Iwaarabu na ndugu zao waa
Waarabu na ndugu zao waajemi bado wana safari ndugu sana kuwashinda Wayahudi.
Hapo mtawasingizia na wayahudi Bure tu wakati Ayatollah na genge lake wamewekeza nguvu zote kutaka kuiangamiza Israel wakati Wananchi wao wanashinda Mihogo!!!
Kupigana na wayahudi unatakiwa uji toe ufahamu kwanza kama walivyofanya Hamas,Hezbollah na Wa Houth,
Baadaye sasa IDF inakuwa kumalizia kazi kwa kuwafyelea mbali kama ilivyo fan ya kwa magaidi Uchwara kama hao.
Sasa hivi msikilize Ayatolah akilalamika ovyo ovyo kuhusu Marekani na Israel sasa jiulize kama yeye Anapendwa kwa nini Wananchi wake hawataki ? AYATOLLAH MUST GO!!!