Мкuu unamaanisha nini hapa?
Mimi mshangao wangu siku zote ni pale watu wanapoendelea kuwaamini kwamba unaweza ukakata mti ulioukalia na bado ukabaki salama. Kama wewe unafikiri ni shujaa na unapambana na ufisadi ni sharti utoke CCM. Huwezi kupambana na ufisadi halafu ukabaki CCM. The logic is simple. Ufisadi na dhuluma ndio unaoendelea kuiweka CCM madarakani. Ndio kusema unapopambana na ufisadi unapambana na CCM, unataka kuiangusha CCM, hapa lazima utakwama. CCM haiwezi ku-survive bila ufisadi, dhuluma, uongo, ubabaishaji, umantimanyongo, n.k.
Hawa ndugu zangu wana options mbili: to walk out of CCM or to shut up! Lazima wachague sasa, vinginevyo waache kutuzuga.
Na watanzania wenzangu narudia wito wangu wa kila siku. Kama kweli tunachukizwa na ufisadi na mwenendo katika nchi, hatuna njia ya kumaliza hayo zaidi ya kuachana na CCM. Kuendelea kuikumbatia CCM ni kuendelea kukumbatia hayo yote. Unless tumezoea kulalamika na tunaogopa tukiitoa CCM kwamba tutakosa cha kuongea vijiweni na pengine itabidi JF ifungwe maana tutakuwa tumefilisika kihoja, lazima tudhamirie kuachana na CCM katika uchaguzi ujao.

- Worry who? Six? hapana he is just fine, the last thing Mtandao wanaweza kufanya ni kumchokonoa Six, kwenye one on one level hawawezi ku-afford hilo Spika ambaye amewapa wabunge wa sasa malipo ya ajabu sana, hawana ubavu wa kumgusa,
- Labda wakamkabe koo kwenye kugombea ubunge ambako the dataz ni kwamba wako naye huko sambamba sana, CCM haiwezi kummyamg'anya kadi a sitting Spika, ambaye amemsaidia sana Muungwana kumuondoa adui yake namba moja EL na besides,
- Kumnyanga'anya kadi Six, no! Muungwana does not operate that way kwa sababu itakwenda against the rules za ku-maintain popularity yake, ndio maana Msekwa alirudishiwa mlo.
Respect.
FMEs!
Kwa kweli Muungwana anaiangusha chama. Anashindwa kukemea maovu, inawezekana ana sababu maalum labda atarekebisha haya yote baada ya kuwa na uhakika na kurudi 2010.
Uchanguzi 2010 unamtia hofu ndio maana kwa mara nyingine ana SIDE na waliomweka madarakani.
Mimi ndo maana nampenda EL, Edward ni kiongozi shupavu anakisimamia anachokiamini.
Zuma (EL) atarudi tu!!!!!!!!!!!!!!
Bora Zuma kuliko Muungwana hasa kwenye MSIMAMO.
Spika Sitta, umetusaliti kabisa sisi ambao tulidhani tumempata mpiganaji. Kwanini usirudishe hiyo Kadi kama wewe umedhamilia kuupiga vita ufisadi. Unaomba msamaha wa nini???????? umekosa nini?????????????Tunakosa imani na wewe. Toka huko hapakufai Mhe. Spika