Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

Hivi wewe mgosi una mbwai nyangu? Ne wakukome ghuuka .uzaiva? Wewe ni zumbe mkuu wewe sio zumbukuku huo ni uzushi
mie mgosi wa ndima wewe, hahahaha, ukipenda niite zumbukuku ila naweza kurushia zongo ukaharisha mpaka meno, (kidding) hahahaha
 
kikao cha mkoa cha ulinzi na usalama ndio imebariki haya, ulinzi wa chama uongezwe kwa wingi kwa dr slaa ... Walinz waliopo wako poa sana dakta slaa ataendelea na ziara yake mpaka mwisho mungu tusaidie
 
kikao cha mkoa cha ulinzi na usalama ndio imebariki haya, ulinzi wa chama uongezwe kwa wingi kwa dr slaa ... Walinz waliopo wako poa sana dakta slaa ataendelea na ziara yake mpaka mwisho mungu tusaidie

mkuu vp yanagonga yanarudi.. Usiogope redbrgd wapo
 
Kaka lakini huwa chadema haiwataki Polisi leo inaomba msaada polisi! Kweli kuishi kwingi kuona mengi! Mimi nashangaa Tanzania ina mikoa 26 inakuaje Dr Slaa aende Kigoma kama sio kujitakia uchuro

bold: haiwataki polisiccm
red: kwa nini Dr. Slaa asiende Kigoma?
 
Waandamanaji wana haki ya kuandamana na naamini Dr atawasikiliza waandamanaji hao waliotumwa kuandamana kama alivyofanya kwa wale wengine walio kuwa wamelewa chakari.

Ninacho jiuliza ni kauli ya vitisho tena ya jinai ya kusema kuwa Dr akikanyaga Mwandiga atauwawa tena ikitolewa mbele ya polisi halafu hakuna zinachukuliwa?!!!!

Mkuu hawa ni wa ajabu sana,na ni afadhali umenisaidia kuwaambia,niliwaambia tangu asubuhi kwamba ni haki ya kikatiba watu kuandamana ili kuonyesha hisia zao zinazoletwa na mitizamo tofauti,hii ingewasaidia kueleza kero zao,hoja inabaki kwamba wanaandama kwa ajili gani na ndupo waliekuwa wamemkusudia kumuonyesha madukuduku yao angewajibu kupitia mkutano wa hadhara na au wa ndani,hapo wangeweza kupata majibu ya kilichowafanya waandamane na hata wabebe mabango.sasa ajabu na upungufu wao aidha kwa kutokujua au hicho knywaji wanachokuea wamekunywa pamoja na maelekezo ya waliowatuma wameanza kutenda kosa la jinai tena mbele ya vyombo vya dola,wanapata wapi ruhusa hiyo ya kutenda kosa la jinai,wanapata wapi kiburi hicho cha kutishia kuua mbele ya RPC kama ilivyoripotiwa na mleta uzi huu.na hata hivyo ni kweli wana lengo la kupata majibu ya kile wanachodhani hakiko sawa? kama jibu ni ndio basi mm naeashauri wabebe hata Fuso la mabango bila kuleta fujo zenye lengo lengo la kuua,lkn watajibiwa tu,tena watapewa nafasi ya kukaa mbele ili wasikie majibu sahihi kutoka kwa muhusika ambae ni latibu mkuu alieko Kigoma.
Huu ni mpango muovu,hauna lengo la kudumisha Demokrasia,na taarifa zinadai wengine wanaoamandamana si wanachama wa Chadema,hivyo haeajui kinachowafanya waandamane,lingekuwa ni suala la kitaifa,mfano kupanda kwa gharama za maisha hapo ni sawa kuandamana hata kwa asie mwanachama wa Chadema,lkn hili ni suala la kikatiba ya chama,wao wasio wanachadema wana-protest nini?Nadhani ni wahalifu waliotumwa kuendelea kukihujumu chama cha CDM.naamini vita hii ya hak dhidi ua usaliti tutashinda.
 
CHADEMA mlipofikia, hakuna sababu ya kurudi nyuma. Kwasababu sasa ni dhahiri ZZK alikuwa na misheni maalum mdani ya CHADEMA! mvueni uanachama kabisa, hakuna sababu ya kuishi na nyoka ndani ya nyumba. Mkimuacha itakuwa ni aibu kwenu na pigo mbalo.hamtakuja kulisahau huko.tuendako. Tafakarini.
 
jibu murua kabisa kwa huyo pimbi
mimi kasuku naingia nyumba zote, hivyo wakati maandamano yanaratibiwa huko Lumumba nilikuwepo, kama ilivyo kawaida ya kasuku sikosi neon la kuongea, RPC amepewa ujumbe na kukaa kimya,
 
Kuandamana ni sehemu ya kufikisha ujumbe wa kile wanachokiamini, hakuna sababu ya kuzuiwa na polisi.
Dr atafika kesho, atakuwa amewasikiliza na atawajibu
 
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.

Unaongea kama umekunywa maji ya choo cha shimo! Uvccm inawahusu nini kifo cha saccos hii ya familia ya Mtei?
 
Kama unataka kuwaaminisha wanaJf kuwa CCM wanaratibu maandamano ya kupinga ujio wa Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa nini usiwaambie CHADEMA nao wakaratibu maandamano ya kuwapongeza CHADEMA (Kamati kuu) kwa maamuzi yao

Hizi ni hoja mfu za watu wanaotapatapa kutaka kuukimbia ukweli kwa propaganda za kitoto.

Ina maana CCM ndiyo imekuwa kamati kuu ya CHADEMA.

Matatizo yaletwe na kamati kuu ya CHADEMA lawama zipelekwe CCM. This is fun!
 
Leo yamefanyika maandamano makubwa kumpinga Dr.Slaa huko Kigoma, waandamanaji hao walimuonya RPC kuwa Dr.Slaa akikanyaga kwao watamuua, wakitaja sababu za kumuua dr. slaa waandamanaji hao wakiongozwa na vijana wa UVCCM waliojivika ngozi ya makamanda wa CHADEMA walisema ni kwasababu Dr.Slaa aliua ndoto za kijana wao Zitto hivyo nayeye lazima wamuue, habari zaidi zitawajia hivi punde pamoja na picha.
Hao ni Chadema wala msitafute mchawi CCM hawahusiki na mambo yenu, CCM saizi wapo mikoani wakitangaza ilani ya CCM kutekeleza ahadi,
 

Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom