Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Ukitaka mwanamke akuheshimu vizuri hakikisha majukumu yote ya ku provide ni yako hakikisha hata chupi yake hanunui na kama wazazi wake kama wako hao uwe unawarushia pesa mara moja moja huyo ata kuheshimu sana unless uoe kichaa lakini unaoa mke unategemea yeye ndio alipe school fees au anunue chakula hapo tegemea kiburi jeuri na madharau. I am talking from my own experience.
All the best.
Binafsi najitambua na kujielewa mke wangu nitampatia mahitaj yote anayotaka yaliyo ndani ya uwezo wangu japo unajua siwezi kumpatia kila kitu atakachohitaji kwa wakati lakn kadri ya uwezo wangu namhudumia nayeye anajua hilo ije itokee from no where motivational speaker mmoja aje amjaze ujinga et 50/50 wallahi hiyo ndoa itakua na masaa machache sana ya kusurvive

Bahati mbaya mm sio muumini wa 50/50 kabisa aseee hakuna kitu nakichukia aa hicho
 
Ukiona mwanamke anayumbishwa na maneno ya watu au sijui makungwi mara motivation speakers kuwa huyo hana akili umeoa nazi. Mwanamke mwenye akili siku zote huwa anaangalia maslahi ya ndoa yake. Ila make sure mahitaji yote muhimu ni ya kwako.
Kuna watu wameoa wanawake wana harakati lakini hawa wana harakati kwenye ndoa zao wanaziheshimu yote ni kwa sababu wamepata waume wanaojitambua na kujua jukumu la mwanaume.
 
Ukitaka mwanamke akuheshimu vizuri hakikisha majukumu yote ya ku provide ni yako hakikisha hata chupi yake hanunui na kama wazazi wake kama wako hao uwe unawarushia pesa mara moja moja huyo ata kuheshimu sana unless uoe kichaa lakini unaoa mke unategemea yeye ndio alipe school fees au anunue chakula hapo tegemea kiburi jeuri na madharau. I am talking from my own experience.
All the best.
Kama mume wako ana uwezo wa kufanya hayo yote au nusu yake lkn hafanyi basi binafsi sikulaumu. Lakini Kama anashindwa kutokana na changamoto za kimaisha mfano amesimamishwa kazi, au hana kbs kazi lkn unaona anapamabana, Basi wewe Ni wa kukiangalia Mara mbili.

Kimsingi mwanamke hajaumbwa kubeba majukumu makubwa ya kifamilia, na inapotokea anafanya huwa ni ziada tu.
 
Bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wanawake akili zao zinaweza kubadilika ndani ya mda mfupi sana mnawezakua mnapendana na unamtimizia kila kitu lakn anatokea mjuba mmoja kisa ana six pack zake anaamua kukuacha wewe mwenye kitambi unaemhudumia kwa kila kitu,,,, so hawa viumbe huwa hawatabiriki tuishi nao kwa akili tu
 
Natamanigi tu wanaume wangekuwa ka baba yangu ni very understanding hata wababa wadogo hawana hizi Mambo za ukandamizaji sijui Mimi mwanaume na vile Sasa ukikutana na Hawa kwa jamii yetu una choka mwili na roho, kwanza anakuwa anakunyanyasa ile fear yake anakuwa ana ku undermine, ili yeye ajione ndo mwanaume very exhausting, kuliko kuishi na mwanaume design hyo Bora uwe single maana ufikiri umetofautiana
True kabisa. Kuna wanaume wanadhani eti kuonesha ubabe kwa wanawake ndiyo uanaume.
 
Sure ni jipu hafu ukiwaachia Sana wanaweza angamiza familia huwa hawafikirii mbele haswa akitekwa huko na malaya
Mimi nishasema mwanaume mchepukaji na mwanaume mnyanyasaji hawatakaa waipate heshima yangu hata siku moja. Kama yupo mwanaume anayeijua vizuri biblia aje hapa aseme ni wapi Mungu alipomruhusu mwanaume kuchepuka na siyo anitolee mifano ya kina Suleiman na babu zake.
 
Ahaa kumbe hiyo ndio tafsiri ya kiongozi?? Mimi kwa uelewa wangu mdogo kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa matendo mema ili wanaomfuata nyuma yake waige mwenendo mwema. Kumbe kiongozi maana yake ni mtu anayeruhusiwa kufanya makosa ambayo wanafamilia wengine ni mwiko....hii kwangu ni definition mpya. Ahsante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Comment bora ya mwezi. Natamani uianzishie uzi hii.
 
Ikiwa mmeoana, mkakwaruzana hata kutishia kuachana, Mungu asaidie tu msiwe mmezaa watoto. Muachane mkawe manunga embe wenyewe hukooo..watoto bana watoto hapo, hata Kama hukaja matured, you need it kwa kweli,muyajenge muwalee watoto.

Wife was mshkaji ametokea kumuangalia zee flan mtaani kwao, sehemu ya zeep,Kuna tuta linaonyesha shingo na kichwa, mke akawa anamwambia mumewe tabia ya mzee Yule asiye na haya, mume amechukizwa Sana na kitendo Cha mke kumpa taarifa ya kichwa kwenye bukta ya kizee lile,mke ana hiji tabia ya mzeekuvaa pensi nyanya mtaani akipitapita,

Mbaya zaidi siku z weekend yeye ndio casual wear yake, so huonekana na mume amemshuhudia mzee aliyembea na bukta mtaani.

Mume anawasiwas mke anatamani kichwa, wakuu sisemi muanze tabia hiyo ya kuvaa pensi na vchwa vyenu vikichora ramani. Jamaa ameniomba niongee na baby yule tuanzishe veteran timu
 
Bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wanawake akili zao zinaweza kubadilika ndani ya mda mfupi sana mnawezakua mnapendana na unamtimizia kila kitu lakn anatokea mjuba mmoja kisa ana six pack zake anaamua kukuacha wewe mwenye kitambi unaemhudumia kwa kila kitu,,,, so hawa viumbe huwa hawatabiriki tuishi nao kwa akili tu
Kama mume wako ana uwezo wa kufanya hayo yote au nusu yake lkn hafanyi basi binafsi sikulaumu. Lakini Kama anashindwa kutokana na changamoto za kimaisha mfano amesimamishwa kazi, au hana kbs kazi lkn unaona anapamabana, Basi wewe Ni wa kukiangalia Mara mbili.

Kimsingi mwanamke hajaumbwa kubeba majukumu makubwa ya kifamilia, na inapotokea anafanya huwa ni ziada tu.

Ukiona hivyo basi jamii yetu iko na wajinga sana wakike kwa waume maana siku zote mama ndio msingi wa familia yoyote ile. mara nyingi mamma mjinga angalia watoto wake unless baba aaamue atake full responsibility ya watoto.
 
Yani wako hovyo hawataki kuelimika wallah kuwa wastaarabu na kuwaheshimu wengine. Wazungu wamestaarabika mno hzo tabia za uonevu walishaziacha mda Ila huku kwetu tunawaona hamnazo
Wewe mumeo inabidi awe arrogancy kwa kuwa wewe Nni arrogant. Awe na akili ndogo Sana usiwaze nje, asiwe na akili za baba etu Adam. Maana wanawake wa aina yako, mwañaume atachapiwa tu.
 
Ahsante mdogo wangu, nitapopolewa hadi niombe poo na hivi nimezeekea kwa baba
Hao hata wasikuumize kichwa. Heri kuzeekea kwa baba zetu kuliko kuolewa na wanaume kama hawa wanaounga mkono ukandamizaji wa wanawake.
 
Lazima mwanaume awe juu, mwanaume mtu wa mwisho kimaamuzi.

Wanaume hatujafanana kiupeo, kuna wengine hawawezi kutoa maamuzi mazuri, hapo mwanamke inabidi ajiongeze. Kwa mfano mnakaa zaidi ya miaka 10 mwanamke anakushauri mjenge wewe mwanaume unang'ang'ania kupangisha tu, na unataka hayo maamuzi yasipinduliwe, ni upuuzi huu.
mwisho wa siku mke anaenda kujenga nyumba kisirisiri bila kukushirikisha, kwasababu ameshakuona mburura.
 
Ukitaka mwanamke akuheshimu vizuri hakikisha majukumu yote ya ku provide ni yako hakikisha hata chupi yake hanunui na kama wazazi wake kama wako hao uwe unawarushia pesa mara moja moja huyo ata kuheshimu sana unless uoe kichaa lakini unaoa mke unategemea yeye ndio alipe school fees au anunue chakula hapo tegemea kiburi jeuri na madharau. I am talking from my own experience.
All the best.
Uko sahihi..inabidi umfanye mkeo aone kama ana bahati sana kuwa na wewe
 
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .
Ili ndoa idumu lazima mpendane, mhurumiane mheshimiane, msikilizane hyo ya kuwa juu ni Chaka letu wanaume kuendekeza ukandamizaji tu kwa wanawake
uliwahi ona wapi maisha ya kila mtu kuwa juu au chini au sawa? Hapo kazini kwako boss wako yuko juu au pengine wewe ndio boss je huwaheshimu na kuwapenda waliochini kisa uko juu? So na kwenye ndoa kama taasisi haiwezekani kila mtu awe na ndevu afu mambo yaende lazima wa uu awepo kutoa muelekeo na kauli ya mwisho wengine mnakuwa washirika tuu
 
Mueleze ajue make mm amenishinda huku hataki kua chini et
 
Back
Top Bottom