Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

Angalia upande wa pili wa shilingi. Kwa nini Bw. Sitta anatumia Bunge kutoa mambo mazito mazito yenye kukifadhaisha Chama chake, badala ya kutumia busara kwanza kuziibua hizo issue katika lujna yao CC- ambapo yeye ni mwanachama tena mwenye nguvu -kwa nini ameidharau CC halafu wewe unataka afanyiwe busara na CC hiyo hiyo.?

Mzee sikubaliani nawe hata kidogo. Sitta anatumia busara zake kuliendesha bunge la kidemokrasia bila upendeleo. After all, Sitta siyo muibua scandles ndani ya bunge ila ni wabunge wenyewe na yeye anachofanya ni kusimia ili wasije vunja sheria au vuka mipaka ya kazi zao. Ingawa spika amewekwa kulinda maslahi ya CCM lakini huwa naye ana mipaka yake. Kama maji yanazidi unga wanategemea yeye afanye nini????

CCM na CC yao ndiyo ambao hawatumii busara na wanawasukuma NEC kwa vile kuna midabwda mingi kule ambayo kazi zao ni kufuata posho na mlo Dodoma.
 
Sita alionyesha uoga wa kiwango cha kutisha pale alipoikumbatia serikali isisambaratike wakati wa mjadala wa Richmond. Hivi alipompiga nyoka kwenye mkia alitarajia nini? Lazima tu ccm itamtapika maana amekuwa vuguvugu mno! kilio chake cha kuomba aongezewe ulinzi ni dalili tosha YA WOGA ULIOPINDUKIA. HIVI KWELI KATIKA WATANZANIA MILIONI 40 TUMESHINDWA KUMPATA NELSON MANDELA MMOJA ASIYE NA CHEMBE YA WOGA ILI ATUKOMBOE UPYA? NACHO KITI CHA WAZIRI MKUU KIMEKUWA WAZI TANGIA 1983! MUNGU MBARIKI SOKOINE, MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Mzee warudishie kadi yao. Uliomba ulinzi ukanyimwa, wana mpango mbaya na wewe, kaa mbali nao. Wanalindana wenyewe, wewe si mwenzao tena, pole wee. Mlivyokula vinatosha, shukuru Mungu hawakukujua mapema. Chunga uhai, usikubali kuhojiwa tena.
Pigana ukiwa nje, ndani watakubananisha, wao wako wengi.
 
Kwa mbaaaali Samuel Sita anaweza kuwa yupo tofauti na wa-CCM wenzake ambao wapo katika ngazi za juu.Kama ni asilimia za ufisadi yeye atakuwa chini ya 25%.Wanachojaribu kufanya MAFISADI ni kuwatumia watu ambao wataonekana hawapo kwenye ushindani na Sita ili watoe haja pumbavu kama hizo ili jamaa aonekane hafai.Ni kweli jamaa hajakamilika,leo anaibana serikali alafu kesho anageuka na kuitetea-huko ni kuwa NDUMILAKUWILI:acha upopo Sita!!
Kam kweli unaamua kukomaa wewe komaa mpaka mwisho na watakuheshimu.Sasa hivi wameshajua kuwa wewe ni kama unawaogopa wakati mwingine.Kuwa madhubuti,tetea kile unachokiamini na kwa maslahi ya watanzania.Achana na ule ubabe wa kuwaridhisha wenzako(CCM)-kama siku ile ulivyomfanyia Mapesa Cheyo.
Iga mfano wa Fred Mpendazoe aliyediriki waziwazi kutamka kuwa Mkapa akajitetee mahakamani,huo ndio uzalendo na usomi kwa ajili ya maendeleo ya nchi.LET US AGREE TO DISAGREE!
 
Hiyo ndo staili mpya ya kuwanyamazisha wanaokemea maovu "KUWAVUA UANACHAMA" BAada ya hapo tujiandae kwa lipi???
 
Dark City,
Mkuu wangu sioni sababu nje ya JK kufanya hivyo kwani kama nilivyosema JK anaweza kuwa mjinga lakini sii mjinga hivyo.

Tayari makundi yalikwisha kuwepo CCM kabla hata Sitta hajafumbua mdomo wake na mengi yaliyotokea Bungeni yametokea kwa baraka za JK. Kesi zote za wahusika JK ndiye aliyekubali zizungumziwe bungeni.. Sitta alikataa mwanzo tena tulimwona mchawi au umesahau..Iweje leo yeye kusimamisha mada zilizowakilishwa na wabunge (mafisadi) kwa kupata baraka za JK, iwe yeye ndiye mkosefu?..
Mkuu habari hii kubwa JK anajua fika amejiundia maadui ndani ya chama kwa kumfukuza Lowassa na kundi lake madarakani hivyo hana budi kujenga ngome yake kwa ustaarabu..Utengano ndani ya CCM umeanza siku Lowassa ameachia ngazi na sii kabla ya hapo.

Hivi unafikiria JK alishindwa kuwafukuza uanachama kina Lowassa na wengine wote?.. laa hasha isipokuwa a goods strategy within a party ni kuwaacha watu hao ndani ili upate kuwa contain kama maji mtungini..control ya watu hao inakuwepo...Wakipiga kelele wataonekana wako nje ya maadili ya chama na wataona aibu kushambulia ovyo. Kama Lowassa angefukuzwa CCM leo hii angekuwa na chama na wapo wajinga wengi tu wangemfuata yeye na Rostam.. vita ya hapo ingekuwa kubwa zaidi ya hii tunayoiona..
 
Mzee sikubaliani nawe hata kidogo. Sitta anatumia busara zake kuliendesha bunge la kidemokrasia bila upendeleo. After all, Sitta siyo muibua scandles ndani ya bunge ila ni wabunge wenyewe na yeye anachofanya ni kusimia ili wasije vunja sheria au vuka mipaka ya kazi zao. Ingawa spika amewekwa kulinda maslahi ya CCM lakini huwa naye ana mipaka yake. Kama maji yanazidi unga wanategemea yeye afanye nini????

CCM na CC yao ndiyo ambao hawatumii busara na wanawasukuma NEC kwa vile kuna midabwda mingi kule ambayo kazi zao ni kufuata posho na mlo Dodoma.
Mr. Zero achana na huyo Pakacha,kachemka kinoma.Inaonekana jamaa ni m-CCM alafu bado anzo zile za "ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI"!Mtu wa karne hii ya utandawazi huna haja ya kuwa na madarasa kibao kichwani ili utambue kuwa hawa jamaa (ccm) wanakotupeleka siko.
 
Kitu ambacho sijakielewa mpaka sasa, msimamo wa JK katika hili suala ni haswa ?
 
Sishangai Sitta kutiwa kikaangoni kwani hata Yesu Kristo alitiwa hukumuni bila hatia! Sitta usife moyo Mzee Mandela alikaa kifungoni miaka 27 kwa kutetea wanyonge. Hao wanaojiita wanamtandao aibu zitawakuta muda si mrefu pale mwana wa Adam atakaposhuka mawinguni kuwachukua wateule wake.
 
Mimi mshangao wangu siku zote ni pale watu wanapoendelea kuwaamini kwamba unaweza ukakata mti ulioukalia na bado ukabaki salama. Kama wewe unafikiri ni shujaa na unapambana na ufisadi ni sharti utoke CCM. Huwezi kupambana na ufisadi halafu ukabaki CCM. The logic is simple. Ufisadi na dhuluma ndio unaoendelea kuiweka CCM madarakani. Ndio kusema unapopambana na ufisadi unapambana na CCM, unataka kuiangusha CCM, hapa lazima utakwama. CCM haiwezi ku-survive bila ufisadi, dhuluma, uongo, ubabaishaji, umantimanyongo, n.k.

Hawa ndugu zangu wana options mbili: to walk out of CCM or to shut up! Lazima wachague sasa, vinginevyo waache kutuzuga.

Na watanzania wenzangu narudia wito wangu wa kila siku. Kama kweli tunachukizwa na ufisadi na mwenendo katika nchi, hatuna njia ya kumaliza hayo zaidi ya kuachana na CCM. Kuendelea kuikumbatia CCM ni kuendelea kukumbatia hayo yote. Unless tumezoea kulalamika na tunaogopa tukiitoa CCM kwamba tutakosa cha kuongea vijiweni na pengine itabidi JF ifungwe maana tutakuwa tumefilisika kihoja, lazima tudhamirie kuachana na CCM katika uchaguzi ujao.

strategies yako kwangu naiona ni dhaifu na tena hapaswi kufuatwa ktk hali ya Tz tuliyo nayo.

Kwa miono yangu watanzania hasa wa bara tumegawanyika ktk makundi mawili 1. wananchi waoga wanaoogopa hata ile manati ya kuwindia ndege.
2.walio ngangari na tayari kwa lolote hata kama ni B52,hawa ni mafisadi.

Hivyo basi hili kundi la pili halitakubali kwa vyovyote vile kuachia ngazi kutoka chama pinzani ,aidha unaowashauri waondoke ccm kweli wataondoka na uchaguzi wataushida lakini kundi namba 2 ,katu halitakubali kuachia madaraka kwa kipande cha karatasi na kosikwensis zake vita rasmi ya sisi kwa sisi kwa mara ya kwanza itatoke. Kwa hiyo option yako mie naona si njia sahihi japo inaweza saidia.

Suluhisho rahisi kama kweli sisi tunaipenda nchi yetu ni tuviue vyama vya upinzani na tujiunge na ccm na tugombee uongozi ccm, hii itakuwa na faida nyingi mbili ya hizo ni-

1.Wajumbe wengi ndani ya ccm watakuwa na msimamo tofauti na mafisadi na hivyo mafisadi watazidiwa nguvu na hati maye kuwamaliza kabisa nguvu na mwisho kuwanyang'anya wao uanachama na tena kuwatia kizuizini.

2.CCM haitakuwa na sababu ya kuiba pesa za wananchi kama EPA ili kushinda uchaguzi,na hakuna mgombea ubunge atakaye pata milion 10 ktk jimbo lake la uchaguzi.Nafaida nyingi na kemu kemu.
 
- Bado kikao kinaendelea na kuna mvutano sana huko ndani, nimeongea na mjumbe mmoja aliyekuwa ametoka nje kidogo, so far dataz zenye uhakika ni toka jana juhudi za kutaka ku-reconcile makundi yaliyoko ndani ya CCM kuelekea uchaguzi wa 2010 kutokana na kauli nzito ya JM, ambaye the dataz ni hakutaka kuhudhuria kikao hiki toka last week amejificha UK,

- FMEs!

tafadhali nisaidie JM ni nani mkuu?
 
strategies yako kwangu naiona ni dhaifu na tena hapaswi kufuatwa ktk hali ya Tz tuliyo nayo.

Kwa miono yangu watanzania hasa wa bara tumegawanyika ktk makundi mawili 1. wananchi waoga wanaoogopa hata ile manati ya kuwindia ndege.
2.walio ngangari na tayari kwa lolote hata kama ni B52,hawa ni mafisadi.

Hivyo basi hili kundi la pili halitakubali kwa vyovyote vile kuachia ngazi kutoka chama pinzani ,aidha unaowashauri waondoke ccm kweli wataondoka na uchaguzi wataushida lakini kundi namba 2 ,katu halitakubali kuachia madaraka kwa kipande cha karatasi na kosikwensis zake vita rasmi ya sisi kwa sisi kwa mara ya kwanza itatoke. Kwa hiyo option yako mie naona si njia sahihi japo inaweza saidia.

Suluhisho rahisi kama kweli sisi tunaipenda nchi yetu ni tuviue vyama vya upinzani na tujiunge na ccm na tugombee uongozi ccm, hii itakuwa na faida nyingi mbili ya hizo ni-

1.Wajumbe wengi ndani ya ccm watakuwa na msimamo tofauti na mafisadi na hivyo mafisadi watazidiwa nguvu na hati maye kuwamaliza kabisa nguvu na mwisho kuwanyang'anya wao uanachama na tena kuwatia kizuizini.

2.CCM haitakuwa na sababu ya kuiba pesa za wananchi kama EPA ili kushinda uchaguzi,na hakuna mgombea ubunge atakaye pata milion 10 ktk jimbo lake la uchaguzi.Nafaida nyingi na kemu kemu.

Haya maneno aliyasemaga Masha na matokeo yake.................

Hii idea kwa ufupi ni ya kichawi
 
Dark City,
Mkuu wangu sioni sababu nje ya JK kufanya hivyo kwani kama nilivyosema JK anaweza kuwa mjinga lakini sii mjinga hivyo.

Tayari makundi yalikwisha kuwepo CCM kabla hata Sitta hajafumbua mdomo wake na mengi yaliyotokea Bungeni yametokea kwa baraka za JK. Kesi zote za wahusika JK ndiye aliyekubali zizungumziwe bungeni.. Sitta alikataa mwanzo tena tulimwona mchawi au umesahau..Iweje leo yeye kusimamisha mada zilizowakilishwa na wabunge (mafisadi) kwa kupata baraka za JK, iwe yeye ndiye mkosefu?..
Mkuu habari hii kubwa JK anajua fika amejiundia maadui ndani ya chama kwa kumfukuza Lowassa na kundi lake madarakani hivyo hana budi kujenga ngome yake kwa ustaarabu..Utengano ndani ya CCM umeanza siku Lowassa ameachia ngazi na sii kabla ya hapo.

Hivi unafikiria JK alishindwa kuwafukuza uanachama kina Lowassa na wengine wote?.. laa hasha isipokuwa a goods strategy within a party ni kuwaacha watu hao ndani ili upate kuwa contain kama maji mtungini..control ya watu hao inakuwepo...Wakipiga kelele wataonekana wako nje ya maadili ya chama na wataona aibu kushambulia ovyo. Kama Lowassa angefukuzwa CCM leo hii angekuwa na chama na wapo wajinga wengi tu wangemfuata yeye na Rostam.. vita ya hapo ingekuwa kubwa zaidi ya hii tunayoiona..
Mkuu uko sahihi kabisa. Unachosema kina make a lot of sense kwa wakati huu na siasa zinavyoendelea nchini sasa.

JK anajua kuwa chama chake kina watu (viongozi wa kisiasa) wengi wenye manung'uniko kuhusiana na hatima yao ifikapo 2010 na baadae (lakini hasa 2010). Na ameyasikia kwa muda mrefu. Sasa anaona ili kuwaridhisha wanung'unikaji hao, ni vyema akachukua hatua ambazo hata wao wataona zinafaa. Moja ya hatua hizo ni report iliyorudishwa serikalini na Bunge iliyokuwa na nia ya kusafisha walihusishwa na RDC na la pili ambalo ni kubwa zaidi na linalozaliwa kutokana na hatua ya kwanza kushindikana, ni hii ya kupeleka malalamiko yao CC na NEC. Huko alitaka kujivua lawama za kutochukua hatua kuhusu malalamiko ya wahusika hao. JK ni mwanasiasa wa kweli ama kwa hakika.

Mkuu, vile vile, kama inavyojulikana, 2010 ni karibu sana. CC na NEC ndio wanaoteua kwa awali na kwa hakika wao ndio huchagua mgombea uRais wa CCM. Ni wakati mzuri kwake kujua kama bado anao watu wakuwategemea kwa kumsaidia kushinda na kama wako nae sasa, na waliomtema wako wapi na jinsi ya kuwarudisha ama kuwatosa kabisa. JK hawezi kusubiri CC na NEC wafanye uteuzi wa kushtukiza ifikapo wakati wa kuchagua. Move hii ni ya kitaalam sana, na ameifanya vizuri.
 
Haya maneno aliyasemaga Masha na matokeo yake.................

Hii idea kwa ufupi ni ya kichawi

Idea zote duniani go east or west zinatoka kichwani. Na mhasisi wa Taifa lako alilona hiii idea ya kichwani na kuitabilia.
 
Kitu ambacho sijakielewa mpaka sasa, msimamo wa JK katika hili suala ni haswa ?
Msimamo wa JK kuhusiana na nini tena Mkuu? JK anachojipanga nacho sasa ni ushindi tu hapo mwakani. Misimamo yake yote itaelekezwa kuhakikisha azma hiyo inatimia bila kukosewa. Yeyote atakae mfikisha kwenye ushindi huo atakuwa nae, na wengine watakaofanya kinyume ataachana nao, kama kawaida.

Sakata la Sitta na NEC ni la kuwekana sawa tu na kurudishana kundini na kuondoa vigingi njiani. Hakuna msimamo wowote zaidi ya hapo. Nia ni kuhakikisha kuwa Spika anajua malengo na mahitaji yao kuhusiana na wanasiasa wanaotakiwa kusafishwa ili washinde uchaguzi ujao na kuwa huru zaidi kisiasa. Hao ni wale wa RDC na scandles nyingine.
 
strategies yako kwangu naiona ni dhaifu na tena hapaswi kufuatwa ktk hali ya Tz tuliyo nayo.

Kwa miono yangu watanzania hasa wa bara tumegawanyika ktk makundi mawili 1. wananchi waoga wanaoogopa hata ile manati ya kuwindia ndege.
2.walio ngangari na tayari kwa lolote hata kama ni B52,hawa ni mafisadi.

Hivyo basi hili kundi la pili halitakubali kwa vyovyote vile kuachia ngazi kutoka chama pinzani ,aidha unaowashauri waondoke ccm kweli wataondoka na uchaguzi wataushida lakini kundi namba 2 ,katu halitakubali kuachia madaraka kwa kipande cha karatasi na kosikwensis zake vita rasmi ya sisi kwa sisi kwa mara ya kwanza itatoke. Kwa hiyo option yako mie naona si njia sahihi japo inaweza saidia.

Suluhisho rahisi kama kweli sisi tunaipenda nchi yetu ni tuviue vyama vya upinzani na tujiunge na ccm na tugombee uongozi ccm, hii itakuwa na faida nyingi mbili ya hizo ni-

1.Wajumbe wengi ndani ya ccm watakuwa na msimamo tofauti na mafisadi na hivyo mafisadi watazidiwa nguvu na hati maye kuwamaliza kabisa nguvu na mwisho kuwanyang'anya wao uanachama na tena kuwatia kizuizini.

2.CCM haitakuwa na sababu ya kuiba pesa za wananchi kama EPA ili kushinda uchaguzi,na hakuna mgombea ubunge atakaye pata milion 10 ktk jimbo lake la uchaguzi.Nafaida nyingi na kemu kemu.

Mkulu MkamaP kwa Tanzania mambo ni kinyume kabisa mno .Hili wazo la kuingia CCM limekuwepo na watu tumejaribu .Labda nimkumbushe Kitila .Je mkuu Kitila wakumbuka ile NYF?Tulikuwa na akina Nchimbi Naibu Waziri sasa , Zitto, kama akina Killimbah, nk .Tukasema tugawanyike kwa jina kuleta haya unayo yasema leo. Hebu ona kinacho tokea sasa .Watu wamesha pata Ulaji na hata ukimpigia simu unamuuliza bwana vipi anakueleza CCM ni nzito .

Ukiingia means umekubaliana nao muendelee kudhulumu hakika huwezi kuwa ndani ya CCM then useme nataka kuwa mjumbe wa NEC ili kupambana na wala rushwa ndani ya Chama nk .Watu walijaribu kutia kaneno tu siku hizo kama Kolimba leo wako wapi ?

Dawa ni kuwa upande wa Pili hata usipo fanikiwa lakini umetimiza wajibu wako si lazima uwe Rais hapana .Mrema did it ila alidhani he was above all Tanzanians ndiyo kosa lake .
 
Back
Top Bottom