Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Na unapomkataza mwanamke aache kufanya kitu fulani lazima utoe sababu za msingi na madhara ambayo yatasababishwa na yeye kufanya hicho kitu unachomkataza. Siyo unaamua tu kumkataza eti kwa sababu wewe ni mwanaume huo sasa ndiyo uonevu wenyewe.
Wajanja sana hawa[emoji3]
 
Nakazia hapo kwa mababu tena walikuwa wajinga haswa si kidogo. Eti mtu anafuatisha tamaduni za mababu ambao walijiwekea sheria kwa kujipendelea wao wenyewe na kuwabebesha mizigo wanawake sababu tu hawakuwa na sauti ya kujitetea wala kukataa.

Mimi nilishasema sitakaa nifuate tamaduni za kiafrika nitafanya kile ninachotaka mimi tu. Ilimradi simdhuru mtu wala sivunji sheria za nchi basi hayo mengine kwangu ni upumbavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
[emoji23][emoji23] kwahyo uiyeanzisha Uzi umeathirika na mahusiano, eeeh sijaathitika na lolote sema tumetofautiana ufikiri na sijui kwanini wanaume wa humu mkishindwa hoja huingiza vitabu vya dini, Mara utakuja single mother, Malaya. Jifunzeni kutofautiana, wewe unawaza hayo vile uliona mamako akiwa victim, so kila mtu ame grow differently, na haamini kwenye kukandamiza wengine.
Humu ukiwashinda hoja wanaanza kukuattack mwenyewe [emoji3]
 
Kuna mawili, either wewe una chembechembe au kbs ni feminist au haujawahi kuwa kwenye ndoa.

Na Kama hilo la pili liko dhahiri Basi, hujui unachokiongea, na ndoa is not meant for you! Na kumbuka ndoa is not for everybody.
Mbona Kama unampigia ramli?
Kwanini unafanya assumptions hivyo?
 
A very long way kwa kweli. Mie huwa nasema aliyewaroga baadhi ya wanaume wa kiafrika hana huruma kabisa yaani karoga kwa asilimia zote katuachia magarasa hajataka kuwabakishia akili japo kidogo tu.

Mimi bora niitwe feminist ila siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume mnyanyasaji katu. Heri nibaki single maisha yangu yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Aliyewaroga hana huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Ni shida kwa kweli. Hao ndiyo wanaume wetu ambao wanalilia kuwa viongozi na vichwa vya familia mimi kuliko kuongozwa na mwanaume wa aina hiyo bora niongozwe hata na mnyama tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahaa kumbe hiyo ndio tafsiri ya kiongozi?? Mimi kwa uelewa wangu mdogo kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa matendo mema ili wanaomfuata nyuma yake waige mwenendo mwema. Kumbe kiongozi maana yake ni mtu anayeruhusiwa kufanya makosa ambayo wanafamilia wengine ni mwiko....hii kwangu ni definition mpya. Ahsante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu in ur perspective, ndoa unaichuliaje au ina nafasi gani? Na kwa mwanaume ana role gani ndani ya nyumba yako, na wewe role yako ni ipi?
Mimi sifahamu Boss

Sent using Jamii Forums mobile app
Nini ambacho hufahamu mkuu?
Kwani wewe umeuliza nini mbona unataka kunichosha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
me Ed Kawiche sijaoa ila kuna matatizo makubwa yanayofanywa na hawa viumbe (ke) hata kusalitiwa linaweza kuwa tatizo dogo sana! huwa wanaivuruga saikologia ya mwanaume kwa kiwango kikubwa sana.
kwa kawaida mwanamke anaongozwa external foce, matatizo mengi anayoyasababisha chanzo huwa marafiki, ndugu na wengne wanaofanana na hao. inshu ni mwanaume kupambana na hyo external forces ni ngumu kwa sababu (ke) akiamini jambo lolote nje atalishikilia hilohilo mpaka yamkute ndyo ataanza kujirudi mwenyew na kuanza kutubu.
Aise n kweli yalikuta hata mm
 
Mkuu kwani asiye kwenye ndoa haruhusiwi kutoa mawazo yake?
Ruksa, ila nina hofu atakuwa anachangia jambo asilolijua, sababu issue ya ndoa si ya kusimulia sababu umeona kwa dada, kaka, etc . ni suala linalohitaji utoe mawazo kulingana na uzoefu ulionao.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]aaah yani unavopitia uzi huu hamu ya ndoa inakwisha kabisa,,
 
Ruksa, ila nina hofu atakuwa anachangia jambo asilolijua, sababu issue ya ndoa si ya kusimulia sababu umeona kwa dada, kaka, etc . ni suala linalohitaji utoe mawazo kulingana na uzoefu ulionao.
Kwani aliloona kwa Dada sio wazo?
Pengine Kaka yake ni wewe...

Kwani kama hajaingia kwenye ndoa inamaanisha hajui chochote,kwanini uanze kuweka mawazo hasi kwa watu wa namna hiyo?
Au unataka mtu achangie vile unataka wewe na asiende kinyume na mawazo yako?
 
Hakuna ujanja wala ubabe, kuwa mpole zungumza na mwenzako kwa heshima na upole kwa ajili ya kutatuta tatizo na si kushindana, mzungumze ili mwisho wa siku nyote muwe mmeshinda na wala si kwa ajili ya wewe au yeye kushinda,
 
Kuna kuona dada yako anafokewa mbele yako na mumuwe, hicho ndicho unachoweza zungumzia lakini ni ngumu kuzungumzia essence ya yeye kufokewa, Labda Dada yako kamnyima ujumba shemeji yako, labda Dada yako kakataa kumpa style anayotaka shemeji yako n.k haya Mambo huwezi ambiwa na Dada yako hata siku moja, yaani wewe utaishia kuona matokeo yake na si essence. Ndy maana matatizo ya ndoa mengi yanapoenda kwenye usuluhishi, yanakuwa na magumu kuisha sababu wanandoa hawafunguki kiuwazi kuhusu chanzo haswa cha tatizo. Sasa wewe hujawahi hata siku moja kulala bila chupi usiku kucha, utawezaje kutoa ushauri wa ndoa? Let's be serious kdg.



Kuna wakati hata watoto, hushindwa kusuruhisha au kuwashawishi wazazi wanaotaka kuachana kwasababu hawawezi kukupa ki undani haswa ni nini chanzo Cha tatizo. Utaishia kuona tu kuwa baba analewa na wewe kujaji moja kwa moja kuwa baba ni Cha pombe. Kwahy kimsingi, ni vigumu sana kuelezea au kuelewa mmb ya ndoa kiundani Kama haujaishi hayo maisha. Achana na kulala au kukutana daily chumba kile kile, mazingira Yale Yale mtu yule yule siku zote na maisha yako.
 
Msingi mkuu wa yote hayo ni kosa la kuchagua mke. Kuna mahali nilisema mke wa ndoa anapaswa kutambua kuwa ndoa sio uwekezaji wa 50/50. Ili ndoa idumu ni LAZIMA kuwe na clear line kati ya mke na mume, kwamba ni nani mwenye ndoa!!

Sasa kwa ndoa za kisasa ambapo mwanamke na mwanamke wana hisa sawa mwenye ndoa, inahitaji mke mwenye busara na malezi bora mno. Wengi wanaingia wakiwa na mtazamo wa kiuanaharakati ndani ya ndoa ndio products za kina Kiria hizo.

Nikisema mume awe mume namaanisha kwamba mke anatakiwa atambue wazi kuwa maisha yake yanategemea ndoa, kwamba bila ndoa basi dunia kwake ni chungu. Kama ukioa mke ambaye ana mtazamo wa kuwa ukiona sifai nirudishe kwetu, basi jua hukupata mke bali mwanamke. Siku hizi kuna ujinga fulani umetamalaki, kwenye send off ni kawaida kusikia wazazi wa mwanamke wakisema binti huyu hajafukuzwa kwao, hivyo ukiona kakushinda mrudishe kwa amani. Ukisikia kauli kama hiyo jua mwwnamke huyo atabaki na connection na watu wa kwao na atakusumbua kweli.

Nikija kwenyebswali lako, mke akuleta hayo wala hakuna haja ya kuita vikao, MWONYE. Wewe ni mume, umetoa mahali kujenga mji wako sio wenu. Akikusikia umepata mke, la hajakusikia basi jua iko sauti anayoisikiliza huko nje, yaweza kuwa kidume au mashoti zake. Hapo sasa kama atakuwa anarudia na kuleta dharau na kiburi KUWA MWANAMUME. Mrudishe kwao akapumzike kwanza, hilo litamshitua mno kama no mke anayestahili ndoa, tena hawezi kucheza na mambo yako ya msingi.

Mwanamke ukimruhusu akudharau basi jiandae kwa maumivu makubwa zaidi. Lazima ajue kuna mahali umechora mstari na kwamba hatothubutu kuuvuka. Akishajua hilo atakyheshimu na ataogopa kukuletea ujinga. Lakini kunbuka wewe pia unapaswa kuwa mume mwenye kujitambua.
Umemaliza brother umeongea point Sana siku hizi wanawake wanaingia kwenye ndoa na inspiration quotes za Pastor mitimingi na Erick shigongo kiuanaharakati zaidi ndipo wanapofeli wanataka haki sawa mpaka kwenye ndoa ndo maana siku hizi kuna taasisi nyingi za kuwaelimisha wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona wanaume dhaifu mnajifariji weakness zenu humu, kamwe hamuwezi shindana na wakati lazima uumie, Zama za kale zimepita Sasa ni new era ya kujali utu wa mtu yoyote regardless of gender. I'm happy wanawake wanaweza kufanya yao bila kuonewa na mifumo kandamizi ya mifumo dume.
Wanawake wenzangu tuchape kazi tujikwamua kiuchumi ili tusipate tabu.
The future is female indeed.
 
Kwani aliloona kwa Dada sio wazo?
Pengine Kaka yake ni wewe...

Kwani kama hajaingia kwenye ndoa inamaanisha hajui chochote,kwanini uanze kuweka mawazo hasi kwa watu wa namna hiyo?
Au unataka mtu achangie vile unataka wewe na asiende kinyume na mawazo yako?
Wanaume wa sikuhizi ni shida kwa kweli anataka kupangia watu Cha kuandika I can imagine mke wake shida anayopitia kuwa na mwanaume type hii.
 
Back
Top Bottom