Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Nani anakunyanyasa? wewe boss wako kazini anapokuamulia na kukuagiza au kutokubaliana na jambo lako anakuwa anakunyanyasa?
Haiwezi kuwa sawa kwa mwanamke maana kuna aliyeolewa na aliyeoa,kuna kiongozi na msaidizi na kuna mwenye kauli ya mwisho na ambae anategemea vetting ya usahihi wa kauli yake.The boss is always right kumbuka hilo
Kwa mantiki hiyo unaongelea zile ndoa ambazo mume ndiyo anagharamikia kila kitu kuanzia nyumba mke hadi watoto maana boss ndiye anayemlipa mshahara mfanyakazi

Haya unazungumziaje hizi ndoa za siku hizi ambazo asilimia kubwa wote mwanaume na mwanamke wanatafuta pesa na wote wanasaidiana majukumu ya kifamilia
 
kumbuka hii itakusaidia..no 50/50 kwenye ndoa hata huko walikoanzia hakuna hiyo kitu kwa sababu ni nature
Mkuu kama wewe mwanaume ndiye unatafuta pesa na unaprovide kila kitu ndani ya nyumba basi hakuna mwanamke atayetaka 50/50 na wewe labda awe kichaa

Ila ukishaanza kuleta habari za kutaka mke wako akusaidie majukumu na kuulizia hela zake zinaenda wapi basi hapo jiandae tu kwa 50/50 hamna namna ndiyo maana kule juu nikakuambia ukikubali kumpa majukumu yako basi ukubali kumpa na nafasi yako
 
Kwangu mimi tafuta pesa zako za saluni,na vitu vidogo vidogo vya wewe kama mwanamke na mm nitafanya majukumu yangu ya baba ila nikitoa pesa yangu lazima niulize matumizi vinginevyo tutakosana
 
Kwa mantiki hiyo unaongelea zile ndoa ambazo mume ndiyo anagharamikia kila kitu kuanzia nyumba mke hadi watoto maana boss ndiye anayemlipa mshahara mfanyakazi

Haya unazungumziaje hizi ndoa za siku hizi ambazo asilimia kubwa wote mwanaume na mwanamke wanatafuta pesa na wote wanasaidiana majukumu ya kifamilia
sihitaji msaada wowote wa kunisaidia majukumu mwanamke mimi ila tu matumizi sahihi ya kile nachotoa ndio maana siwezi oa mtumishi hata siku moja,ni heri nifungue biashara ya mwanamke au tufanye ya kwangu na hata nikikufungulia biashara lazima nijue mapato na mwenendo wa matumizi ya faida
 
Kwangu mimi tafuta pesa zako za saluni,na vitu vidogo vidogo vya wewe kama mwanamke na mm nitafanya majukumu yangu ya baba ila nikitoa pesa yangu lazima niulize matumizi vinginevyo tutakosana
Oohh kwahiyo mwanaume kuwa mtawala ndiyo nature ila kumhudumia mke wake siyo nature eti? Enzi za babu zetu bibi zetu walikuwa wanajitafutia vya kwao au walikuwa wanahudumiwa kila kitu na babu zetu?
 
sihitaji msaada wowote wa kunisaidia majukumu mwanamke mimi ila tu matumizi sahihi ya kile nachotoa ndio maana siwezi oa mtumishi hata siku moja,ni heri nifungue biashara ya mwanamke au tufanye ya kwangu na hata nikikufungulia biashara lazima nijue mapato na mwenendo wa matumizi ya faida
Oohh kama majukumu yote unayatimiza wewe bila msaada kutoka kwa mke wako basi hapo hakuna 50/50 lazima akuheshimu tu. Ila tunachosema ni kuwa kumtawala mwanamke siyo kumpiga wala kumsaliti bali kuishi naye kwa kutumia akili na siyo nguvu.
 
Ni declare interest mapema,mimi sio mwanaume wa kuishi kwa kutegemea mwanamke kihisia hali kadharika huwa siko tayari kuwa mtumwa wa kumridhisha mwanamke,kwangu hiyo kitu haipo.
Sasa mwanamke a cheat au vinginevyo i dont care ila tu nisijue maana hakuna kitu kigumu kama kukosa furaha eti nawaza kama umeridhika au laa,ndio maana mimi naona ndoa ni ngumu sana na kwenye ndoa nawaza watoto tuu mamabo ya kuridhishana hayapo kwenye ubongo wangu haijalishi nachepuka au sichepuki
utatafuta watoto bila kumpetipeti mwanamke? huwezi kumkimbia mwanamke hata ufanye nini la sivyo na hao watoto katotoleshe kuku basi kama unaweza ili uepukane na mtu anayeitwa mwanamke!! usikejeli mwanamke wakati lazima umuhitaji kwa jinsi yoyote ile iwe kwa kutaka au pasipo kutaka...
 
unaweza kumpetipeti mke? mambo ya kupetipeti ni wakati unatongozwa ikishakuwa imoo hakuna tena..mbona mm sisumbuliwi na mwanamke wa dizaini yoyote,kuliko kusumbuana natimua ukafie mbele huko na uzuri wanawake wengi ni njaa kulingana na nature kwa hiyo hamna cha kunifanya niwe mnyonge kwenu,k nanunua tu nikitaka pesa ipo
 
Back
Top Bottom