gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,285
- 17,756
Iran imetangaza kukamata zaidi ya waratibu maandamano miambili wakiwa na shehena kubwa ya silaha,vilipuzi na mabomu ya petrol, wakiwemo watumishi wa MOSSAD, shirika la ujasusi Israel
Baada ya kamata kamata hiyo maandamano yamepoteza shinikizo na kupungua tangu alhamisi
Leo shirika la habari la taifa Iran likirusha picha mjongeo kuonesha hali halisi jijini Tehran na kuonekana kuwa shwari
Baada ya maandamano kupoa, Trump ametangaza kuwa Iran inahitaji ukombozi kuliko wakati wowote,kwa maana kwamba sasa fursa ya kuishambulia Iran na kumng'oa ayatollah ni nzuri zaidi
Upande wake Ayatollah kayaagiza majeshi yawe katika utayari wa vita kuliko kipindi cha vita,na miji ya makombora ya Iran Iko tayari