Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 405
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.
Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?
Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.
Nawakilisha.
Wajaribu waone kama hawataishia kutupiwa mayai viza na kuzomewa.CCM imeoza, inanuka ,haipendwiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
mkuu,uchaguzi wa serikali za kijiji,jimbo la mboz kwa mh sin(zambi).umefanyika tar26-2-11ktk vijiji 8,cdm imechukua 6.v4 katika katamoja,CCM IMEOZA INANUKA.Imeoza kuanzia mwezi gani? CCM hii imeshinda uchaguzi mwaka jana! Au hawapigi kelele kama CDM? Unatumia kigezo gani kuona CCM imeoza na wakati ili zima mikwala ya dog ya CDM uchaguzi uliopita? Tusubiri chaguzi ndogo ndio tutaona nani ana nguvu CDM au CCM na sio ushabiki mahaba!
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.
Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?
Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.
Nawakilisha.
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.
Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?
Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.
Nawakilisha.
Mi nafikiri badala ya wao kuzunguka na kujibu hoja, wafanyie kazi hizo kero zote, moja baada ya nyingine, priority ikiwa ni hili limgao la umeme ambalo halina kichwa wala miguu aaaaaargh!
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.
Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?
Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.
Nawakilisha.
utasikia yafuatayo:
1. msafara wa CCM wapata ajali
2. Zomea Zomea yamkumba JK
3. Wafuasi wa CCM wapambana na wa CDM
3. Damu yamwagika kwenye mkutano wa CCCM
4. Msafara wa CCCM wapigwa mawe
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.
Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?
Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.
Nawakilisha.
CCm wamepewa fursa ya kwaletea wananchi maendeleo hawonekani wakifanya hivyo, bali wako busy na ufisadi dhidi ya fedha zetu tulizowakabidhi wazitumie kwa maendeleo yetu. wapinzani kazi yao ni kuwashinikiza watawala watimize wajibu wao kwa wananchi kwa njia yoyote (ikiwamo maandamano), wanatimiza wajibu wao unawalaumu! Ni wajib wa aliyekabidhiwa mamlaka ya kukusanya kodi kukuletea huduma bora za elimu, afya na gharama nafuu za maisha uyasemayo. Kumtaka mpinzani akuletee maendeleleo badala ya mtawala napata shida kuwa umewezaje kuingia hata kwenye mtandao kama huu wakati upeo wako uko chini sana?Si kila kitu unajibu kwa style ya ya maandamano Hiyo hela ya kuzunguka siitumike kununua mafuta ya kuwasha IPTL? CHADEMA kuzunguka nchini kufanya maandamano hiyo hela wanayoitumia wangekua na mipango thabiti ya kushinda kisiasa na kisayansi wangefaya mambo makubwa sana ambayo wananchi wangewakumbuka milele na hata CCM wangekata tamaa kabisa ya uwepo wake. Sasa kufanya maandamano na agenda ni lawama ccm hawafai wezi na dowans isilipwe, I don't thing is worthful to watanzania. Watanzania tunataka mawazo na mipango mbadala itakayoleta maji, huduma bora za afya elimu bora, garama nafuu za maisha, wananchi kujua wajibu wao na kuufanyia kazi nk.