mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
Kazi safi sana
Haiingii akilini kudhani wenye uwezo wa kufikili ni wana ccm tuMakamanda wakitokea Etaro kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara kupeleka maandamano yao bila kikomo sasa wapo maeneo ya Bukanga kwenye Mtambo wa Maji
hao maccm wamezoea kufikiri kwamba watanzania hawawezi kufikiri.Ni kiburi kibaya kufikiri wao ndiyo wenye haki ya kufikiri kwa niaba ya wengine
.View attachment 187312
Nikweli kaka.Pamoja na kucheza bao pia ni mashujaa wa ukweli katoka karne zote ndani ya nchi hii.Hebu pekua katika vitabu vya historia utagundua kuwa huo ni mchezo wa asili pwani na ni moja ya sehemu watu walikutana kumpinga mkoloni kupitia kampeni za chinichini.Uhuru huu unaouona leo hii asilimia 98% umeandaliwa na kufanikishwa na hao wacheza bao.Ndio maana ukitaja wapambanaji katika nchi hii huwezi kuwatoa watu km Abdulwahid Sykes na Cleist Sykes ambaye mi mdogo wake,Bibi Titi Mohamed,Zuberi Mtemvu,Sheikh Suleiman Takadiri,Sheikh Ramia,Bibi Kipara,Dosa Azizi na wengineo wengi sana tu kwa hapa hawa wanatosha.Wakati Nyerere anaenda uingereza hawa ndio waliomchangia fedha na kuhamasisha juu ya kudai uhuru.Ww ndugu wakati huo nyie bara mmetulia tu,wazee wa pwani wanahangaika kudai uhuru.Leo mnawatukana watetezi wenu?Kweli fadhila mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi.Leo nimekubali wahenga wamesema kweli.
Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.
Picha nitazileta muda si mrefu kwa sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.
Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.
Nyie mnaanza lini mkuuwakuu kila la heri pamoja daiama
Hayo ni maoga kishenzi yaani!! yanapeleka watoto kwenye shule za nyasi hayajali! pambaf sana chlnz
wapuuzi hao wanatafuta airtime kwenye magazeti
Na sisi tuko njiani kutoka kwenye kata yetu
mkuu ndo tupo barabarani sasaNyie mnaanza lini mkuu
Mkuu wengi huko ni Askari waliostaafu, usishangae wanakumbuka mbinu za medani!mbona raia wachache