoshi.
Rwanda nako kumekucha wakuu.... Wanaandamana ufaranza kumpinga kagame allAfrica.com: Rwanda: Opposition to Protest At Kagame Visit to France
Jasusi,
Kusema kweli nimesikitika sana kuisoma hii habari kwa sababu JK hajawahi kuja Canada na kwa mara ya kwanza anakuja ati kaalikwa na sijui watu gani ambao wanataka kutoza watu Usd 170 kwa kichwa. Yaani rais wetu anakuja huku kwa mara ya kwanza kwa mwaliko wa watu tusiowajua halafu wao ndio wanapanga sisi tulipe kiasi gani kumwona.. Hivyo hivyo ilikuwa mwaka 2006 Lowassa alipokuja hapa kwa mwaliko wa wahindi watu walilipa dollar 100 kuonana naye..
Labda kweli hata sisi wakazi wa Toronto na Canada tunahitaji maandamano kwenye huo mkutano maanake huu umekuwa ujinga mkubwa sana. Lakini narudi palepale tukiandamana itasaidia kitu gani sanasana tutakamatwa na kuswekwa ndani, huko Bongo wala wasiwe na habari tukaitwa wahuni tu...Mwaliko kama huu unakuonyesha jinsi watu hawa wasivyojua au wanavyojua kwamba JK ni fisadi na wanampongeza kwa kuwaachia njia nyeupee ya kupenyeza ukolonimamboleo.
Subject: Come meet the President of Tanzania
Invitation Top Banner <http://custom.cvent.com/FFFD4427058C4D01AF57EDACDD1AB05E/pix/f9213de12cf74535ad187a8079c594d8.jpg>
Learn directly from Tanzania 's President why his country is successful and what role Canadians can play in their economic development.
Madan M Chawla ,
This September , Tanzania's President , His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete will be coming to Toronto as the Canadian Council on Africa's guest of honour and I wish extend to you a personal invitation to meet him in person!
Starting in the morning with a number of presentations on the opportunities that exist in Tanzania and testimonials from Canadians who have been successful in this country , attending this one of a kind opportunity means you will:
* Learn directly from one of Africa's leaders in peace and prosperity on how Canadians can access unique opportunities
* Meet with the President of one of Africa 's most promising economies.
Madan M Chawla , I think you will agree that it is not every day which an African head of state comes specifically to meet with Canadian entrepreneurs such as yourself. I sincerely hope to see you in Toronto on September 16th. Limited spots are available and special rates have been reserved for CCAfrica members.
Sincerely ,
Lucien Bradet
CEO and President
Canadian Council on Africa
WHEN
Friday , September 16 , 201110:30 AM - 2:00 PMEastern Time
WHERE
Royal York Hotel100 Front Street West , Toronto , ON M5J 1E3
AGENDA
The Official Visit to Canada of Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania - Event Summary | Online Registration by Cvent?
RSVP
Thursday , September 15 , 2011
Please respond by clicking below
REGISTER ME TODAY! <REGISTER+ME+TODAY!<%2ffont>>
Invitation Bottom Banner <http://custom.cvent.com/Invitations/NameBadge/bottombanner.gif>
Having trouble with the link? Simply copy and paste the entire address listed below into your web browser:
The Official Visit to Canada of Jakaya Mrisho Kikwete, President of Tanzania - Invitation | Online Registration by Cvent?
If you no longer want to receive emails from Lucien Bradet please click the link below.
Opt-Out <Cvent - Error>
"Jifunze moja kwa moja kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Afrika kwa amani na ustawi wa jinsi Canada wanaweza kupata fursa ya kipekee"Naomba msome huo mwaliko taratibu ili muelewe exactly nini hawa wa-canada wanasema. Sentensi kama hii "Learn directly from one of Africa's leaders in peace and prosperity on how Canadians can access unique opportunities" Maana yake nini hasa baada ya kasheshe za Barrick?
Ndiyo maana nili ibold hiyo sentenso. Tuko mstari mmoja.Naomba msome huo mwaliko taratibu ili muelewe exactly nini hawa wa-canada wanasema. Sentensi kama hii "Learn directly from one of Africa's leaders in peace and prosperity on how Canadians can access unique opportunities" Maana yake nini hasa baada ya kasheshe za Barrick?
Huo pia ni ushindi wa waandamanaji hadi rais wa nchi kuahirisha ziara unafikiri ni kitu kidogo, kwa sababu US, States Department lazima walikuwa na taarifa ya ziara ya mkuu wa nchi kwa hiyo inabidi ziara iwe cancelled na sababu zitolewe usifikiri kitu cha kuahirisha kama yeye kwenda Bagamoyo.Mbona inaelekea Vasco kashtukia hiyo dili haji tena, atatuma mawaziri...:sick:
hII NDO RALLYING POINT YETU FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE TUNAWOMBA KUJIUNGA TAFADHALINI WATANZANIA WENZANGU
Kaka nimeona ya kiswahili (MAANDAMANO DHIDI YA KIKWETE) sio ya kingereza au zipo mbili auhII NDO RALLYING POINT YETU http://www.facebook.com/pages/Maandamano-Dhidi-Ya-Kikwete/116927725072759?v=wall TUNAWOMBA KUJIUNGA TAFADHALINI WATANZANIA WENZANGU
Jakaya atakuja USA na hakuna wa kumfanya kitu
<br />hII NDO RALLYING POINT YETU <b><a href="http://www.facebook.com/pages/Maandamano-Dhidi-Ya-Kikwete/116927725072759?v=wall" target="_blank">FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE</a> TUNAWOMBA KUJIUNGA TAFADHALINI WATANZANIA WENZANGU</b>
hatumkatazi kuja. sisi tunataka aje tumuaibishe, tunamsubiria kwa hamu sana. na akija ndo furaha yetu, kwa sababu tunataka kuandamana dhidi yake. na matayarisho tayari. nyie mliokula mali za umma tumbo zinawauma... huyu ni kama ghadafi pamoja na mwanae fisadi ridhiwani. janga la taifa. kikwete ni hatari kuliko ukimwi na ufisadi kwa pamoja
hII NDO RALLYING POINT YETU FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE TUNAWOMBA KUJIUNGA TAFADHALINI WATANZANIA WENZANGU