Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Leo hii maandamano ya CHADEMA yameanza kutoka kata mbalimbali,wapo walioanzia barabara kuu inayotoka Mwanza kuelekea Musoma Mjini.Wapo wanaotokea Bweri,wapo wanaotokea wilaya ya Butiama Etaro watu wote hawa wanaenda kukutania ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa wilaya na kwingineko kupinga bunge la katiba linaloendelea.

Picha nitazileta muda si mrefu kwa sisi tunaoanzia Bweri kuelekea mjini kuanzia sasa kwani wananchama wameamua kuandamana usiku na mchana na kusitisha shughuli zote.

Makamanda wote wa Musoma tukutane mahali tulipokubaliana.

m bado nawasisitiza makamanda mtumie sana busara katika hili kwani madhara yake yatawagharimu wengi sana
 
Message sent... hongereni makamanda wote na mkuu wa polissi kwa kuruhusu maandamano ya amani kupinga ufisadi bunge la katiba
 
Mara back tanganyika,hatutaki tanganyika kuwa buzi la zanzibar,halafu na nyie wasaliti msije mara.tukiwandua tutawafanyizia haki ya mungu wetu.
 
.....tena apike ugali mkubwa maana Makamanda ndo tuko kazini ki ukombozi !!!

Sure mkuu tena ahakikishe anaandaa maji ya kuoga nayeye mwenyewe aoge na Akae mkao wa ....... Makamanda tukitoja mzigoni TUJIPUMZISHE alah!!

BACK TANGANYIKA
 
....

....Bunge la kijambazi halikubaliki !!!

attachment.php
 
Sure mkuu tena ahakikishe anaandaa maji ya kuoga nayeye mwenyewe aoge na Akae mkao wa ....... Makamanda tukitoja mzigoni TUJIPUMZISHE alah!!

BACK TANGANYIKA

......kabisa mkuu magamba yamekaa kitaarabu taarabu hiyo kazi ya kupika inamfaa sana !!!!
 
Maandamano ya Chadema msoma mjini yakiendelea wakati huu....Huu ni muendelezo wa maandamano nchi nzima yasiyo na kikomo.
attachment.php
 

Attachments

  • 10704436_732760346759216_143779246301982447_o.jpg
    10704436_732760346759216_143779246301982447_o.jpg
    102.2 KB · Views: 977
  • 10357654_732758300092754_5937260623833068469_o (2).jpg
    10357654_732758300092754_5937260623833068469_o (2).jpg
    95.4 KB · Views: 1,206
mh! Hayo siyo Maandamano nadhani ni msongamano wa watu, mbona hakuna mabango?
 
Back
Top Bottom