Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

Nawakilisha.

Ni mwanachama wa ccm mwenye kichwa kama cha mwendawazimu tu ndiye anayeweza kuzunguka nchi nzima kufafanua hoja za CDM.
 
makamba atakuwepo kwenye msafara?

wasanii wa bongo fleva je? what abaout masanja mkandamizaji nae atakuwepo na ze comedi?
 
Wajaribu waone kama hawataishia kutupiwa mayai viza na kuzomewa.CCM imeoza, inanuka ,haipendwiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.

Imeoza kuanzia mwezi gani? CCM hii imeshinda uchaguzi mwaka jana! Au hawapigi kelele kama CDM? Unatumia kigezo gani kuona CCM imeoza na wakati ili zima mikwala ya dog ya CDM uchaguzi uliopita? Tusubiri chaguzi ndogo ndio tutaona nani ana nguvu CDM au CCM na sio ushabiki mahaba!
 
mkuu,uchaguzi wa serikali za kijiji,jimbo la mboz kwa mh sin(zambi).umefanyika tar26-2-11ktk vijiji 8,cdm imechukua 6.v4 katika katamoja,CCM IMEOZA INANUKA.
 
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

Nawakilisha.

Wameishiwa hela sasa hivi watakosa malori ya kuwabeba watu na hela ya posho kwa waandamanaji (kimsingi ni watembeaji)
 
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

Nawakilisha.

CCM mbona wana watu wengi sana!! huenda wengi kuliko CHADEMA!
CCM hata wakipeleka kuku ikahutubie watapata watu wengi. huenda wengi kuliko wale wa CDM.
Cha msingi ni kujiuliza je, watapata watu wenye weledi?
 
Bora wangeanzia mikoa ya Kusini ambako wenyewe wakose sukari, umeme wanaona poa tu. Huko Kanda ya Ziwa wataishia kuzomewa tu.....watch.
 
Mi nafikiri badala ya wao kuzunguka na kujibu hoja, wafanyie kazi hizo kero zote, moja baada ya nyingine, priority ikiwa ni hili limgao la umeme ambalo halina kichwa wala miguu aaaaaargh!

Nakuunga mkono, nimekugongea senksi.
Cha kufanya, baada ya cdm kupita mikoani na kuwakumbusha wananchi shida walizonazo, inabidi sisiemu wapite kwenda kutekeleza ilani yao na kutatua hizo kero (elimu duni, ukosefu wa maji safu, huduma duni za afya n.k.) na kadhia nyingine ambazo cdm 'wameziibua'. Hio ni njia pekee ambayo sisiemu itaonesha kwamba inawajali wananchi wake, vinginevyo watarajie makubwa zaidi iwapo wataandamana kupingana na cdm. I stand to be corrected.
 
mmm, kwa sasa wako busy kuitumia KULA waliyopewa, wakijitahidi sana nikurusha vijembe wanapohijiwa kwenye vyombo vya habari kama njia ya kujihami ila 1015 january watapatikana sana kama daladala za jiji. Pondeni raha 2 mwisho wenu waja!
 
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

Nawakilisha.

....hayo hayatakuwa maandamano bali ni jiving!!!!
 
labda kwenye maandamano yao wamtangulize mwakyimbe, samweli sitta na magufuli, ndiyo angalau watapata watoto wa shule za msingi kwenye mikutano yao.
 
Kama si wachochezi, Wasira, Cheyo, Mrema na yule Balozi wa amani wa kuchonga, mmepwa somo na bwana Niponipo. Mwelezeni aliyewatuma njia sahihi ni hiyo aliyoshauri bwana Niponipo Na siyo kujenga mazingira ya kuanzisha fujo. Maana mkizuia maandamao mikutano ya CDM ambayo kwetu ni darasa la kutambua haki zetu na uozo ndani ya serikali ili kwa pamoja tupaaze sauti zeti mafisadi akina RA waondoshwe kwenye vyombo vya maamzi, tayari mtakuwa mmeweka gia kutuelekeza Misri na Libya.
 
utasikia yafuatayo:

1. msafara wa CCM wapata ajali

2. Zomea Zomea yamkumba JK

3. Wafuasi wa CCM wapambana na wa CDM

3. Damu yamwagika kwenye mkutano wa CCCM

4. Msafara wa CCCM wapigwa mawe

Kikwete anapendwa sana hawezi pigwa mawe, tena maandamano yake yaanzie Mbeya wanakopenda vitendo zaidi kuliko kubwabwaja domo
 
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi nzima kutumia majukwaa na maandamano kujibu hoja na tuhuma za CDM na kuwaeleza wananchi wanampango gani katika kutatua kero zao, na kwa kuanzia waende kanda ya ziwa kufuta nyayo za CDM na wafanye hivyo hivyo kwa mikoa mingine ambayo CDM watafanya maandamano na mikutano ya hadhara.

Lakini angalizo langu ni jee, nani katika CCCM mwenye mvuto na anayekubalika na watanzania ambaye atazunguka Tanzania nzima kujibu tuhuma na hoja za CDM, je CCCM watapata mahudhurio makubwa kama wanayopata CDM na je mwitikio wa maandamano na mikutano ya hadhara ukiwa mbaya hii itatufundisha nini?

Je mwenyekiti na katibu wa CCCM wako tayari kuchukua jukumu hili na kuzunguka Tanzania nzima kujibu hoja za CDM kwa wananchi.

Nawakilisha.

kweli bado upo upo
 
Si kila kitu unajibu kwa style ya ya maandamano Hiyo hela ya kuzunguka siitumike kununua mafuta ya kuwasha IPTL? CHADEMA kuzunguka nchini kufanya maandamano hiyo hela wanayoitumia wangekua na mipango thabiti ya kushinda kisiasa na kisayansi wangefaya mambo makubwa sana ambayo wananchi wangewakumbuka milele na hata CCM wangekata tamaa kabisa ya uwepo wake. Sasa kufanya maandamano na agenda ni lawama ccm hawafai wezi na dowans isilipwe, I don't thing is worthful to watanzania. Watanzania tunataka mawazo na mipango mbadala itakayoleta maji, huduma bora za afya elimu bora, garama nafuu za maisha, wananchi kujua wajibu wao na kuufanyia kazi nk.
CCm wamepewa fursa ya kwaletea wananchi maendeleo hawonekani wakifanya hivyo, bali wako busy na ufisadi dhidi ya fedha zetu tulizowakabidhi wazitumie kwa maendeleo yetu. wapinzani kazi yao ni kuwashinikiza watawala watimize wajibu wao kwa wananchi kwa njia yoyote (ikiwamo maandamano), wanatimiza wajibu wao unawalaumu! Ni wajib wa aliyekabidhiwa mamlaka ya kukusanya kodi kukuletea huduma bora za elimu, afya na gharama nafuu za maisha uyasemayo. Kumtaka mpinzani akuletee maendeleleo badala ya mtawala napata shida kuwa umewezaje kuingia hata kwenye mtandao kama huu wakati upeo wako uko chini sana?
 
Back
Top Bottom