Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

otorokoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
2,437
Reaction score
157
Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali, wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.

Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa, ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.
attachment.php

attachment.php
 
mm nipo hapa. nasubili mda wa kazi upite nakuja kuliunga now.

HAYA MAANDAMANO HAYANA KIKOMO.
 
Leo hii maandamano ya chadema yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka mwanza kuelekea musoma mjini,wapo wanaotokea bweri,wapo wanaotokea wilaya ya butiama etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.Picha nitazileta muda si mrefu kwa sisi tunaoanzia bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote

umebeba mkate?
 
Watatuelewa tu.. Tumeanza na Mungu tupo na Mungu na Tutamaliza Na Mungu
 
Leo hii maandamano ya chadema yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka mwanza kuelekea musoma mjini,wapo wanaotokea bweri,wapo wanaotokea wilaya ya butiama etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.Picha nitazileta muda si mrefu kwa sisi tunaoanzia bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote
Polisi wa huko na sehemu nyingine watatumia busara kubwa endapo watawaacha waandamane na kisha kutawanyika bila kuwapiga virungu na kusababisha ghasia. Mimi ninavyojua kuandamana ni kutembea katika kuandi kuanzia watu wawili na kuendelea ili kufikisha ujumbe au malalamiko kwa wahusika. Sasa kuna haja gani kupambana na wanaoandamana wakati hawadai nauli wala chakula?!
 
Tayari musoma mjini maandamano yamenza kona zote za mji makamanda wamejitokeza
 
Huo ni mkoa wa wanaume hawatishwi na vipolisi uchara, bango la kukaribishwa hakuna bali limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara.

Huu ndo wakati wa wananchi kupinga uhuni wa chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom