Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro
Kigoma ni sehemu ya Tanzania, ningeshangaa kama Dr.Slaa angeenda Kigali, CHADEMA haijikombi kwa polisi maana polisi ni wauaji ndio maana wanabariki mauaji kutoka kwa hao wahuni wa CCM.
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.!!

CHADEMA kwa bangi na viroba ni utamaduni haijalishi ni CDM wahafidhina au wapenda demokrasia.
 
Ukwelo utabaki pale pale. Zitto hatumtaki chadema. Kwani ndoto za urais zipo chadema tu? akagombee kupitia ccm. Zitto ni msaliti hata waandamane miaka 100
 
magwanda kwisha habari yao, eti Slaa kaenda kuwatuliza Kigoma.

Kwi kwi kwi teh teh teh.
 
Nilijua tu hao hawawezi kuwa wana CDM, ni wanavikwapa wa CCM na kama siyo basi ni wafuasi wa Zitto wala siyo wafuasi wa CHADEMA. Hakuna mwanachama yeyote halali anayeweza kupinga maamuzi halali ya chama!!!!
 
Slaa mshamba sana wa siasa ,sasa alikua anaenda kujitangazia ufalme Mwandiga?
 
magwanda kwisha habari yao, eti Slaa kaenda kuwatuliza Kigoma.

Kwi kwi kwi teh teh teh.

Mnamshangilia sana Zitto eti!!!! Mmeumia sana kuvuliwa uongozi, hahahahaaaaa, mipango yenu ya kupandikiza vibaraka CDM imegundulika matokeo yake mmefungwa goli la tobo. Shangilieni uhuni wa wahuni wenzenu lakini mwisho wa yote mtaaibika!!!!
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!

Ndicho nilitaka CDM ikusanye ushahidi wa kutosha na kumfikishia msajili..ili aambiwe aliambie taifa kwanini haifuti CCM.Km hana majibu ya msingi basi kipengele cha kufuta vyama kisiwepo tena.Aachiwe ajikaange na majibu yake mwenyewe,
 
Acha matusi jibu swali ndo busara. Hivi inamaana CHADEMA wao ni malaika kwa hiyo hawakosei? Na unataka kutuhakikishia kuwa Zitto hakuwa na watu wanaomkubali hata wachache?
 
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.

Hivi wewe mgosi una mbwai nyangu? Ne wakukome ghuuka .uzaiva? Wewe ni zumbe mkuu wewe sio zumbukuku huo ni uzushi
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom