Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

sidhani kama wote wanaondamana wanayafahamu madhumuni ya waanzisha hayo maandamano, wengi wao ni wanafuata mkumbo tu.
 
maandamano yanaanzia katani kusikojulikana,yatakutania musoma mjini ofisi za chama shughuli zimesimama ili kuendeleza mapambano mtaani[/ quote] mwandaaji wa hii kitu ni nouma sana,tangazo linasema tukutane tulipokubaliana laaaa!! Kwa hiyo waandamanaji wanajua wanapoenda kukutania,wewe kama sio sehemu yao kaa utulie.
 
Nasubiri nisikie statistic ya wangapi waliofariki kama kafara wa Mbowe mwaka huu kwa ajili ya kulinda uhongozi wake CDM, wajinga handamaneni. Slaa na Mbowe wanakula raha na malaya zao nyumbani maana wanajua kuwa ni mda wa kafara.
 
Ukiangalia sura tu za hao waandamanaji utajua tu kuwa akili zao zikoje....Poleni sana mnaoitaka Ikulu kwa style hiyo
 
Mimi nawashanga wote wanaopinga na kukebei haya maandamano Sijui siyo watanzania
 
Polis wamekosa pa kuanzia maana yameratibiwa kwa ustadi mkubwa sana

Mkuu nafikiri ni busara tu polisi wametumia kuwaachia kwani nao waanajua ukweli, vinginevyo nchi hii ilivyo ya ajabu wangekodiwa polisi hata kutoka Kenya.
 
nawapongeza sana makamanda wote wa CDM muda wa ukombozi umesharibia hata ss Arusha tupo kwenye maandalizi muda ukifika tunaingia barabarani polisi hawana uwezo wa kuzuia maandamano ya nguvu ya umma ..TIME WILL TELL
 
Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.

Mbona hakuna hata bango la kupeleka ujumbe wa kusitishwa katiba?
 
watani wangu leo mmenifurahisha sana. Police hata hawakujua mnanzia wapi maandamano? Lakini pia ni ishara ya kuwambia maghamba 'tuko tayari'. Nimesikitika sana leo kuona maghamba yanabadirisha kanuni bmk hati walionje ya bunge wapige kura!

Bilashaka katiba hiyo mpya imeruhusu mfumo wa upigaji kura hata kwa walioughaibuni....kama sivyo...mtatuelewa tu...
 
Ukiona hivyo basi ujuwe mikoa mingi ya bara haikutawaliwa mlitawaliwa nyinyi wavaa misuri na wafuga mabusha.

Maana unataka kuleta porojo za misikitini na ngano za Mohamed Saidi.

Sasa nyinyi mtatawaliwaje wakati mlikuwa hamjitambui.Pia sijui historia hiyo ni ya wapi.Tatizo lenu mnajikweza kwa sifa bandia,ilhali wenye kustahiki sifa mnawatengezea jina baya.Hii ni slogan ya watu wapenda kujikweza.Mnatumia kanuni ya kuua paka au mbwa kwa kumbabatizia jina baya ili watu wamuone mbaya na wamuue.Sasa nyinyi mnaleta kwetu mara ooohh vishipa,mara wavaa misuli.Hayo maradhi tu na mavazi ambayo hata wewe yanakupata.Mbona maeneo fulanifulani wanameno ya rangi flani na sehemu zengine huko miguu inamatege na wakitembea km wanapanda mlima vile.Hayo ni matatizo ya kibinadamu tu kutokana na matatizo ya asili ya pande hizo.Tusidharauliane na kubezana kwa matatizo tuliyopewa na mungu ambayo hata wewe yanaweza kukupata.Kuhusu historia kaka ya msikitini inawezekana km ulivyodai lkn kwani mda siunabadilika na mambo yanabadilika.Mm naona hivi sasa huenda elimu imehama kwenye makoti na sasa ipo kwenye kanzu.Asanterabi Malima ni mfano mzuri na mwepesi kwako.Jenga hoja kaka,sio matusi na kejeli.
 
watani wangu leo mmenifurahisha sana. Police hata hawakujua mnanzia wapi maandamano? Lakini pia ni ishara ya kuwambia maghamba 'tuko tayari'. Nimesikitika sana leo kuona maghamba yanabadirisha kanuni bmk hati walionje ya bunge wapige kura!

Bilashaka katiba hiyo mpya imeruhusu mfumo wa upigaji kura hata kwa walioughaibuni....kama sivyo...mtatuelewa tu...


.
hiki kinachoitwa katiba ambayo ni draft ya chief Bokasa Samweli Sitta na mwandishi fisadi andrew chenge hatuihiaji Tanzania. tutaipiga nyundo za kila aina hadi tuitokomeze katika shimo lisilokuwa na ukomo inakotokea.
viva Chadema, viva Ukawa!
.
 
Back
Top Bottom