Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

bila shaka wewe ni victim.
mwanaume huwa halinganishwi. sijui mwanaume wa ukoo wenu sijui wazungu wanafanya hv au vile au kwanini hatuishi km watu fulani na nk. hiyo ndiyo inaitwa external force ya mwanamke yaani mwanamke kutumia hisia zaidi kuliko akili. mwanaume anaongozwa na internal forces (kutumia akili zaidi kuliko hisia) so kumuingilia ktk maamuzi na mipango yake ni kumvuruga kimkakati.
I'm not a victim wa lolote Tena sikuhizi watu hawaitwi victim wanaitwa survivor.
So misimamo yangu haihusiani na Jambo lolote au victim get ur fact first.
Mie siwezi kuku blame wewe kwa msimamo wako ni Imani na perception yako na siwezi kuku label as a victim, that's never on earth
 
Habari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu.

Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe Kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la kukukera, linaweza kuwa kubwa sana au la kawaida, lkn ikabaki kuwa amekwazika sana na alichofanya. Je huwa unatumia njia gani kutatua?

Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa kila ndoa ina changamoto yake, kitendo cha kukaa au kuishi nyumba moja na mke kwa muda mrefu, huleta hali fln hv ya kuchokana au kuonana wa kawaida, na hadi kuepelekea wanawake wengine kutotimiza majukumu yao ya ki ndoa na kimahusiano Kama ilivyokuwa awali. Ni ngumu sana kuwa na muendelezo wa mapenzi au uhusiano imara kwa wana ndoa kwa muda mrefu, hata kama kuna vitu mtakuwa mnavifanya ili kurutubisha mapenzi au ndoa yenu, bado kuna mmj wenu au wote atakuwa mnafiki, na hupelekea kusababisha kutokea kwa makosa kadhaa kwenye ndoa au mahusiano.

Mfano wa makosa hayo yanaweza kutokea Ni Kama dharau toka kwa mke, kuchepuka, kutokuthamini mume ( mke hafanyi tena mmb kwa ajili ya mume), kujibishana na mume, n.k, hali zote hizi husababisha hasira isiyoelezeka, ikifikia hatua hii ndipo kila mwanaume huwa na njia yake ya ku "deal" na changamoto hy.

SWALI:
Wewe huwa unafanyaje Kati ya haya?

Unampiga mwanamke kutuliza hasira na hujishughulishi ku sort tatizo?

Unakaa chini na kujadiliana nae?

Unauchuna tu?

Unamfukuza arudi kwao?

Unalipa kisasi?

Unatafuta watu wa kuwasuluhisha, Kama wazazi, mshenga, viongozi wa dini, Wana familia n.k?

Je unaamini katika kupiga mwanamke ndy suluhisho au ndy kuongeza petrol ktk moto? Kama hupigi nini huwa unafanya ku prove ur point?

Embu funguka .

Ndoa ukiipeleka kimazoea nayo inawazoea na yanatokea kama hayo!

Sijawahi kuita wazee, huwa tunatabia ya kutoka pindi tupatapo nafasi huko huwa tunayaongea na kuyamaliza maudhi yote.

Zaidi, muwe mnabuni njia za kuimarisha ndoa, kuishi maisha yale yale miaka mitatu minne unachoka akili mpaka kila kitu kinavurugika.

Unafuu upo kwetu sisi wanaume tukitoka misele tunapita mahali stories mbili tatu unaflash kichwa vipi mkeo tena ukute ni mama wa nyumbani!

Kuwa na tabia ya kutoka na kutafuta sehemu tulivu, kaa na mwenza ongeeni kuleni, kunyweni na furahini! Mkitoka hapo ndoa imerudi mpya! Hii inajenga bond kubwa baina yenu
 
Sio kushindana utapewa ukweli wako bila kujali jinsia yako Mimi na amini wote tuko sawa kilichotofautisha ni vikojoleo tu the rest tuko sawa. Kikubwa kuheshimiana
Kuna mawili, either wewe una chembechembe au kbs ni feminist au haujawahi kuwa kwenye ndoa.

Na Kama hilo la pili liko dhahiri Basi, hujui unachokiongea, na ndoa is not meant for you! Na kumbuka ndoa is not for everybody.
 
Ndoa ukiipeleka kimazoea nayo inawazoea na yanatokea kama hayo!

Sijawahi kuita wazee, huwa tunatabia ya kutoka pindi tupatapo nafasi huko huwa tunayaongea na kuyamaliza maudhi yote.

Zaidi, muwe mnabuni njia za kuimarisha ndoa, kuishi maisha yale yale miaka mitatu minne unachoka akili mpaka kila kitu kinavurugika.

Unafuu upo kwetu sisi wanaume tukitoka misele tunapita mahali stories mbili tatu unaflash kichwa vipi mkeo tena ukute ni mama wa nyumbani!

Kuwa na tabia ya kutoka na kutafuta sehemu tulivu, kaa na mwenza ongeeni kuleni, kunyweni na furahini! Mkitoka hapo ndoa imerudi mpya! Hii inajenga bond kubwa baina yenu
umeongea sahihi sana mkuu
 
Naam, umenena vyema.... Mkuu vipi unaamini ktk kupiga? pamoja na kuwa hutumia njia ya kujisuhulisha inapotokea tatizo.
 
I'm not a victim wa lolote Tena sikuhizi watu hawaitwi victim wanaitwa survivor.
So misimamo yangu haihusiani na Jambo lolote au victim get ur fact first.
Mie siwezi kuku blame wewe kwa msimamo wako ni Imani na perception yako na siwezi kuku label as a victim, that's never on earth
poa poa
 
Naam, umenena vyema.... Mkuu vipi unaamini ktk kupiga? pamoja na kuwa hutumia njia ya kujisuhulisha inapotokea tatizo.

Siamini katika kupiga, mimi ni muumini wa majadiliano zaidi na kutafuta suluhu!

Ukimpiga mkeo, unamjengea tabia nyingine yenye kukera zaidi.

Mfano: Alikuambia jambo ukakasirika na kumpiga, ataanza kukaa kimya hata akuone unatumbukia shimoni! Ukimuuliza mbona hukuniambia na uliona shimo? atakujibu 'nikikwambia unarusha ngumi'. Utafanyaje?

Kifupi mpe mke uhuru, heshima, upendo na amani lakini pia kuwa close na ukionyesha thamani ya uwepo wake. Ukiona kaharibu hapo huyo hafai kuwa mke!
 
Nipo na wewe katika hili.

Alafu anaejua uzito au wepesi wa tatizo ni yule aliekutwa nalo, na sy 3rd part utakaemuelezea. Ukimueleza mtu mwingine atakupa jibu la short cut tu sababu ya generalization, either akwambie muache wanawake au wanaume wako wengi, au Kama kaenda kwa marriage counselor atamwambia hapo hakuna ndoa, kisa amekuta massage ya ajabu au umechepuka mara moja, au hata amemsimulia issue ya zamani, au wakati mwingine kwa yeye mwanamke kutojiamini akahisi Kuna kitu tofauti unafanya. Ki msingi matatizo ya ndoa yanakuwa yanachochewa zaidi na wanawake kuliko sisi wanaume.
wanawake wanapenda sana ushauri.....bila kujua unaetaka ushauri ni lazima umwambie kinachokusibu.......na huo ushauri ataubeba bila editing yeyote,,,,, then anapo deliver ndo anagundua ameharibu.......hakubali kujuta na kutulia....atarudi kuleee......atajikuta baada ya mda mfupi watu kibao walio ndani na nje ya familia wanajua ndoa yenu ina mgogoro............nina uzoefu ktk hili......yes i quit........
 
Na mababu walifanya hvo ili wajipatie favor eti Kuna vitu wao ruksa kwa mwanamke mwiko.
Na zamani ndoa zilidumu vile watu walikuwa waishi sehemu moja, kijijini, kuonewa mwanamke ilikuwa sawa, na vile wanawake hawakuwa na uchumi ilibidi wabaki, Ila sikuhizi Nani anafanya hyo kitu kuvumilia mateso eti ndo heshima, Tena huko tuendako wanaume wajipange na uonevu wao watasingizia wazungu, Mara ushetani, blah blah kujihalalishia ushenzi wao.
Na bado watasimamia na kusingizia 50/50 imeharibu hawaoni wao makosa yao.
Hawa wanaume wa Africa lazima wabadilike watoke gizani bila hivo watataathirika kisaikolojia
Dunia ishabadilika itabidi wajifunze tu kuishi na wanawake wa kizazi hiki hakuna namna
 
Yaani kuchepuka nalo ni kosa katika makosa ambayo anategemewa Mke ayafanye siku hizi?
Na la kuomba ushauri?

katika ndoa......yaani kati yenu nyie mtu mbili.........peke yenu ndio mnaweza kuyamaliza matatizo na migogoro yenu pasina shaka........mmoja wenu akianza kupeleka nje kwa namna ya kushtaki, kutafuta huruma au kujipendekeza........hapo hakuna ndoa..ni anaongeza mgogoro.......only 2 peoples....wife & husband......wa 3 iblisi nakwambia...........hakuna kupigana wala kuchuniana.......mkiona hakika mmeshindwa..........kanza anzeni kujiuliza mlipoanza kudate...........kitu kikubwa mkeo awe ni your best friend......rafikiyo mkuu.....safari yenu itakuwa nzuri.....
Ebwana mimi Naona kila mmoja ana msimamo wake juu ndoa, mimi Kwa upande wangu katika mambo ambayo siwezi kuvumilia kuishi hata kwa sekunde moja na mwanamke nikishagundua kuwa yeye ni mshirikina au mzinifu aah hape mzee baba ataenda kwao iwe jua au mvua iwe ucku au mchana. Kimombo wanasema the game is over
 
Yani wako hovyo hawataki kuelimika wallah kuwa wastaarabu na kuwaheshimu wengine. Wazungu wamestaarabika mno hzo tabia za uonevu walishaziacha mda Ila huku kwetu tunawaona hamnazo
Si ndio hapo sasa. Wanasingizia eti wazungu wanataka kutuletea ushoga wtf ushoga na ukandamizaji wa wanawake vinaingilianaje.
 
Dunia ishabadilika itabidi wajifunze tu kuishi na wanawake wa kizazi hiki hakuna namna
Sure aisee na mbaya wanaume wa Sasa wakiwa na mwanamke mwenye kipato lazima wakutese akunyamyase hata ukimweshimu haelewi anaona umdharau na kusingizia kipato chako. In short ni watesaji na hawana jema wanawake tuna kazi Sana
 
Si ndio hapo sasa. Wanasingizia eti wazungu wanataka kutuletea ushoga wtf ushoga na ukandamizaji wa wanawake vinaingilianaje.
Na huo ushoga hapa Tanzania wanaume ndo wanalala wanaume wenzao na bado watasingizia wazungu. Mwanamke akijikwamua wanasingizia feminist. We have a long way to go
 
Sure aisee na mbaya wanaume wa Sasa wakiwa na mwanamke mwenye kipato lazima wakutese akunyamyase hata ukimweshimu haelewi anaona umdharau na kusingizia kipato chako. In short ni watesaji na hawana jema wanawake tuna kazi Sana
Wana inferiority complex hawa. Tena nimegundua wengi wameamua kutupia lawama kwenye huu mfumo wa 50/50 ukiwagusa kidogo tu utasikia oohh wanawake wa siku hizi mnapenda usawa sijui kimeenda kimerudi mara kimepanda kimeshuka hawaji na hoja wanabaki wanarukaruka tu kama bisi jikoni.
 
Yani na ukidate na mwanaume wa hivi kupata maendeleo ni tabu Sana, wamekaa kuwaza negative kusingizia 50/50 Kama excuse ya Mambo, kuna wanaume waelewa na wanaishi na wenzi wao vizuri bila shida na Mambo yanaenda, ukikutana na walioaminishwa kuwa mwanaume lazima umtese mkeo, usimusikilize umdunde utashangaa Sana
 
Na huo ushoga hapa Tanzania wanaume ndo wanalala wanaume wenzao na bado watasingizia wazungu. Mwanamke akijikwamua wanasingizia feminist. We have a long way to go
A very long way kwa kweli. Mie huwa nasema aliyewaroga baadhi ya wanaume wa kiafrika hana huruma kabisa yaani karoga kwa asilimia zote katuachia magarasa hajataka kuwabakishia akili japo kidogo tu.

Mimi bora niitwe feminist ila siwezi kuolewa au kuishi na mwanaume mnyanyasaji katu. Heri nibaki single maisha yangu yote.
 
Wewe kwenye ndoa una amini Nini? Nafasi ya mwanamke na mwanaume ili ndoa iwe imara ni Nini?

Kwako mume unamuweka ktk nafasi gani, in relation ya asili ya mwanamke na mwanaume?

Back
Top Bottom