Nani kakuambia wanataka Ukristo? Mimi nimesema wananchi wamechoshwa na serikalo ya kiislamu hata kama hawataki Ukristo!!
Kuna sehemu nyingi sana Misikiti imechomwa moto kwa akili yako wewe unadhani wanaukumbatia utawala wa kiislamu wa Ayatollah? Subiri siku zinakuja na wewe utaufyata mkia kama alivyoufyata
Adiosamigo na Mme wake
Ritz .
Mabumunda hao walikuwa wanawaramba sana Makalio Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth lakini baada ya Majeshi hodari ya Israel kuwagaragaza sasa hivi wanajifanya Wame kosa pesa ya kununulia Bundle hawaonekani mtandaoni kwa aibu na fedheha!! Na wewe jiandae kukimbia kwa aibu!!
Maandamano ya watu wa Irani yameanza rasmi! Jengo lote la manispaa ya serikali za mitaa katika jiji la Karaj la Iran limeteketea kwa moto.