Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Dah!

Kusila alikuwa mwalimu wa Physics, na alikuwa bright sana. Hivi kumbe siasa zinaweza kuwafanya watu wawe wa ajabu kabisa?

Mkuu Physics ya kukremu abbott ni akili hiyo?
Kitabu ukikisoma kila siku watu watazani unakielewa, ukiulizwa maswali muhimi mbio...
 
"Kila mtanzania, kila mtu kijijini, kila mjumbe wa halmashauri ya wilaya, kila mbunge n.k lazima aweze kusema kwa uhuru bila hofu ya vitisho ama katika mkutano ama nje ya mkutano" J. K. Nyerere (1974) kwenye Binadamu na Maendeleo

"Watu wenye mawazo tofauti, hata kama wakiwa wachache, lazima wawe na haki ya kutoa mawazo yao katika majadiliano bila ya hofu ya kusumbuliwa; mawazo yao na yashindwe katika hoja za majadiliano, siyo kwa vitisho au mabavu." J. K. Nyerere (1974) kwenye Binadamu na Maendeleo

DUH!mzee vitu adimu hivi,unavikulupua wapi?
 
- More dataz ni kwamba, baada ya Kusila kumaliza aliyepewa nafasi kuzungumza next alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar, kwa hasira kali sana Guninita alikuwa ndiye fisadi wa kwanza kudai Spika arudishe kadi yake mara moja, akiendela zaidi alisema:-

- ".......CCM tumewahi kuwalazimisha Seif na Jumbe, kurudisha kadi zao kwa kukiuka maadili ya chama chetu, sasa kwa nini tushindwe kumnyanga'anya huyu Spika na hao wenziwe kumi na moja?...."

-"........ Wakati wanatafuta hizo nafasi za uongozi kitaifa walizonazo sasa, walipitia hapa hapa NEC, tukawachuja kwamba wanafaa sasa toka wapate hizo nafasi wamekuwa wakikidhalilisha sana chama wakiongozwa na huyu Spika, huku wakivisaidia hoja vyama vya upinzani, sasa ni wakati muafaka wakarudisha kadi za chama chetu........" ".....ninasema Spika arudishe kadi sasa na wenzake kumi na moja, waende waanzishe chama chao........hatuwahitaji tena ndani ya CCM", alisema kwa hasira kali sana.

- ".....Spika na wenziwe warudishe kadi zao mara moja ili wakajiunge na Chadema"... alimalizia bwana Guninita.

Hapa ilibidi Mzee Mwinyi, kuingilia kati ili kupunguza tention ndani ya ukumbi, lakini wakati wote huu Mwenyekiti wa CCM aliendelea kuangua kicheko chake cha awali, akionyesha kuwa very much amused na hii Cinema.

Tutaendelea tena na more dataz as soon as possible!

Respect.

Field Marshall Es!
 
"Kila mtanzania, kila mtu kijijini, kila mjumbe wa halmashauri ya wilaya, kila mbunge n.k lazima aweze kusema kwa uhuru bila hofu ya vitisho ama katika mkutano ama nje ya mkutano" J. K. Nyerere (1974) kwenye Binadamu na Maendeleo

"Watu wenye mawazo tofauti, hata kama wakiwa wachache, lazima wawe na haki ya kutoa mawazo yao katika majadiliano bila ya hofu ya kusumbuliwa; mawazo yao na yashindwe katika hoja za majadiliano, siyo kwa vitisho au mabavu." J. K. Nyerere (1974) kwenye Binadamu na Maendeleo

Hizi porojo, kwani watu walipokuwa wanagoma na yeye kuwalazimisha si alikuwa anakiuka uhuru wa watu na kutumia mabavu?
 
Nahisi kosa la awali linataka kurudiwa. Kujitoa sisiemu ni kuwapa fursa vibaraka hawa na wahalifu kujitanua. Napinga kwa nguvu zote kujitoa humo. Mkakati uwe ni kubanana nao mpaka kieleweke. Sijali watakuwa wangapi lakini ingetokea wajumbe wawili au watatu wakakosoa mwenendo wa kikao kile nafikiri pangechimbika kweli. Ujasiri unahitajika kwa hili. HivI? iwapo wakiamua kuuza nchi tutanza kuhama!!!!! Tufikiri mara mbili jamani hao wamezaliwa kama sisi jitihada zao ni kujidanganya. Na zaidi hapa Bongo ndo kwetu hatuna pa kukimbilia! tusiache wapachafue kisha waondoke kwenda Canada. Sina ubaguzi lakini nafikiri kuna haja ya kukataa hizi ngozi nyeupe, zipo kibiashara zaidi na tuende mbali mpaka kwa vibaraka wao HAWANA UZALENDO kabisa

Linaweza likawa kosa kwa mhusika mwenyewe kwa kukosa na pengine kupoteza kabisa nafasi yake katika neema ya TABAKA TAWALA lakini sio kosa kwa mantiki ya maslahi ya watanzania.

Vilevile nyakati hizi ni tofauti na enzi za wale wa mwanzoni kani hivi sasa kuna vitu kadhaa kama;

  • Uhalali wa CCM kwa watanzania ni kama haupo kabisa hata miongoni mwa wana-CCM wenyewe.
  • Wakati ule watanzania walikuwa wakiona vyama vingine tofauti na CCM kama makundi ya wakorofi wanaoweza kuwaingiza watanzania kwenye vita ikizingatiwa ilikuwa ni mara baada ya mauaji ya Rwanda. Hata hivyo kutokana na juhudi za kina Slaa, Zitto na wengine ndani ya bunge (thanks to starTV) hivi sasa watanzania wameona kuna umuhimu wa upinzani wenye nguvu kupambana na UFISADI wa CCM.
  • Vyama vya upinzani na hapa zaidi ni CUF na CHADEMA vimeanza kujijenga kiASASI na kuonyesha taswira ya UMAKINI na hivyo kuweza kupata waheshimiwa na wapiga kura walio wengi zaidi kuwa tayari kuwaunga mkono.
Haya na ukweli kuwa hivi sasa UFISADI umeshika HATAMU CCM ni wazi kuwa ushauri wa kubanana hauna uzito hapa....

omarilyas
 
- More Dataz ni kwamba baaada ya Mwinyi, aliyezungumza next alikuwa ni katibu wa CCM mkoa wa Dar, Bwana Kirumbe, huyu alitoa ya mwaka na kumfanya Mwenyekiti wa CCM kuacha kucheka na finally kuwa serious kwa mara ya kwanza,

- This joker Kirumbe said, "....Hivi hawa Spika, Anne Kilango, Sendeka na wengine, wanazunguka kila kona ya taifa letu kudai hela zinazoliwa na mafisadi, kwani wao kinachowauma ni nini hasa hela ni zao?..hizo hela si za serikali wacha ziliwe tu........"

- Now get this, kwa mara ya kwanza the big joker Muungwana stopped playing na kumsimamisha maramoja kwa hasira, ".......shut up!, hao wote unaowasema wamechaguliwa na wananchi na hizo hela ni za wananchi, hivi kweli wewe unaweza kwenda kwenye majimbo yao na kusema huu ujinga mbele ya wananchi wao?......."

Now my question is kwa nini hakusema haya toka mwanzoni na kuwakatisha wajumbe wengine waliokuwa wakitema pumba kama alivyomsimamisha huyu joker, two minutes later akamruhusu Mwenyekiti wa Shinyanga and he went back on laughing kama mwanzoni!

- Tutaendelea na Mgeja is next online!

Respect
.

Mkuu unasema kweli au unatania. Kama ni kweli sijuti kuukana uraia.
 
- More dataz ni kwamba, baada ya Kusila kumaliza aliyepewa nafasi kuzungumza next alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar, kwa hasira kali sana Guninita alikuwa ndiye fisadi wa kwanza kudai Spika arudishe kadi yake mara moja, akiendela zaidi alisema:-

- ".......CCM tumewahi kuwalazimisha Seif na Jumbe, kurudisha kadi zao kwa kukiuka maadili ya chama chetu, sasa kwa nini tushindwe kumnyanga'anya huyu Spika na hao wenziwe kumi na moja?...."

-"........ Wakati wanatafuta hizo nafasi za uongozi kitaifa walizonazo sasa, walipitia hapa hapa NEC, tukawachuja kwamba wanafaa sasa toka wapate hizo nafasi wamekuwa wakikidhalilisha sana chama wakiongozwa na huyu Spika, huku wakivisaidia hoja vyama vya upinzani, sasa ni wakati muafaka wakarudisha kadi za chama chetu........" ".....ninasema Spika arudishe kadi sasa na wenzake kumi na moja, waende waanzishe chama chao........hatuwahitaji tena ndani ya CCM", alisema kwa hasira kali sana.

Hapa ilibidi Mzee Mwinyi, kuingilia kati ili kupunguza tention ndani ya ukumbi, lakini wakati wote huu Mwenyekiti wa CCM aliendelea kuangua kicheko chake cha awali, akionyesha kuwa very much amused na hii Cinema.

Tutaendelea tena na more dataz as soon as possible!

Respect.

Field Marshall Es!

Dah! Kweli kikao hicho kilikuwa kama ile show ya Ze Comedy, pumba tupu! Na Mkuu wa nchi anakenua tu! 😕
 
Mkuu unasema kweli au unatania. Kama ni kweli sijuti kuukana uraia.

- You know hilo joker Kirumbe was not finished yet, likaendelea kudai kwamba "......huyu Mengi anazunguka zunguka mikoani na kutoa toa michango kwa CCM, lakini huyu sio mwenzetu huyu....."

- On this again Muungwana, akamjibu kwa hasira kwamba ".....zile hela unazochukua kutoka kwa Bhakressa kila wakati, una maana yule ni mwenzetu CCM?...." ".....kila siku uko kwa Bhakressa kuomba pesa, unafikiri siyajui hayo?..."

Respect na soon tutaendelea na more dataz!

mie sipati picha kwanini Muungwana alimwandama huyo mjumbe ama hilo lote li drama ni ngojera iliyoandaliwa kama enzi zile za umshumita.?
 
Jamani sisi wengine sio wazuri kwenye sheria, kuna mtu anaweza kutufafanulia katiba na sheria za nchi zinaweka bayana kesi ya uhaini inafunguliwa ukifanya makosa gani?? Halafu hiyo NEC ina power gani za kufungua mashtaka makubwa kama hayo??

Najaribu kufikiria hapa kosa la spika na wabunge wenye mapenzi ya kuzuia wizi wa rasilimali za wananchi wa jamhuri, wamefikia vipi kwenye hili janga la uhaini??

Je, mwenyekiti hakuweza kutoa mwongozo kufuatana na katiba ya nchi, hizi allegation za uhaini zilipotolewa??

Sisi wengine huku kuna kakosa ka TREASON ambakouwa tunakasikia tu kwenye malumbano kwenye FOXNEWS, lakini ni vigumu kukumbuka nani amewahi kupewa hiyo case ya treason!!

Je Treason ndio uhaini?? Kama ni ndio, du si level ya kufikia hii threshold iko very high kiasi ambacho hata sijui huyu KUSILA kama ni mzima au vipi!!

Inaelekea mmesahau ama mmeshindwa kung'amua kuwa CCM ni CHAMA DOLA. Katika vichwa vya watu kama kina Kusila, na ukitilia maanani background yake, ni rahisi kuchukulia kutishia maslahi ya CCM ni sawa na kutishia maslahi ya DOLA na na hivyo kumaanisha kuhujumu dola ambako kunaweza kutafsiriwa kama uhaini.

Kwa hiyo KUSILA hajakosea kwani anawakilisha muono wa wengi miongoni mwa wadau wa Tabaka tawala. Sio kosa lake jamani ni kosa la kutokukubali mabadiliko ya mfumo mpya (vyama vingi)ambao unataka kutenganisha DOLA na CHAMA.

omarilyas
 
mie sipati picha kwanini Muungwana alimwandama huyo mjumbe ama hilo lote li drama ni ngojera iliyoandaliwa kama enzi zile za umshumita.?

- Off course ilikua ni lazima sometimes ajaribu ku-balance, lakini hakuna mpiganaji anayeweza ku-buy this commedy, I do not buy it!

- Wakuu tunzao Dataz za Mgeja, na Mwakyembe on waliyoyasema, na what exactly Spika said, soon tutayaweka hapa JF kumkoma nyani! Where we dare! na tunaedelea kukusanya more dataz za huu mkutano

Respect.

Field Marshall Es!
 
Nadhani kazi iliyobaki hapa kwa kina Sitta, Anne Kilango na wengine ni kujipanga upya. Wachukue time out for the next 14 months, ili kuweza kurudi kwanza bungeni na ikiwezekana kwa spika kuchaguliwa tena ( lakini inavyoonekana kina RA, EL watahonga bunge zima ili tu spika awe mwingine).

JK naye inabidi kwa uchungu mkubwa nimpe benefit of the doubt ya mwisho, mpaka NEC may mwakani watakapopitisha jina lake maana hii cinema inavyoonekana hana uhakika na hilo.

Huwezi kusema JK alikuwa anawapima watu kujua upande wao, then NEC wanatoa tamk rasmi ambalo linakidhi kuzuiwa kwa wabunge na spika kukemea ufisadi.

Rostam ana jeuri mno mpaka hisa zake za vodacom ambazo anamiliki na EL na wazee wa usalama wa 2005, wakazipa jina la MIRAMBO ambayo ni code name kwao ya umoja wao kwenye hela za Bank Kuu walizoiba through Kagoda. (Mtaa wa bank kuu ni upi??)
 
- Off course ilikua ni lazima sometimes ajaribu ku-balance, lakini hakuna mpiganaji anayeweza ku-buy this commedy, I do not buy it!

- Wakuu tunzao Dataz za Mgeja, na Mwakyembe on waliyoyasema, na what exactly Spika said, soon tutayaweka hapa JF kumkoma nyani! Where we dare! na tunaedelea kukusanya more dataz za huu mkutano

Respect.

Field Marshall Es!
Tupa mawe kaka!finally wapiga kura ndio tutakaoamua what to do!unasikika vizuri kuliko inavyotakiwa.kimsingi magazeti ya bongo yalitakiwa yakuchangie kidogo,because out of your efforts THEY ARE MAKING MONEY
 
Huu si mkutano bali drama fulani! haishangazi kuwa hawakai kupanga maendeleo ya nchi...
 
Tupa mawe kaka!finally wapiga kura ndio tutakaoamua what to do!unasikika vizuri kuliko inavyotakiwa.kimsingi magazeti ya bongo yalitakiwa yakuchangie kidogo,because out of your efforts THEY ARE MAKING MONEY

- Mkuu ahsante sana tupo pamoja, waandishi wa bongo wengi ni ndugu zangu na tupo ukurasa mmoja sana, sometimes ninawawahi na siku zingine wananiwahi, lakini ni ndugu moja, ila tu soon mambo yatabadilika maana JF kumkoma nyani itakuwa kwenye masafa tofauti kabisa na haya ya sasa katika kuwafikia wananchi karibu wote wa bongo, hapo ndipo patakuwa patamu sana.

- Otherwise, tupo pamoja, wananchi wanahitaji kuziona hizi habari, ili watakapowachagua tena hawa kina Kusila, wawe wanajua kwamba ni wao wenyewe ndio wanachagua maguo guo kwa hiari yao wenyewe! JF hatuwezi kumlazimisha Punda kunywa maji mtoni!

hapa fmes mkuu wangu UMEFUNIKA!yaani umemuwahi kila mtu.kwasababu hamna mtu anaeripoti au kukijua hiki kikao zaidi yako kwa hapa jf na huku tz in total!

anyways ngoja nisilale,nasubiri kilichotamkwa na wapiganaji tajwa kwenye LAST BUT ONE POST OF YOURS!
cheers bro
 
- Poa mkuu, nipo na ndugu yangu mmoja hapa tunashirikiana kuvuta hizi dataz, yeye ataendelea na za Mwakyembe, mimi nitarudi later! na za Mgeja kwanza!

Respect! na JF idumu!

Field Marshall Es!
 
Mkulu FMES
Kwa kusaidia tu ni kwamba baada ya hao alikuja Simba Mwakyembe.Mie simafagilii sana lakini hili nasimama naye .Alimwambia haya maneno direct ndugu Mwenyekiti wa CCM.

Mwenyekiti all these folks wanaongea nonsense we unaona ni jambo la maana una waachia wana endelea tu .Unakumbuka how we did help you kwa kuzima moto wa wananchi juu ya mawaziri wako kusakamwa na kuzmewa kila kona ya Nchi hadi kufanya hali iwe shwari , hata sasa ,Je haya ndiyo malipo ambayo umetuandalia kwa kashfa na kuombwa kuwa tried kama wahaini na kutakiwa kurudisha kadi eti twende Chadema?

JK hakujibu kitu hadi mida hii naandika haya .

Tuendelee kukanyaga mafuta twende .
 
Back
Top Bottom