mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Nipo njiani nakuja
Mbona haya kwenye picha ni mkutano chama wa siku nyingi zilizopita na si maandamano?
Viongozi gani wapo huko Kamanda?
.......utaunguza mboga bure hakikisha watoto wameoga !!!
hizo siyo sauti ya uma wa watanzania ila ni sauti za wahangaikaji.mapambano yaendelee hatulali mpaka kieleweke hizo ni sauti za umma wa tanzania tupo pamoja wakuu
.......utaunguza mboga bure hakikisha watoto wameoga !!!
NGUVU YA UMMA HAIJAWAHI KusHINDWA .
hizo siyo sauti ya uma wa watanzania ila ni sauti za wahangaikaji.
Huo ni mkoa wa wanaume hawatishwi na vipolisi uchara, bango la kukaribishwa hakuna bali limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara.
Chalinze! kaka kumbuka ustaarabu huanzia pwani kwa hao wavaa vikoi.Ndio maana kamanda Mboe ametangaza nia akiwa huko Pwani.Pia kumbuka wale watu si watu wakukurupukakurupuka bali huanza kutathmini mambo kabla ya kuyaendea.Hukumbuki tu,ishu ya gesi mtwara ulikuwa umesafiri nino mkuu au hukuwa humu kwenye mitandao.Serikali yenyewe inawaheshimu hao vikoi kwani wanawajua vizuri.Kuuana pasipo hatia na ugomviugomvi ni mambo ya kizamani sana.Nilitegemea kijana uhamasishe lkn kumbe unataka kuleta dharau na kutugawa watanzania?Waambie mkuu! Asidhani wale ni sawa na watu wa Chalinze wavaa vikoi.
Chalinze! kaka kumbuka ustaarabu huanzia pwani kwa hao wavaa vikoi.Ndio maana kamanda Mboe ametangaza nia akiwa huko Pwani.Pia kumbuka wale watu si watu wakukurupukakurupuka bali huanza kutathmini mambo kabla ya kuyaendea.Hukumbuki tu,ishu ya gesi mtwara ulikuwa umesafiri nino mkuu au hukuwa humu kwenye mitandao.Serikali yenyewe inawaheshimu hao vikoi kwani wanawajua vizuri.Kuuana pasipo hatia na ugomviugomvi ni mambo ya kizamani sana.Nilitegemea kijana uhamasishe lkn kumbe unataka kuleta dharau na kutugawa watanzania?
Usipotezeee hoja ,jibu hoja