ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Vipi! Mkong'oto
Nasubiri nisikie statistic ya wangapi waliofariki kama kafara wa Mbowe mwaka huu kwa ajili ya kulinda uhongozi wake CDM, wajinga handamaneni.
Sasa nyinyi mtatawaliwaje wakati mlikuwa hamjitambui.Pia sijui historia hiyo ni ya wapi.Tatizo lenu mnajikweza kwa sifa bandia,ilhali wenye kustahiki sifa mnawatengezea jina baya.Hii ni slogan ya watu wapenda kujikweza.Mnatumia kanuni ya kuua paka au mbwa kwa kumbabatizia jina baya ili watu wamuone mbaya na wamuue.Sasa nyinyi mnaleta kwetu mara ooohh vishipa,mara wavaa misuli.Hayo maradhi tu na mavazi ambayo hata wewe yanakupata.Mbona maeneo fulanifulani wanameno ya rangi flani na sehemu zengine huko miguu inamatege na wakitembea km wanapanda mlima vile.Hayo ni matatizo ya kibinadamu tu kutokana na matatizo ya asili ya pande hizo.Tusidharauliane na kubezana kwa matatizo tuliyopewa na mungu ambayo hata wewe yanaweza kukupata.Kuhusu historia kaka ya msikitini inawezekana km ulivyodai lkn kwani mda siunabadilika na mambo yanabadilika.Mm naona hivi sasa huenda elimu imehama kwenye makoti na sasa ipo kwenye kanzu.Asanterabi Malima ni mfano mzuri na mwepesi kwako.Jenga hoja kaka,sio matusi na kejeli.
Mtetezi wa Tapeli Tibaijuka unatukana namna hiyo?
Ukiangalia sura tu za hao waandamanaji utajua tu kuwa akili zao zikoje....Poleni sana mnaoitaka Ikulu kwa style hiyo
Wewe kweli Mzaramo yani mabusha kawapa Mungu? Realy? Seriously? Am out.
Lakini wameandamana.hao waandamanaji hata 20 hawafiki
utafikiri wanafukuza mwizi
wengi hapa ni njaa tu, mungu tusaidie.
Waambie mkuu! Asidhani wale ni sawa na watu wa Chalinze wavaa vikoi.
Tumaini Makene likes Chakaza comment
ndiyoooo!!!!!!!!!mlitaka wasiandamane
leo hii maandamano ya chadema yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka mwanza kuelekea musoma mjini.wapo wanaotokea bweri,wapo wanaotokea wilaya ya butiama etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.
Sisi tunaoanzia bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.
Makamanda wote wa musoma tukutane mahali tulipokubaliana.
![]()
![]()
Huo ni mkoa wa wanaume hawatishwi na vipolisi uchara, bango la kukaribishwa hakuna bali limeandikwa sasa unaingia mkoa wa Mara.