Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Yani wewe unapangia na kunyima watu Cha kuchangia wewe ni dictator eeh. Kutokuwa au kuwepo kwenye Jambo haimaanishi hujui Jambo lolote
Samahani mkuu utajuaje unyanyasaji ulioko kwenye ndoa pasipo kua kwenye ndoa?? Au unasimuliwa???? Na vile vile Ni unyanyasaji wa aina gani mnaouongelea au kwa mfano nikikuambia wewe utakua chini yangu kama mwanaume tayari nimekunyanyasa??
 
Samahani mkuu hvi Ni unyanyasaji aina gan mnoouongelea hapa yaan ile kua chini ya mwanaume tayari ndo unyanyasaji au mnaongelea unyanyasaji wa aina gani
Hawataki mwanaume aongoze nyumba au awe mkuu wa familia, wanataka mama na baba wote wawe sawa, baba akirudi saa nne usiku na mke akirudi saa tano, mke asiulizwe!
 
Hawataki mwanaume aongoze nyumba au awe mkuu wa familia, wanataka mama na baba wote wawe sawa, baba akirudi saa nne usiku na mke akirudi saa tano, mke asiulizwe!
Ahaaaaaaaa kwa style hiyo Ni bora nisioe kabisa make ntaja ua mtoto wa watu nipate murder case bureee
 
Na unapomkataza mwanamke aache kufanya kitu fulani lazima utoe sababu za msingi na madhara ambayo yatasababishwa na yeye kufanya hicho kitu unachomkataza. Siyo unaamua tu kumkataza eti kwa sababu wewe ni mwanaume huo sasa ndiyo uonevu wenyewe.
Zoe kumbe upo.

Niliona mtu anajiita zoe kule twitter, nikahisi ni wewe
 
Samahani mkuu utajuaje unyanyasaji ulioko kwenye ndoa pasipo kua kwenye ndoa?? Au unasimuliwa???? Na vile vile Ni unyanyasaji wa aina gani mnaouongelea au kwa mfano nikikuambia wewe utakua chini yangu kama mwanaume tayari nimekunyanyasa??
Kwani unyanyasaji una ndoa tu upo wa aina nyingi na umatendeka daily ni lazima upingwe kote kote iwe kwenye ndoa au nje huo ni unyanyasaji tu.
Pia mengine nimeyapitia sijasimuliwa na mtu talking from my experience.
Pia na kwanini umuweke mwenzako chini unataka kupata Nini[emoji23][emoji23]
 
Huu uzi haunihusu, ila mbona mtoa mada umeegemea upande mmoja? Umeandika kama vile ndoa ikishakuwa kongwe mwanaume ndio huwa victim? Je hakuna makosa ambayo wanaume wanayafanya pindi ndoa inapofikia stage hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Makosa anayofanya mwaname yapo, na yumkini ni mengi, nayo pia approach yake ya namna ya kuya sort haina tofauti Sana......Ila kwenye hili nimeangalia upande wa wanaume namna wanavyo sort changamoto za kindoa.

Unaweza kutupa uzoefu wako Kama hutojali, ya namna ambayo mnatatua changamoto zenu za ndani.
 
Hawataki mwanaume aongoze nyumba au awe mkuu wa familia, wanataka mama na baba wote wawe sawa, baba akirudi saa nne usiku na mke akirudi saa tano, mke asiulizwe!
Na wewe baba kwanini urudi usiku na kwanini umuulize mwenzako na Kama karudi ka wewe. Ukiona hivo wote mna fanana tabia kwanini umwangushie mzigo mkeo na yeye ana Mambo yake anafanya ka yako.[emoji23][emoji23]
 
Kwani unyanyasaji una ndoa tu upo wa aina nyingi na umatendeka daily ni lazima upingwe kote kote iwe kwenye ndoa au nje huo ni unyanyasaji tu.
Pia mengine nimeyapitia sijasimuliwa na mtu talking from my experience.
Pia na kwanini umuweke mwenzako chini unataka kupata Nini[emoji23][emoji23]
Kwani mkuu kuwa "chini" kwa jinsi ulivyoelewa wewe ni kupi? Maana tunaweza tukawa tunabishana kitu tusichokijua.

Ni vile tu umesema hauamini ktk, ndoa lkn nilitaka nikuulize maswali kadhaa.
 
Kwahyo ukiolewa kila mtu ndani ya nyumba hiyo kila mmoja atakua kiongozi mwenye mamlaka sawa na mwingine sio?
 
Kwahyo ukiolewa kila mtu ndani ya nyumba hiyo kila mmoja atakua kiongozi mwenye mamlaka sawa na mwingine sio?
Wote viongozi kila mtu aheshimu boundaries zake na mamlaka usiniingilie na Mimi sikuiingilii
 
Kwani mkuu kuwa "chini" kwa jinsi ulivyoelewa wewe ni kupi? Maana tunaweza tukawa tunabishana kitu tusichokijua.

Ni vile tu umesema hauamini ktk, ndoa lkn nilitaka nikuulize maswali kadhaa.
Kuwa chini maana yake kudunisha mwanamke kwa kila jambo ndani ya nyumba.
Wewe uliza tu swali lolote I'm free to answer Leo Nina mood ya ku comments
 
Kwa taarifa yako Nina mke for 5 years na hiyo 50/50 haijawai kua agenda kwenye ndoa yetu kila mmoja anajua mpaka wake!! Mke wangu anajua kua mm ndie kiongozi mkuu kwenye familia and I am the last say kwenye family na ashazoea kabisa sijawai kusikia analalamika eti namnyanyasa
[emoji23][emoji23][emoji23]na usio ka una mentality hyo
 
Mkuu hii iko hvy, kiasili, na hata hao wazungu wanaosema hawana mmb haya, ipo hvy kwao, kuwa mwanaume ndy kiongozi wa familia, period.
Kwa taarifa yako Nina mke for 5 years na hiyo 50/50 haijawai kua agenda kwenye ndoa yetu kila mmoja anajua mpaka yake!! Mke wangu anajua kua mm ndie kiongozi mkuu kwenye familia and I am the last say kwenye family na ashazoea kabisa sijawai kusikia analalamika eti namnyanyasa
 
Wote viongozi kila mtu aheshimu boundaries zake na mamlaka usiniingilie na Mimi sikuiingilii
Mamlaka kama yapi hayo Inaweza kuingiliana mkuu make mm ktk miaka 5 ya ndoa cjawai ona kama kuna mamlaka tunaweza ingiliana na mke wangu
 
Hawataki mwanaume aongoze nyumba au awe mkuu wa familia, wanataka mama na baba wote wawe sawa, baba akirudi saa nne usiku na mke akirudi saa tano, mke asiulizwe!
Ahaa kumbe hiyo ndio tafsiri ya kiongozi?? Mimi kwa uelewa wangu mdogo kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa matendo mema ili wanaomfuata nyuma yake waige mwenendo mwema. Kumbe kiongozi maana yake ni mtu anayeruhusiwa kufanya makosa ambayo wanafamilia wengine ni mwiko....hii kwangu ni definition mpya. Ahsante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hao ni wanandoa au wanachuo wanaoshare room ya hostel? Kwa mentality hii sishangai ukiniambia hujaolewa au umeachika......!
Hii mentality hata Mimi hainiingii akilini kabisa ndo hawa hawa wanakua motivational speakers na kuanzia kuitisha seminars kujaza wake zetu viburi!!! Binafsi sijajua ukanda ninaoishi ndo unanifavour( kanda ya ziwa) huku hatunaga mambo hayo ya kugawana mamlaka na mwanamke
 
Back
Top Bottom