cjilo
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 884
- 448
Code:
[quote="Nnauye Jr, post: 4001385"]Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.
inasikitisha sana kama haya maneno yanakutoka mdomoni, yaani kati ya chadema na nyinyiemu ni nani ambaye hawaonei huruma wananchi?
ni yule anamwongezea mzigo kiasi cha wazazi kushindwa kuwasomesha vijana wao vyuo vikuu?
ni yule anayeiba mabilioni ya wananchi?
ni yule anawasaidia kuwaonyesha wezi wao wanaowazulumu na kuwaibia wao na familia zao?