Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.

lengo ni kutaka polisi wazuie mkutano kwa "sababu za kiusalama"
 
Nilijua tu hao hawawezi kuwa wana CDM, ni wanavikwapa wa CCM na kama siyo basi ni wafuasi wa Zitto wala siyo wafuasi wa CHADEMA. Hakuna mwanachama yeyote halali anayeweza kupinga maamuzi halali ya chama!!!!

Mkiendelea na mentality hizi na kuchekewa na wafuasi vipofu, siku mkishika nchi mtaenda mbele zaidi na kusema hakuna mtanzania yeyote halali anayeweza kupinga maamuzi ya serikali.Shtuka, Mabadiliko Yanaanza Na Wewe!!
 
kikao cha mkoa cha ulinzi na usalama ndio imebariki haya, ulinzi wa chama uongezwe kwa wingi kwa dr slaa ... Walinz waliopo wako poa sana dakta slaa ataendelea na ziara yake mpaka mwisho mungu tusaidie

Wewe si unajidai unajua kutishia wenzako maisha? Naripoti police. Sitaki upuuzi.
 
Yyani magamba kufa lazima wafe..hebu fikiria..magamba yanasaidiwa na mahakama, policcm, tbccm, rais feki kikwete, tiss, wakuu wa wilaya, mkoa, takukuru loih..ect lakini bado yako hoi!
 
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.
Acha uongo wewe Chadema-kata, leo hii polisi ndiyo wamekuwa wazuri maandamano yametawanywa na polisi na wewe unaongea kwa kuleta ushabiki mandazi angalia polisi anafanya nini hapa chini.

1453392_1494386134120749_1478911311_n.jpg
1476616_369232366556744_1162302594_n.jpg
 
Sio Arusha tuu mkuu, Manyara, Mbeya, Tarime, Bukoba, Musoma, Kilimanjaro na Mwanza asikanyage
ZZK ametusaliti sote atajuta kuwasaliti wananchi
ZZK atajuta kula rushwa tena kodi zetu wananchi qalafu anatusaliti

basi kàma polisi wanabariki hayo mambo,na àrusha wakisema ZZK asifike na àkifika wanamuua kwa sababu amewasaliti itakuaje?
 
Acha uongo wewe Chadema-kata, leo hii polisi ndiyo wamekuwa wazuri maandamano yametawanywa na polisi na wewe unaongea kwa kuleta ushabiki mandazi angalia polisi anafanya nini hapa chini.
1453392_1494386134120749_1478911311_n.jpg
1476616_369232366556744_1162302594_n.jpg
We acha ujinga unaleta picha ya jana
 
Yyani magamba kufa lazima wafe..hebu fikiria..magamba yanasaidiwa na mahakama, policcm, tbccm, rais feki kikwete, tiss, wakuu wa wilaya, mkoa, takukuru loooh..ect lakini bado yako hoi!
 
basi kàma polisi wanabariki hayo mambo,na àrusha wakisema ZZK asifike na àkifika wanamuua kwa sababu amewasaliti itakuaje?

Sio tu Arusha hata Mwanza asikanyage huy malaya msaliti wa kisiasa.TUKUMULAGA GETE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom