Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 643
Njia nzuri ya kuandama online.
1. kama unatumia simu, zima simu yako kisha dumbukiza chooni( hakikisha ni choo cha shimo)
2. kama unatumia computer, ikiwa on idumbukize kwenye pipa la maji ( hakikisha pipa limejaa maji ya kutosha)
jaribu moja ya njia hapo juu kisha tupe mrejesho
Kumbe! Ndo maana siwaoni. Niweke kwenye pipa la kupikia gongo au lolote?