tingatinga maana yake linachimba barabara halafu ikiwa nzuri linazuiwa kupita..kwi kwi kwi
btw mwambieni Mwakalinga atafute jimbo lingine mapema Mwakyembe injini kubwa!
Injini kubwa wapi mafisadi wamemtowa jasho,kama yeye ngangari asingelia kwa mwenyekiti angmtolea mimacho ,harafu katupa kadi la kijani chini na kanyata kidume kutoka nje.Lakini wapi bwana?
Kwanza hajui kujenga hoja ,hoja za kitoto alijenga yani mfano ulinipa embe mwaka jana na leo unakuja kuniomba yai nikakunyima eti unaniambia unajuwa mwaka jana mimi nilikupa embe, west of kaloliz ,ninajuwa ulipa embe lakini mimi nimaamuwa kukunyima yai then what?
ukubwa dawa tinga tinga ndo linaelewa siasa kulinganisha na ngoma zilizokuwa humo ndani