cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,655
Hahaaaa jibuni maswali yangu, haya bhana!
Hahaaaa jibuni maswali yangu, haya bhana!
Hakutaja au kudharau iman yako lkn, kama me ningekuwa wewe ningeomba radhi kisha nikaendelea na kupambana nae kwenye hoja.Hata yeye Kani attack personal sijui jealous wivu havikuhusika na topic na answer ka yeye alivojibu kimipasho
Basi nipe hata thumb up kidogo, pamoja na kukuita "Sweetheart" jina zuri hutaki hata kunipa credit kwa hiloHahaaa hao watoto na familia yako Lord have mercy kah Yani mwanaume ka wewe umepataje mke I wonder ka wewe huko hivo mkeo si ndio atakuwa gizani kabisa lile Totoro, na hao watoto mtawaharibu with such poor mentality.
I feel sorry for ur wife kwa kweli kuwa na mume design yako yataka moyo.
Mimi siwezi date mwanaume design yako napenda wanaume wenye akili kubwaz big heart who can think beyond measures Sasa mwanaume mwenye maoni ya kale wa Nini Sasa, anayewaza kutokujiamini, mhhhh Yani a man mwenye all kind of stereotyping wa Nini cheeh


Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama mimi nakwambia kabisa hunirizishi kwa hiyo kazi kwako kurudisha hisia penzi liendelee hama uniruhusu nigongwe na watu wengine coz siwezi kukusubiria wewe wakati starehe yako unaipata sehemu nyengine je mimi anipe nani hiyo starehe? otherwise uwe na matatizo ya kiafya nitaelewa lakini isiwe ile ya kuniona huyu nae wa nini mieee aahaaHabari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu.
Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la kukukera, linaweza kuwa kubwa sana au la kawaida, lakini ikabaki kuwa amekwazika sana na alichofanya. Je, huwa unatumia njia gani kutatua?
Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa kila ndoa ina changamoto yake, kitendo cha kukaa au kuishi nyumba moja na mke kwa muda mrefu, huleta hali fln hv ya kuchokana au kuonana wa kawaida, na hadi kuepelekea wanawake wengine kutotimiza majukumu yao ya ki ndoa na kimahusiano Kama ilivyokuwa awali. Ni ngumu sana kuwa na muendelezo wa mapenzi au uhusiano imara kwa wana ndoa kwa muda mrefu, hata kama kuna vitu mtakuwa mnavifanya ili kurutubisha mapenzi au ndoa yenu, bado kuna mmj wenu au wote atakuwa mnafiki, na hupelekea kusababisha kutokea kwa makosa kadhaa kwenye ndoa au mahusiano.
Mfano wa makosa hayo yanaweza kutokea Ni Kama dharau toka kwa mke, kuchepuka, kutokuthamini mume ( mke hafanyi tena mmb kwa ajili ya mume), kujibishana na mume, n.k, hali zote hizi husababisha hasira isiyoelezeka, ikifikia hatua hii ndipo kila mwanaume huwa na njia yake ya ku "deal" na changamoto hy.
SWALI:
Wewe huwa unafanyaje kati ya haya?
Unampiga mwanamke kutuliza hasira na hujishughulishi ku sort tatizo?
Unakaa chini na kujadiliana nae?
Unauchuna tu?
Unamfukuza arudi kwao?
Unalipa kisasi?
Unatafuta watu wa kuwasuluhisha, Kama wazazi, mshenga, viongozi wa dini, Wana familia n.k?
Je, unaamini katika kupiga mwanamke ndy suluhisho au ndy kuongeza petrol ktk moto? Kama hupigi nini huwa unafanya ku prove ur point?
Embu funguka .
Siombi radhi Wala Nini maana hata yeye aliingiza vitu vya wivu sijui Nini alitegemea Nini.Hakutaja au kudharau iman yako lkn, kama me ningekuwa wewe ningeomba radhi kisha nikaendelea na kupambana nae kwenye hoja.
Umeandika pweinti ( pointi)Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama mimi nakwambia kabisa hunirizishi kwa hiyo kazi kwako kurudisha hisia penzi liendelee hama uniruhusu nigongwe na watu wengine coz siwezi kukusubiria wewe wakati starehe yako unaipata sehemu nyengine je mimi anipe nani hiyo starehe? otherwise uwe na matatizo ya kiafya nitaelewa lakini isiwe ile ya kuniona huyu nae wa nini mieee aahaa
Basi nipe hata thumb up kidogo, pamoja na kukuita "Sweetheart" jina zuri hutaki hata kunipa credit kwa hilo![]()




Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama mimi nakwambia kabisa hunirizishi kwa hiyo kazi kwako kurudisha hisia penzi liendelee hama uniruhusu nigongwe na watu wengine coz siwezi kukusubiria wewe wakati starehe yako unaipata sehemu nyengine je mimi anipe nani hiyo starehe? otherwise uwe na matatizo ya kiafya nitaelewa lakini isiwe ile ya kuniona huyu nae wa nini mieee aahaa
Tuwekee ushahidi hapa.Wewe mwenyewe waitwa abdula nyie huwaza tu ngono na kuoa hovyo badala ya kuwaza maendeleo mnazaa utitiri wa watoto Ada tu zinawashinda kila kipindi Cha mfungo kuoa huo si umalaya.
Siombi radhi Wala Nini maana hata yeye aliingiza vitu vya wivu sijui Nini alitegemea Nini.
Ushahidi gani wakati kila kitu Kiko wazi huitaji PhD kujua jamaniTuwekee ushahidi hapa.
Mimi huwa si mnafiki wa nafsi yangu I hit direct my point no meandering like river. Yeye kaanza utopolo na mie nikamaliziaHapana ,,,,two wrongs don't make it right....... Humuombi yeye radhi unaomba radhi kwa wote watakao guswa na kauli yako.......pamoja na umajununi wako, unaonekana una kauungwana kwa mbali, being humble doesn't cost you a thing, pls omba radhi!
Mambo vp Dada yngu kwema nakuomba muendee taratibu mambo ya Iman sio mazuri kwenye Uzi wenu...What is feminist kwanza?
Feminist anavunjaje ndoa kwani yeye ni mahakama?
Ndio hatuna ndoa wenye ndoa wanavuta hewa ya tofauti na kawaida au wanapumua tanzanite?
Umejuaje Wana wivu wewe kiupaumbele ka ni ngono au ndoa sio wote wanafikiria hivo.
Wewe mwenyewe waitwa abdula nyie huwaza tu ngono na kuoa hovyo badala ya kuwaza maendeleo mnazaa utitiri wa watoto Ada tu zinawashinda kila kipindi Cha mfungo kuoa huo si umalaya.
![]()
Hahaaa hao watoto na familia yako Lord have mercy kah Yani mwanaume ka wewe umepataje mke I wonder ka wewe huko hivo mkeo si ndio atakuwa gizani kabisa lile Totoro, na hao watoto mtawaharibu with such poor mentality.
I feel sorry for ur wife kwa kweli kuwa na mume design yako yataka moyo.
Mimi siwezi date mwanaume design yako napenda wanaume wenye akili kubwaz big heart who can think beyond measures Sasa mwanaume mwenye maoni ya kale wa Nini Sasa, anayewaza kutokujiamini, mhhhh Yani a man mwenye all kind of stereotyping wa Nini cheeh
Mbona hauhoji alicho comment hapo juu au vile haijakugusa, so unatetea ulipoguswa tu hyo ni haki kweli?Mambo vp Dada yngu kwema nakuomba muendee taratibu mambo ya Iman sio mazuri kwenye Uzi wenu...
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Wengine hasa mimi na mfano wangu, hatujaliona hilo, sasa wewe ambaye umeliona unaonekana una ujuzi mno wa hili, mimi ndiyo naomba unipatie ushahidii na ziada ya swali ni je kwako wewe maendeleo ni nini hasa kuwa na elimu au kuelimika au kuwa na mali au kipato kikubwa ?Ushahidi gani wakati kila kitu Kiko wazi huitaji PhD kujua jamani
Akili kubwa ni inayofikiria beyong or outside the box.Bibie samahani kidogo kuna baadhi ya vitu au maswali naomba unijibu kulingana na hiki ukichokiandika.
1. Akili kubwa unaijuaje au ina sifs gani au hata kwa ujumla ukiweza kunipa sifa za mtu mwenye akili, utakuwa umenisaidia sana.
2. Wewe ni Feminist ?
Ahsante.
Hpn Dada yngu ulitakiwa kumshambulia binafsi ila km unaona nmekosea samahani sna kila la kheri...Mbona hauhoji alicho comment hapo juu au vile haijakugusa, so unatetea ulipoguswa tu hyo ni haki kweli?
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
Kuwa na hekima na vyote vyoteWengine hasa mimi na mfano wangu, hatujaliona hilo, sasa wewe ambaye umeliona unaonekana una ujuzi mno wa hili, mimi ndiyo naomba unipatie ushahidii na ziada ya swali ni je kwako wewe maendeleo ni nini hasa kuwa na elimu au kuelimika au kuwa na mali au kipato kikubwa ?