Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

hiyo statement hata mi niliisikia.....hivi waandishi wa hizi speech anawachagua mwenyewe au? mbona UD kuna maprofesa....wanahusishwaga kweli kwenye kutoa mawazo kwa mheshimiwa? au labda kaandika mwenyewe?

yaani ninajiuliza maswali mengi sana.

Wote wale wachakachuaji, wewe utumie REDET UTEGEMEE NINI WAKATI HATA RESEARCH FINDINGS WANACHAKACHUA?
 
this makes no sense.. Kikwete si amebeza Chadema kuandamana akisema uchaguzi umekwisha na waende kutoa malalamiko yao Bungeni, kwanini hata wazo hili CCM wanalientertain. Wao (CCM) waende Bungeni kutoa maelezo au waitishe waandishi wa habari...
 
Maneno kwamba mbona fulani kashindwa mm nitwezaje? Hayasemwi wanaume hadharani hasa ulizingatia ni x mjeshi. Uraisi aliomba wa nini kama hawezi kitu cho chote? Maskini wa Mungu
 
Wote wale wachakachuaji, wewe utumie REDET UTEGEMEE NINI WAKATI HATA RESEARCH FINDINGS WANACHAKACHUA?

Hayooooo yameshindwa uchaguzi nakubaki kuota oooh CCM ita anguka! Msahau kabisa na 2015 tutashinda na mtasema tumechakachua!
 
wewee kama yatakuwepo posho lazima t shirt, khanga na kofia za bure bila kusahau msosi before marching, bishaaa! Ndo utaratibu wao toka enzi na enzi kumbuka jasiri aaachi asili!
 
Lakini chama tawala kiitishe maandamano ya nini? Lengo ya maandamano haswa ya kisiasa ni kupinga utendaji wa serikali iliyopo. Saa wao wanaandamana kupinga nini na wakati madaraka wanayo wao? Labda kama ni makongamano ya kisiasa ila mh hayo hayata kuwa maandamano.
 
Kuna tetesi kuwa chama cha mapinduzi kitaitisha maandamano makubwa nchi nzima mara baada ya kikao cha halmashauri kuu baadaye mwezi huu. Maandamano hayo yataanzia Singida Mjini, halafu Dodoma, Morogoro, Tabora, Lindi, Mtwara na kuishia Temeke Dar. Lengo ni kupima kama athari za vuguvugu la CDM limefika hadi katika mikoa hii ambayo ni ngome yake ya miaka mingi. Hakutakuwa na kuwabeba watu kwenye malori isipokuwa watu watahamasishwa tu kuhudhuria. Hata wanamuziki wa bongo fleva hawataalikwa.

Source: Ofisi ya katibu mkuu CCM makao makuu.



Ebo! Maandamano ya nini tena CCM? Mwenyekiti na Rais wao Kiwete kasema kuwa maandamano baada ya Uchaguzi ni kuchochea vurugu na kutaka kuiondoa serikali iliyoko madarakani??? Sasa CCM wanafanya maandamano ya nini wakti Uchaguzi tulimaliza tarehe 31 Okt,2010 kama alivyodai Kiwete???

Dr. Slaa si wamemkamata huko Shybush kwa kuandamana? Kwa hiyo na Kiwete naye atakamatwa na Intelijensia ya Mwema???

Ama kweli CCM kuna vioja. Kwikwii,tehe tehe yaani hapa sina mbavu. Yaani CCM wanaonekana kweli wamefulia haswa. Yaani kitu ambacho wanasema ni haramu sasa na wao wanataka kukifanya??? Haroo haroo sijui kama 2015 wataweza kuhimili vishindo vya Uchaguzi! Maana nasikia hii hela ya Dowans 94 Bilioni ilikuwa ilipwe kwa RA kwa AJILI YA UCHAGUZI WA 2015, sasa imekwama sijui itakuwaje hawa jamaa.

Bila shala watakufa kifo cha mende come 2015.
 
Kama mwenyekiti wa chama amekiri wazi wazi kuwa WAMESHINDWA,tunasubiri nini kuwafurusha hawa watoke wasiendelee kutupotezea muda?Pls watz tumsaidie mkwere kufanya maamuzi magumu,tumtimue!
 
Badala ya kutatua kero za wananchi walizoziwasilisha kupitia maandamano wao wanadesa. Sasa hayo maandamano yatashusha gharama za maisha au yatatupatia umeme wa uhakika? Watu waliozoea mipasho kamwe hawafai kabisa kupewa uongozi. Wanathibitisha jinsi tulivyochemsha kuwaachia watuongoze. I pity the fool.
 
Hawa ndio wachochezi wanaandamana ili iweje kwani wao wanamaisha magumu.
 
Kwa akili hizi za wachangiaji CCm itatawala milele..maana bila kufikiria mipuuzi inaingia kichwa kichwa.
 
wera, wera! Ha2andaman bla ya hela, tshrt, kofia, n.k. Mafuso pia wasisahau ku2letea! Ama kwel mfa maj haach kutapatapa! Akil ya mkwere+makamba='UPUPU'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom