Si kila kitu unajibu kwa style ya ya maandamano Hiyo hela ya kuzunguka siitumike kununua mafuta ya kuwasha IPTL? CHADEMA kuzunguka nchini kufanya maandamano hiyo hela wanayoitumia wangekua na mipango thabiti ya kushinda kisiasa na kisayansi wangefaya mambo makubwa sana ambayo wananchi wangewakumbuka milele na hata CCM wangekata tamaa kabisa ya uwepo wake. Sasa kufanya maandamano na agenda ni lawama ccm hawafai wezi na dowans isilipwe, I don't thing is worthful to watanzania. Watanzania tunataka mawazo na mipango mbadala itakayoleta maji, huduma bora za afya elimu bora, garama nafuu za maisha, wananchi kujua wajibu wao na kuufanyia kazi nk.