Maandamano Iran katika picha!!

Maandamano Iran katika picha!!

ni Mjinga tu ndiye anaweza kusema shambulio la Venezuela ambako Rais wa nchi alichukuliwa kibabe yeye na Mke wake atasema ni Failed!!
Nini kimebadilika? Chama kile kile, sera zile zile!! Serikali ile ile.

Ndio Huu ujinga wenu wa Israel kudhani kiongozi wa Hamas akifa basi automatically hamas imekufa bila kujua ile ni itikadi sio mtu.
 
Zaidi ya waandamanaji 10,000 wameuwawa huko Iran.

Angalia watu wakiangalia maiti za ndugu zao ili wazichukue kwenda kuzika
 
Attachments

  • VID_20260112_060610_237.mp4
    9.5 MB
Iran ni ya wairan
Nalog off Z
Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?

Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
 
W gaidi Ayatollah ameyazima maandamano bro kwa kuua watu maelfu

Mungu amlaani huyu mzew
 
Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?

Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Unaumiq ikiwa Wapi? Mi sijasema Iran ni ya wabongo,Bali nimesema Iran ni ya wairan Kwa kuwaunga mkono wote wanaokataa kuingiliwa nchi yao na hao mashoga wa magharibi,sote tunajua kuwa lengo lá hayo maandamano ni regime change,sasa ikiwa inatakiwa wasaliti wote waliwe vichwa vyao Kwa ajili ya Taifa,ndio maana nikasema Iran ni ya wairan ❤️, Venezuela ni ya wavenezuela ❤️, Colombia ni ya wacolombia❤️
Greenland ni ya wagreenland ❤️
Tanzania kwanza ❤️
Wasaliti wote waliwe vichwa vyao.

Ngonjera za namna hii tumezisikia sana wala hazituumizi kichwa,mlisema hayo 29 Oct,mnasema kwa Iran na mtasema sana Ila uongozi Huo hautong'oka kwasababu ya laana ya mashoga wa magharibi.
Iran ni ya wairan ❤️
Nalog off Z
 
Unaumiq ikiwa Wapi? Mi sijasema Iran ni ya wabongo,Bali nimesema Iran ni ya wairan Kwa kuwaunga mkono wote wanaokataa kuingiliwa nchi yao na hao mashoga wa magharibi,sote tunajua kuwa lengo lá hayo maandamano ni regime change,sasa ikiwa inatakiwa wasaliti wote waliwe vichwa vyao Kwa ajili ya Taifa,ndio maana nikasema Iran ni ya wairan ❤️, Venezuela ni ya wavenezuela ❤️, Colombia ni ya wacolombia❤️
Greenland ni ya wagreenland ❤️
Tanzania kwanza ❤️
Wasaliti wote waliwe vichwa vyao.
Nalog off Z
Kwa taarifa yako wewe ndiye shoga na Iran usiku wa leo lazima wapigwe leo watashambuliwe.

Wananchi wa Iran hawaitaki Serikali ya Ayatollah wewe sijui unaumia nini??
 
Safari hii Mtanyooka tu kwani nani alisema Iran ni ya watanzania?

Wananchi wa Iran wamechoshwa na serikali ya kiislamu uchumi umedidimia sana Dola moja sawa realise Milion 1.4 hali ngumu kwa watu lakini Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth ndiyo wanaufaidi uchumi wa Iran wakati wananchi wanalia kilio cha mbwa-koko!! Huu ni ujinga kabisa lazima utawala huu ung'olewa kwa udi na uvumba!!
Hahahha wananchi gani hao? Nimekutag ule uzi uone nyomi ya khamenei.

Kama unaona aibu link hii hapa ujionee mapicha ya leo
 
Iran isikubali tena kurudi kwenye utawala wa kiislam, wakimfurusha ayatollah wabadili jina na bendera kabisa, waite jamhuri ya kidemokrasia ya iran, neno islamic liondoke kabisa, au waite persia litasaundi vizuri
Theocratic state of iran and sharia leadership of Ayatollah is out time. Heightened suspicion of iran and qatar conflict is rising.
 
Kwenye maandamano ya Wananchi huko Iran kumeonekana Bendera ya Israel waandamanaji wanatamba nayo sasa Wafuga Midevu na Majini gallow bird Adiosamigo kahtaan na Bwana wao Ritz sasa hivi wakiona Bendera ya Israel wataanza kuharisha ovyo ovyo!!!
Wewe mlokole kimba, umeenda kijificha uvungini sasa
Kwanza kwa umbulula na ukilaza wako huwezi kujua kama Iran ni nchi pekee ina wa jews kama raia wa iran.
Na sasa hao waandaanamanaji wamekipata walichokuwa wanakitafuta, na bwana wako elon musk kazimiwa mtandao kwa mara ya kwanza haamini kilichotokea
 
Zaidi ya waandamanaji 10,000 wameuwawa huko Iran.

Angalia watu wakiangalia maiti za ndugu zao ili wazichukue kwenda kuzika
pumbavu wewe unaleta upupu uliotengenezwa na mabwana zako wayahudi
 
Waandamanaji huko Tehran bado hawajapoa mpaka wauondoe utawala haramu wa Ayatollah!!
 
Attachments

  • tehran.mp4
    2.5 MB
Back
Top Bottom