Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Wananchi Watakula Lami?

"Hafi mtu na njaa" - Kikwete.

Na kweli, kwa mara ya kwanza katika Tanzania kwa uongozi wa Kikwete tuna maghala ya kuhifadhi chakula cha miezi sita.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Mbona hujamjibu Mzee Makamba? Kwa ziara hii ni kweli Unaifanya CCM mali yako, iweje ufanye ziara peke yako ama ndio issue ya posho...
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

Nape kwani wewe unaelewa maandamano ni nini? na ile sera yenu ya kuwachukuwa wananchi wenye uelewa mdogo kwenye malori kutoka vijiji mbalimbali ili waje kwenye mikutano yenu mmeiaka.

Nape, jaribuni kufanya mikutani mingi hapo Njombe kwa wakati mmoja kama wanavyofanya CDM kule kwenu kusini muone kama mtapata hata watu 20 kwenye mikutano yenu.
 
Mkuu zombi vipi huendelei na ile thread yako ya zito na CDM imekushinda jibishie mwenyewe

OK. Ntaanza mtapoacha kuandika humu madudu.

Eti maandamano, uliona maandamano ya magari na mapikipiki? itakuwa ya karne hii.

Roho zimewauma kuona mapikipiki yamejipanga na msururu wa magari katika barabara swaaaafi la lami. Kwa husda tu mkashindwa hata kuandika "Mapokezi ya Nape Njombe"
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Vuvuzela Nnauye Jr ,unasemaje? usiwe unaongea pumba then tukuangalie tu kumbuka wengine hatujikombi kwenu ili mtusaodie cha msingi nchi imewashinda,kwa maana hiyo hamna sifa za kuwa viongozi bali wizi tu.

Naomba uniambie serikali imeyumba kwa sababu gani? Haya ni matokeo ya serkali ya cama chenu kushindwa kuongoza na badala yake kufuga wezi tu,toka 2005 mawaziri wanaiba tu na hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua na kufilisiwa,alafu unakenua kenua meno hapa.

mimi hapa ni jina langu halisi na ni picha yangu halisi,mi sikuogopi wewe wala mtu yoyote isipokua kuwaheshimu tu.
 
Last edited by a moderator:
Msemeni Nnauye Jr ila haki yake mpeni huu mkutano watu walikuja wenyewe ..hakuna waliobebwa na magari ndio maana ..sasa mnapata picha yakija malori manne yaliyojaza watu?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Kijana huu siwakati wa matusi Tekeleza Ahadi za Sera Zenu acha porojo Waswahili husema Njia ya Muongo ni Fupi.CCM
mshadanganya sana kwa sera zenu zisizotekerezeka so Tumechoka.kama unaweza punguza bei ya Mafuta punguza bei ya Vyakula acha kupoteza muda mikoani wakati wananchi maisha magumu Hosptal hazina madawa wototo wanasoma chini ya miti wengine wanakaa chini hamna madawati wakati magogo yanasafirishwa kwenda nje ya nchi.Wabunge wako wanakamatwa na Rushwa.jaribu kuona aibu.acha rongolongo.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
Hahahahahahahahahahahaha,nape nape!mkutano umejaa watoto kibao misifa kibao,hebu tuambie mmetumia gharama kiasi gani maana najua badgeti zeni hazina mashiko.jitahid kalini siku mbili tatu utauza sura maana ya kesho ni magumu ila wanchama wa wlichama lako wanapesa duh,mnaandamana kwenye magari hamtaki kukanyaga mavumbi mtachafuka men!!!.vuvuvuzeraaaaaaaaaaa.
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Kaka Nape hivi huwa unajichubua/kujikrimu?
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!
jina la nini tena,aku mie sitaki utafusadi kila kitu wewe,lol.ila najua nafasi hii uliitaka siku nyingi sana,hata enzi za uhai wa chamaila ndo ivyotena maskini,wamebaliza mifupa wakaukabidhi,jitaidi ivivo tu,poleeeeeeee.
 
​binafsi siamini kama ni nape mwenyewe ndie anaejibu hii thread ila naamini ni mtu ndio anamjibia maana sizani kama anaweza kuandika ujinga kama huu..nape jaribu kumwambia anaekuandikia humu atumie akili kidogo anakuaibisha aisee
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Nepi una roho ngumu..! VIPI KUHUSU JENGO LA UMOJA WA VIJANA??? baada ya kupewa hako ka cheo umenywea! hovyooo!!
 
Kwi kwi kwi kwi!! Nape kakimbia huku.. Ngoja nimfate FB na Tweeter.. Nadhani ameshauriwa “mjomba kweli umeteleza, usiendelee kukomenti” halafu Candid Scope ndio Nape nini.. Mbona kaweka picha bila kuendelea kukoment.. Nway sio ishu ni swali tu..

Wapi Waberoya, Ritz, Judi wa Kishua, Tume ya katiba, Faiza Foxy (mdini), na wote mnaolipwa na Nape kuwa mnamtetea yeye na NyiNyiem yenu... Ha ha ha, mmeona kaweka utumbo leo, mmemkimbia.

Mbumbumbu intelligent
 
Aaah afadhali we umesema ukweli! M4C ni kwa ajili ya kukusanya chenji ya walalahoi. Inasikitisha kuwa hamuwaonei huruma watu wanahangaika kujitafutia kipato nyie mwaja kukusanya vijisenti vyao! Wizi mkubwa.

UOTE=Daudi mchambuzi;4001293]
Nnauye Jr a.k.a nape hebu jaribu kuongea kama katibu muenezi.
The way you sound ni kama wale kina mama wanaoimba mipasho.
Wakati wewe unapita kugawa pesa kwa wapiga kura kwa nia ya kukwamisha mageuzi, chadema wanapita kukusanya pesa za michango ya kusaidia mageuzi, hebu ona iyo tofauti kati ya kichwa maji na werevu.
Hebu re-think namna ya kukabiliana na werevu bwana nape.[/QUOTE][/QUOTE]

Hebu pata picha mlalahoi anatoa visenti vyake kwa ajili tu ya kuhakikisha ccm mnang'olewa madarakani, huoni ni jinsi gani walivyochoka udhalimu, ufisadi na wizi mnaofanya bwana nnauye jr??
 
"Hafi mtu na njaa" - Kikwete.

Na kweli, kwa mara ya kwanza katika Tanzania kwa uongozi wa Kikwete tuna maghala ya kuhifadhi chakula cha miezi sita.

"Maisha Bora Kwa kila Mtanzania" Kikwete

Bado Unamuamini?

Yaan 50 years of Independence bado tunajaribu kujitosheleza sisi wenyewe kwa chakula Na vipawa tiler vyetu vya kichina!
 
NAWASHANGAA SANA WANA JF WANAOONGEA NA KUJJIBISHANA NA NAPE;KWA SABABU ZIFUATAZO

-NAPE HANA HADHI YA JF,KAMA JF WANGEAMUA KUWEKA VIWANGO VYA KUJIUNGA HAPA NAAMINI NAPE ASINGESAJILIWA KWA SABABU HANA VIWANGO,NITAFAFANUA

.MTU MWONGO,MFITINI,MNAFKI,KATIKA UMRI WA KIJANA KAMA HUYU LAZIMA AKIFIKIA UMRI WA KIKWETE ATAKUWA TAAHIRA

.MTU ASIYEWAPENDA WATANZANIA,ASIYEWATAKIA MEMA NA ANAYETUMIA MWANYA WA VUVUZELA ALILOPEWA KUWADANGANYA HASTAHILI KUWA MMOJA WETU SIO TUU HAPA JF HATA KATIKA ARTHI YETU HASTAHILI

.MTU MWENYE NJAA KALI TAMAA YA MADARAKA NA TABIA ZA KULAMBA MIGUU ILI APEWE NAFASI(Boot Leaker)HATUSTAHILI.

.UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI MDOGO SANA MAANA KAMA MTU HUWEZI ONA UPEPO UNAKOELEKEA MPAKA SASA NAAMINI HUNA MAARIFA MTAMBUKA

.MWANAUME ANAYEVAA KIKUKU MKONONI NA SHINGONI LAZIMA ANAVAA KIUNONI PIA NA MTU HUYU ATAKUWA NA TABIA ZA KIKAMERUN

NAPE NI BOOTLEAKER,CHIZI,VUVUZELA ,MNAFKI,NA SIFA NYINGINE KEM KEM ZISIZO ZA KIUME.MNAMPA CHAATI MNAPOMJIBU MWACHENI ABWABWAJE MWISHO WA SIKU ATALILIA KUHAMIA CDM KWA MACHOZI NA JASHO
Hii kali. Nimeipenda
 
na hizo picha hao waendesha pikipiki wamekodiwa siyo wanachama wa ccm na hao walioko kwenye mkutano ni wanachadema wamesema ngoja wakasikilize atakacho kiongea nape ha ha ha ha raha sana
 
Nape unadiriki kusema Dr feki wakati inajulikana wazi kwamba ulikuwa unanunua coursework pale mzumbe kwenye kadegree ka pili! Kama Dr. Slaa unamwita Dr Feki Je Kikwete tumwiteje?
 
Nnauye Jr a.k.a nape hebu jaribu kuongea kama katibu muenezi.
The way you sound ni kama wale kina mama wanaoimba mipasho.
Wakati wewe unapita kugawa pesa kwa wapiga kura kwa nia ya kukwamisha mageuzi, chadema wanapita kukusanya pesa za michango ya kusaidia mageuzi, hebu ona iyo tofauti kati ya kichwa maji na werevu.
Hebu re-think namna ya kukabiliana na werevu bwana nape.[/QUOTE]
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Ili mtuchinje kama mlivyo fanya kule Arusha ee....
Halafu mbona hujatoa tamko kuhusu yule kada wenu muuaji???
Si mlisema ccm haihusiki nyie???
 
Back
Top Bottom