SAFI SANA , CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Umeona eeeeh! Haya maandamano ni ya kwenye mitandao tuNiko Bweli, nimetokea mjini, Kariakoo mpaka kule ziwani soko la dagaa watu wanapiga biashara kama kawaida. Hakuna maandamano. Pale Bweri lango la kuingia stand kuna askari wa trafiki ka 5 tu na wanatimiza majukumu yao ya kila siku. HAKUNA MAANDAMANO. Mtoa post jitahidi kuwa mkweli.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Tunabidi tufike hatua ya kukubali kuwa tupo under control ya western countries.........inawezekana narudia inawezekana hata hao wanaotuamasisha kuingia kwenye maandamano wanatumiwa na hao western countries.........tuangalie nchi kama libya na misri hazitwaliki licha ya wananchi kufikiri kufanya maandamano ya kuwatoa viongozi waliowaita madkteta itasaidia kuleta maisha bora zaidi lkn mwisho wanabaki kujilaumu........lakini hao western countries wanaendelea kula mafuta.....ni lazma 2fanye maamuzi sahihi kama watanzania.
SAFI SANA , CHAMA CHA SIASA ni MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE .
Kweli bwana. Halafu jina lako linafanana na sehemu fulani kule Songea inaitwa Lizaboni ingawa zamani ilikuwa inaitwa Lisbon lakini akina bombii, nyumbii kwa kushindwa kutamka Lisbon(mji mkuu wa Ureno) wakawa wanatamka Lizaboni!Picha please. Haya maandamanomya kwenye keyboards tumeyachoka
Hayo ni maoga kishenzi yaani!! yanapeleka watoto kwenye shule za nyasi hayajali! pambaf sana chlnzChalinze! kaka kumbuka ustaarabu huanzia pwani kwa hao wavaa vikoi.Ndio maana kamanda Mboe ametangaza nia akiwa huko Pwani.Pia kumbuka wale watu si watu wakukurupukakurupuka bali huanza kutathmini mambo kabla ya kuyaendea.Hukumbuki tu,ishu ya gesi mtwara ulikuwa umesafiri nino mkuu au hukuwa humu kwenye mitandao.Serikali yenyewe inawaheshimu hao vikoi kwani wanawajua vizuri.Kuuana pasipo hatia na ugomviugomvi ni mambo ya kizamani sana.Nilitegemea kijana uhamasishe lkn kumbe unataka kuleta dharau na kutugawa watanzania?
mtayoa kila sababuhiyo picha mbona ni ya muda mrefu na hayo yalikua maandamano ya bodaboda wakidai kupunguziwa ushuru acheni uongo cdm.
Wewe punguani kweli kwa akili yako unaamini kweli Musoma kuna maandamano.Huo ni mkoa wa wanaume hawatishwi na vipolisi uchara, bango la kukaribishwa hakuna bali limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara.
Nikweli kaka.Pamoja na kucheza bao pia ni mashujaa wa ukweli katoka karne zote ndani ya nchi hii.Hebu pekua katika vitabu vya historia utagundua kuwa huo ni mchezo wa asili pwani na ni moja ya sehemu watu walikutana kumpinga mkoloni kupitia kampeni za chinichini.Uhuru huu unaouona leo hii asilimia 98% umeandaliwa na kufanikishwa na hao wacheza bao.Ndio maana ukitaja wapambanaji katika nchi hii huwezi kuwatoa watu km Abdulwahid Sykes na Cleist Sykes ambaye mi mdogo wake,Bibi Titi Mohamed,Zuberi Mtemvu,Sheikh Suleiman Takadiri,Sheikh Ramia,Bibi Kipara,Dosa Azizi na wengineo wengi sana tu kwa hapa hawa wanatosha.Wakati Nyerere anaenda uingereza hawa ndio waliomchangia fedha na kuhamasisha juu ya kudai uhuru.Ww ndugu wakati huo nyie bara mmetulia tu,wazee wa pwani wanahangaika kudai uhuru.Leo mnawatukana watetezi wenu?Kweli fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi.Leo nimekubali wahenga wamesema kweli.Watu wa pwani kazi yao kukaa vijiweni na kucheza bao tu kutwa.