Uko wapi FMES? tafadhali naomba tumalizie hiyo pati nyingine watu tulale! usingizi hauji bila kupata ukurasa wa mwisho huo.
BTW,nahisi mimi nitakuwa wa mwisho kumuelewa JK (alikuwa anaangua kicheko?).Hii inanifanya nifikirie bila kupata majibu. Mhh sijui.
Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wakulima na wafanyakazi wa Tanzania.