Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Nakazia hapo kwa mababu tena walikuwa wajinga haswa si kidogo. Eti mtu anafuatisha tamaduni za mababu ambao walijiwekea sheria kwa kujipendelea wao wenyewe na kuwabebesha mizigo wanawake sababu tu hawakuwa na sauti ya kujitetea wala kukataa.

Mimi nilishasema sitakaa nifuate tamaduni za kiafrika nitafanya kile ninachotaka mimi tu. Ilimradi simdhuru mtu wala sivunji sheria za nchi basi hayo mengine kwangu ni upumbavu.
ujinga wao ndio ulifanya mambo yakaenda ikiwa ni pamoja na kukulea wewe na werevu wa sasa ndio ujinga mkuu maana things are falling apart even earlier before reaching goals na kuishia kuwa majuto
 
Maelezo yako tu yanaonesha upo in ur early 20s, u have a lot of expectations on marriage issues. Hauko realistic, u have a lot of illusions in ur mind.

Subiri umri usogee kwanza, Kisha ndy utaelewa tunachozunhumza hapa.
Ana dream ulimwengu wa ndotoni ambao hau exist na kamwe hautakuja ku exist so long as jinsia ziko tofauti,hata huko walikoanzisha harakati za kuwawezesha wanawake hakuna hiyo 50/50 ilishashindikana maana huwezi shindana na nature
 
Hawataki mwanaume aongoze nyumba au awe mkuu wa familia, wanataka mama na baba wote wawe sawa, baba akirudi saa nne usiku na mke akirudi saa tano, mke asiulizwe!
sasa hiyo haitakuwa familia si bora uishi kivyako sasa
 
Sipendi kuona unasuka......

Baby ukinyoa unapendeza sana....

Baby unapendeza sana ukivaa magauni ya kuburuza chini....

Baby hereni hazikupendezi kabisaaa....

Unapendeza ukionekana natural......

Wanaume buanaaaaaaa......

.wakati mwingine mke anakaidi kwakuwa anakatazwa jambo lisilo na mashiko....

😎
wewe usipate tabu ukiingia tu kwenye ndoa yuko mwanaume jua tu hii taasisi ina restrict uhuru wako wewe ukitaka hayo yote ufanya unavyojitakia ni kuishi alone no one will ask you tofauti na hapo you are under someone
 
Bahati mbaya sana asilimia kubwa ya wanawake akili zao zinaweza kubadilika ndani ya mda mfupi sana mnawezakua mnapendana na unamtimizia kila kitu lakn anatokea mjuba mmoja kisa ana six pack zake anaamua kukuacha wewe mwenye kitambi unaemhudumia kwa kila kitu,,,, so hawa viumbe huwa hawatabiriki tuishi nao kwa akili tu
Kwanza hawako consistency na pia hawana uvumilivu wa mda mrefu kwa sababu maisha yao kumbuka n ligi na kujionesha wako juu ya wenzao na wanapenda sifa sasa mtu wa dizaini hii ni anabadilika wakati wowote,mwanaume usipojua hili jambo ndio mnaishia kujinyonga,kuwa mlevi wa kupindukia,kuuta bange na kuvurugika maisha sasa mimi hakuna mwanamke wa kunisumbua aisee maana thamani ya mwanamke kwangu ni kuzaa watoto na si vinginevyo,mambo ya sex kwangu ni extra saaana na huwa haipo kwenye hesabu naweza funga mwezi na sija sex na sioni shida
 
ujinga wao ndio ulifanya mambo yakaenda ikiwa ni pamoja na kukulea wewe na werevu wa sasa ndio ujinga mkuu maana things are falling apart even earlier before reaching goals na kuishia kuwa majuto
Tamaduni za kuwakandamiza na kuwanyanyasa wanawake ni ujinga tena mkubwa tu. Wanaume wengi wasichojua ni kuwa unaweza kumtawala mwanamke na kumuweka chini yako bila hata kumkandamiza wala kumnyanyasa.

Ila wengi wenu mnadhani eti kupiga na kuonea mwanamke ndiyo kunaonesha uanaume wako na ndiyo kumtawala huko. Msichojua ni kuwa wanawake wengi wa siku hizi wanawaheshimu zaidi wanaume wanaoonya na siyo wanaopiga.
 
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .
Ili ndoa idumu lazima mpendane, mhurumiane mheshimiane, msikilizane hyo ya kuwa juu ni Chaka letu wanaume kuendekeza ukandamizaji tu kwa wanawake
Bible inasema efeso 5.23 "kwa maana mume ni kichwa cha mkewe....." kwa lugha nyingine hawa wawili hawawezi kua 50/50 MWANAUME ATABAKI KUA KICHWA TU. Ka unapingana na bible endelea kuwafuata wanaharakati wako kwa kutaka 50/50 utakuja kuvuna ulichokipanda
 
Acha kutumia vitabu vya dini kufanya justification za kipumbavu Mara juu, Mara Kati Mara kichwa, mbona kila kiumbe kina kichwa. Msitumie vitabu kuhalalisha upuuzi na ukandamizaji wenu, wakati inajulikana kabisa.
Eti lazima niwe wa mwisho kwa wanaume Hawa Hawa wasiofikiria kesho mhhhhh.

Sipendi ntu kuingiza dini kuhalilisha utopolo Mimi na ukondoo flani.
Mumeo kazi anayo aisee......
 
katika ndoa......yaani kati yenu nyie mtu mbili.........peke yenu ndio mnaweza kuyamaliza matatizo na migogoro yenu pasina shaka........mmoja wenu akianza kupeleka nje kwa namna ya kushtaki, kutafuta huruma au kujipendekeza........hapo hakuna ndoa..ni anaongeza mgogoro.......only 2 peoples....wife & husband......wa 3 iblisi nakwambia...........hakuna kupigana wala kuchuniana.......mkiona hakika mmeshindwa..........kanza anzeni kujiuliza mlipoanza kudate...........kitu kikubwa mkeo awe ni your best friend......rafikiyo mkuu.....safari yenu itakuwa nzuri.....
Ahsante
 
Tamaduni za kuwakandamiza na kuwanyanyasa wanawake ni ujinga tena mkubwa tu. Wanaume wengi wasichojua ni kuwa unaweza kumtawala mwanamke na kumuweka chini yako bila hata kumkandamiza wala kumnyanyasa.

Ila wengi wenu mnadhani eti kupiga na kuonea mwanamke ndiyo kunaonesha uanaume wako na ndiyo kumtawala huko. Msichojua ni kuwa wanawake wengi wa siku hizi wanawaheshimu zaidi wanaume wanaoonya na siyo wanaopiga.
kumtawala ndio huko kunaonekana ni kumkandamiza,eleza atamtawala vipi akiwa na pesa na kutaka uhru kama wa mwanaume?
 
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .
Ili ndoa idumu lazima mpendane, mhurumiane mheshimiane, msikilizane hyo ya kuwa juu ni Chaka letu wanaume kuendekeza ukandamizaji tu kwa wanawake
shid ya kuoa Wanaharakti, utapata Mwanamke na siyo Mke. hata MUNGU" kasema mwanamke amuheshimu Mume wake, na mwanaume ampende mke wake , na si vise versa"
 
Yaani wewe angalau hauko negative sana na ME km mwenzako, unachomiss kuelewa muktadha wa hii hoja ni kitu kidogo Sana.

Hakuna mtu aliesema kumnyanyasa, kumpiga au kumuonea KE au whatsoever, ndy uanaume...,hapana! Me binafsi naamini katika malidhiano, maelewano na makubaliano baina ya sisi wawili. Kwamba tunakubaliana ktk nyumba yetu sote kwa pamoja ( mke na mume) juu ya Dos and Don't ndani ya nyumba.

Tunaposema mwanaume awe kiongozi au kichwa cha familia, hatumaanishi kuwa yeye awe dictator, hapana....wanandoa wanaoheshimiana na kupendana hawafanyi hvy. Ila pamoja na yote lazima kuwepo na mtu ambae ndy kiongozi ndani, kiasi hata wewe mwanamke kwa mfano anapokuja mtu kuwazingua hapo home unamuita, yaani ni simple logic tu na ya asili hata wanyama wengi wanayo hii Kariba.
Tamaduni za kuwakandamiza na kuwanyanyasa wanawake ni ujinga tena mkubwa tu. Wanaume wengi wasichojua ni kuwa unaweza kumtawala mwanamke na kumuweka chini yako bila hata kumkandamiza wala kumnyanyasa.

Ila wengi wenu mnadhani eti kupiga na kuonea mwanamke ndiyo kunaonesha uanaume wako na ndiyo kumtawala huko. Msichojua ni kuwa wanawake wengi wa siku hizi wanawaheshimu zaidi wanaume wanaoonya na siyo wanaopiga.
 
Na wewe baba kwanini urudi usiku na kwanini umuulize mwenzako na Kama karudi ka wewe. Ukiona hivo wote mna fanana tabia kwanini umwangushie mzigo mkeo na yeye ana Mambo yake anafanya ka yako.[emoji23][emoji23]
hapa hapana aliye jiingiza kwako, kaingia cha kike
 
kumtawala ndio huko kunaonekana ni kumkandamiza,eleza atamtawala vipi akiwa na pesa na kutaka uhru kama wa mwanaume?
Ukimuachia majukumu yako basi kubali kumuachia na nafasi yako tu mkuu hakuna namna. Ila kama majukumu yako unayatimiza yote bila kuuliza hela yake anafanyia nini basi hapo ni haki yako kumtawala.

Ni ngumu kumtawala mtu usiyemhudumia
 
Yaani wewe angalau hauko negative sana na ME km mwenzako, unachomiss kuelewa muktadha wa hii hoja ni kitu kidogo Sana.

Hakuna mtu aliesema kumnyanyasa, kumpiga au kumuonea KE au whatsoever, ndy uanaume...,hapana! Me binafsi naamini katika malidhiano, maelewano na makubaliano baina ya sisi wawili. Kwamba tunakubaliana ktk nyumba yetu sote kwa pamoja ( mke na mume) juu ya Dos and Don't ndani ya nyumba.

Tunaposema mwanaume awe kiongozi au kichwa cha familia, hatumaanishi kuwa yeye awe dictator, hapana....wanandoa wanaoheshimiana na kupendana hawafanyi hvy. Ila pamoja na yote lazima kuwepo na mtu ambae ndy kiongozi ndani, kiasi hata wewe mwanamke kwa mfano anapokuja mtu kuwazingua hapo home unamuita, yaani ni simple logic tu na ya asili hata wanyama wengi wanayo hii Kariba.
Mkuu wewe nimekuelewa ulichomaanisha. Ila kuhusu hayo jisemee nafsi yako tu ndugu yangu maana kama huwa unapitia comments za baadhi ya wanaume kwenye nyuzi zenye maudhui kama haya basi utanielewa.

Wanaume wengi humu huwa wanasema mwanamke ili uishi naye vizuri eti ni lazima umpige au uwe dictator. Wanasingizia kwamba mwanamke usipompiga eti atakupanda kichwani kitu ambacho si kweli.
 
Kupiga aisee hii ni tabia ya mtu, Kuna ambao wanapigana na wanapendana vzr, inategemea na mwanamke nae amelikubali vipi. Ila me binafsi siwezi piga mwanamke!

Siamini kama kumpiga ndy kutatatua tatizo.
Mkuu wewe nimekuelewa ulichomaanisha. Ila kuhusu hayo jisemee nafsi yako tu ndugu yangu maana kama huwa unapitia comments za baadhi ya wanaume kwenye nyuzi zenye maudhui kama haya basi utanielewa.

Wanaume wengi humu huwa wanasema mwanamke ili uishi naye vizuri eti ni lazima umpige au uwe dictator. Wanasingizia kwamba mwanamke usipompiga eti atakupanda kichwani kitu ambacho si kweli.
 
Mimi nilushapiga sana, Ushauri niliomba sana ila mambo yalipoa pale mimi nilpoacha michepuko, maana alikuwa akikamata sms kwa simu yangu anakuwa Jonsina namimi Anord tena nipambane na Mwanamieleka tena. Basi sasahivi alhamdullaah.
 
Back
Top Bottom