
- Joined
- Sep 11, 2010
- Messages
- 9,392
- Likes
- 1,217
- Points
- 280

zumbemkuu
JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010



Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.