Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro

Unatakiwa uombewe! Na si ajabu wewe umetokea katika nchi za jirani tu maaana hata ufahamu siasa za nchi hii! Siyo kama vile nchi za jirani raia wake anapotakiwa kuulizwa kitambulisho anapotoka kusini kwenda magharibi! Mtanzania yeyote ana haki kikatiba kwenda kokote nchini na hatakiwi kuchaguliwa na mtu yeyote mahali pa kwenda au kuishi. Ww rudi kwenu kwani mizimu ya wazee wako inakutafuta!
 
Mkuu alisahau kama wewe ni yule unayetuharibia vijana wetu
Kwa kujishughulisha na uuzaji wa madawa ya kulevya
Alisahau kama vita hii inayopiganwa na CDM ni maslahi ya mafisadi akiwemo wewe
Amesahau kama watu wanakufa kwa sababu ya kukosa huduma muhimu kama maji safi, hospitals nk
Amesahau kama mafisadi hawa ndo walioficha hela zetu nje ya nchi na hawataki kujulikana
Alisahau kama hakuna kilicho na mwanzo kisichokuwa na mwisho
Amesahau kama binadamu hawatambui kabisa kama kuna mwisho wa uonevu na uovu na hatimaye kifo


Acha uongo wewe Chadema-kata, leo hii polisi ndiyo wamekuwa wazuri maandamano yametawanywa na polisi na wewe unaongea kwa kuleta ushabiki mandazi angalia polisi anafanya nini hapa chini.

1453392_1494386134120749_1478911311_n.jpg
1476616_369232366556744_1162302594_n.jpg
 
Umejuaje kama ni UVCCM wewe kasuku?

Unatakiwa uombewe! Na si ajabu wewe umetokea katika nchi za jirani tu maaana hata ufahamu siasa za nchi hii! Siyo kama vile nchi za jirani raia wake anapotakiwa kuulizwa kitambulisho anapotoka kusini kwenda magharibi! Mtanzania yeyote ana haki kikatiba kwenda kokote nchini na hatakiwi kuchaguliwa na mtu yeyote mahali pa kwenda au kuishi. Ww rudi kwenu kwani mizimu ya wazee wako inakutafuta!
 
Ulitaka awapige mabomu nyie sindiyo huwa mnasema maandamano ni haki ya kila mtu.

Unatakiwa uombewe! Na si ajabu wewe umetokea katika nchi za jirani tu maaana hata ufahamu siasa za nchi hii! Siyo kama vile nchi za jirani raia wake anapotakiwa kuulizwa kitambulisho anapotoka kusini kwenda magharibi! Mtanzania yeyote ana haki kikatiba kwenda kokote nchini na hatakiwi kuchaguliwa na mtu yeyote mahali pa kwenda au kuishi. Ww rudi kwenu kwani mizimu ya wazee wako inakutafuta!
 
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.
Hawa jamaa wanatia aibu mkuu.ambona cdm hawajawawi kuandamana kumpinga Kinana.Hizi sasa ni zile siasa za maji taka tulizo waambia
 
Maandamano ya Chadema,iweje yawe ya CCM,basi kuanzia leo maandamano yote ya CDM ni mkono wa CCM
 
Acha uongo wewe Chadema-kata, leo hii polisi ndiyo wamekuwa wazuri maandamano yametawanywa na polisi na wewe unaongea kwa kuleta ushabiki mandazi angalia polisi anafanya nini hapa chini.

1453392_1494386134120749_1478911311_n.jpg
1476616_369232366556744_1162302594_n.jpg
Wewe acha wehu hiyo Land cruiser ya Police imeandikwa RPC MUSOMA Je wamehamia Kigoma ahaaa mwongo hakumbuki akipoanzia! jipange upya Ritz
 
Last edited by a moderator:
Sio Arusha tuu mkuu, Manyara, Mbeya, Tarime, Bukoba, Musoma, Kilimanjaro na Mwanza asikanyage
ZZK ametusaliti sote atajuta kuwasaliti wananchi
ZZK atajuta kula rushwa tena kodi zetu wananchi qalafu anatusaliti

Sio Zitto tu,hata Majangili ya CCM watapigwa marufuku kutembelea Mikoa yenye Mbuga za Wanyama.
 
Mkuu hawa ni wa ajabu sana,na ni afadhali umenisaidia kuwaambia,niliwaambia tangu asubuhi kwamba ni haki ya kikatiba watu kuandamana ili kuonyesha hisia zao zinazoletwa na mitizamo tofauti,hii ingewasaidia kueleza kero zao,hoja inabaki kwamba wanaandama kwa ajili gani na ndupo waliekuwa wamemkusudia kumuonyesha madukuduku yao angewajibu kupitia mkutano wa hadhara na au wa ndani,hapo wangeweza kupata majibu ya kilichowafanya waandamane na hata wabebe mabango.sasa ajabu na upungufu wao aidha kwa kutokujua au hicho knywaji wanachokuea wamekunywa pamoja na maelekezo ya waliowatuma wameanza kutenda kosa la jinai tena mbele ya vyombo vya dola,wanapata wapi ruhusa hiyo ya kutenda kosa la jinai,wanapata wapi kiburi hicho cha kutishia kuua mbele ya RPC kama ilivyoripotiwa na mleta uzi huu.na hata hivyo ni kweli wana lengo la kupata majibu ya kile wanachodhani hakiko sawa? kama jibu ni ndio basi mm naeashauri wabebe hata Fuso la mabango bila kuleta fujo zenye lengo lengo la kuua,lkn watajibiwa tu,tena watapewa nafasi ya kukaa mbele ili wasikie majibu sahihi kutoka kwa muhusika ambae ni latibu mkuu alieko Kigoma.
Huu ni mpango muovu,hauna lengo la kudumisha Demokrasia,na taarifa zinadai wengine wanaoamandamana si wanachama wa Chadema,hivyo haeajui kinachowafanya waandamane,lingekuwa ni suala la kitaifa,mfano kupanda kwa gharama za maisha hapo ni sawa kuandamana hata kwa asie mwanachama wa Chadema,lkn hili ni suala la kikatiba ya chama,wao wasio wanachadema wana-protest nini?Nadhani ni wahalifu waliotumwa kuendelea kukihujumu chama cha CDM.naamini vita hii ya hak dhidi ua usaliti tutashinda.

Hii mijitu ambayo inafikiri kwa kutumia kile kichwa kilichoko katikati ya miguu ingesoma haya uliyoyaandika hapa wangenyamaza kuliko kuendeleza Propaganda humu.

Maandamano ni haki ya msingi ya kila mtu. Inategemea tu kuwa unaandamana kwa ajili ya nini.

Sasa hawa wanaoandamana kwa kushinikizwa nani kawaambia kwamba kuandamana ni kumzuia mtu asiende au asihutubie sehemu fulani?
 
Yaani Zitto amefikia hatua ya kutaka kuua viongozi wake wa Chama!!!

Kama yuko serious atumie ile mbinu ya "hata panya hawezi kupona" ambayo sio kinyume cha sheria kwa kuwa serikali na sheria zetu hazitambui uchawi...
zitto asipolisemea jambo hili kwa waandishi wa habari na kukemea huu uhuni unaoendelea kigoma hataeleweka hata kidogo! Unasemaje hutakuwa wa mwisho kukihujumu chama chako huku unaacha wahuni wachache wakitishia maisha ya viongozi wako?
 
Kama kweli haya yametokea basi wanakigoma wana matatizo makubwa, kisa cha kuandamana ni nin? Je wao walimchagua zitto awe naibu katibu mkuu au mbunge wao? Pia zitto kama hatatoa kauli ya kulaani huu uhuni hataeleweka hata kidogo!
 
Msiba wa Mzee Mandela uwakumbushe wa TZ Kuacha visasi ,wanaomboleza nini na wanamuenzi nini iwapo hawana msamaha.Nawashauri CHADEMA watoe tamko kwamba kuanzia Sasa Suala la ZZK limekwisha na aendelee kushirikiana na wanachadema wenzake katika harakati zao za upinzani ili Wajifunze demokrasia kwa maana yake.
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!
polccm hujui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom