mie mgosi wa ndima wewe, hahahaha, ukipenda niite zumbukuku ila naweza kurushia zongo ukaharisha mpaka meno, (kidding) hahahahaHivi wewe mgosi una mbwai nyangu? Ne wakukome ghuuka .uzaiva? Wewe ni zumbe mkuu wewe sio zumbukuku huo ni uzushi
kikao cha mkoa cha ulinzi na usalama ndio imebariki haya, ulinzi wa chama uongezwe kwa wingi kwa dr slaa ... Walinz waliopo wako poa sana dakta slaa ataendelea na ziara yake mpaka mwisho mungu tusaidie
Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.
Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
Slaa atajuta kwenda Kigoma.Ukanda Mbaya sana.
mimi kasuku naingia nyumba zote, hivyo wakati maandamano yanaratibiwa huko Lumumba nilikuwepo, kama ilivyo kawaida ya kasuku sikosi neon la kuongea, RPC amepewa ujumbe na kukaa kimya,
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.
mkuu vp yanagonga yanarudi.. Usiogope redbrgd wapo
mkuu wa polisi mkoa ndo kayapokea, hahahahaha, dah!
Hao ni Chadema wala msitafute mchawi CCM hawahusiki na mambo yenu, CCM saizi wapo mikoani wakitangaza ilani ya CCM kutekeleza ahadi,Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.