Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bado Niponipo, Mar 3, 2011.

 1. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

  Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

  Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

  Nawakilisha.
   
 2. muhosni

  muhosni JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hii gahawa ya leo safi sana, leta kashata mbili
   
 3. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hicho chama cha CCCM kimesajiliwa lini?
   
 4. Bado Niponipo

  Bado Niponipo JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 15, 2008
  Messages: 680
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Usipate shida mkuu, ni typo.
   
 5. stwita

  stwita JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 1,180
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Mi nafikiri badala ya wao kuzunguka na kujibu hoja, wafanyie kazi hizo kero zote, moja baada ya nyingine, priority ikiwa ni hili limgao la umeme ambalo halina kichwa wala miguu aaaaaargh!
   
 6. s

  seniorita JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mie hata sijui nani katibu wa CCM vile; jmani nifahamisheni maana hicho chama kwangu kimekufa eti...kumbe kina na katibu...je huyo ni nani na I feel sorry kama atakuwa wa kujibu hoja za CDM...they must find a true match (that is, if there is still one left out there for CCM)....
   
 7. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,985
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nipo na wewe kuzunguka waje wazunguke kwenye kampeni uchaguzi umeisha wachape kazi watuondolee kero maana maisha ni magumu sana na hayawezi kuboreshwa na mikutano ya hadhara....... inahitaji kushirikiana na si kushutumu na kushutumiana!!!!
   
 8. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,638
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Mwenyekiti yuko paris na katibu mkuu sidhani kama anakubalika. Labda mwingine
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,799
  Likes Received: 1,237
  Trophy Points: 280
  utaandamana wewe JK na Makamba.
   
 10. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye red unamaanisha nini? Au CCM (Chama Cha Mafisadi)?
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 10,323
  Likes Received: 3,485
  Trophy Points: 280
  Wajaribu waone kama hawataishia kutupiwa mayai viza na kuzomewa.CCM imeoza, inanuka ,haipendwiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
   
 12. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,285
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni ngumu kidogo kung'amua kuwa ms SI MWANACHAMA WA CCM......!

  ninapenda pia staili ya ms ya kuichallange ccm...!
   
 13. elimumali

  elimumali Senior Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  CCM wako busy kutimiza yale waliyowaahidi wananchi, wako maofisini na pembe zingine zote za utekelezaji wa ahadi zao hawana muda wa kuandamana na kulumbana, kuwaita wananchi na kuwapotezea muda wao badala ya kutatua kero zao kwa vitendo. Hivi maandamano na maneno ni utekelezaji wa vitendo huo au maneno tu. Acheni uchochezi.
   
 14. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,342
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  kwani hotuba za rais za mwisho wa mwezi hazitoshi?
   
 15. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Si kila kitu unajibu kwa style ya ya maandamano Hiyo hela ya kuzunguka siitumike kununua mafuta ya kuwasha IPTL? CHADEMA kuzunguka nchini kufanya maandamano hiyo hela wanayoitumia wangekua na mipango thabiti ya kushinda kisiasa na kisayansi wangefaya mambo makubwa sana ambayo wananchi wangewakumbuka milele na hata CCM wangekata tamaa kabisa ya uwepo wake. Sasa kufanya maandamano na agenda ni lawama ccm hawafai wezi na dowans isilipwe, I don't thing is worthful to watanzania. Watanzania tunataka mawazo na mipango mbadala itakayoleta maji, huduma bora za afya elimu bora, garama nafuu za maisha, wananchi kujua wajibu wao na kuufanyia kazi nk.
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,911
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  utasikia yafuatayo:

  1. msafara wa CCM wapata ajali

  2. Zomea Zomea yamkumba JK

  3. Wafuasi wa CCM wapambana na wa CDM

  3. Damu yamwagika kwenye mkutano wa CCCM

  4. Msafara wa CCCM wapigwa mawe
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,911
  Likes Received: 659
  Trophy Points: 280
  hazina jipya

  zinaboa
   
 18. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  teh! CCCM teh! Ndio chama cha wap hcho? Ila pouwa nimeipenda hyo!
   
 19. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 2,277
  Likes Received: 2,434
  Trophy Points: 280
  CCCM bila shaka chama kipya hiki ila sijawahi kisikia, wanaanza lini waandamano? Na viongozi wake ni akina nani?
   
 20. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,697
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Ushirikina umewakaa sana wale, viongozi wao wote wanavaa pete za majini ya sheikh yahaya nimeshangaa hata wasomi na vijana kama kina Ngereja William naye analo pete kuuuuuubwa.
   
Loading...