Jakubumba
JF-Expert Member
- Mar 5, 2011
- 1,624
- 501
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Njaa ni mbaya sana, hivi nape kuna tofauti gani kati ya mapokezi na maandamano hapo kwenye picha? Unasema ccm ilikuwepo na itaendelea kuwepo, una uhakika na maneno yako? Hebu hurumieni watanzania wengine wanaoumia na umaskini na njaa acheni tamaa