Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Sawa,

Swali ninalo ndy?

Umeolewa? na age range yako ni ipi?
Kwa bahati mbaya sana sitazamagi hizo series za kikorea wala kifilipino hivyo sijui ni ndoa gani unaongelea. Mie utanikuta kwenye movies za kimarekani au kiingereza tena za action au horror na siyo hizo drama au love story.

Una swali jingine mkuu wangu ??
 
Mkuu tulia, the lion is stalking utaharibu "move".
Kinachotokea ni kwamba kila mtu anajiona anahaki, Mwanaume sifa yake haongei... hao mabebez zetu hicho ndo wanachokijua wamejariwa mdomo, huwez bishana nao bali vitendo tu, hasa hao wanaojihis Femanist kwa kuiga upuuzi. vitendo vitamuweka sawa wala usiendelee kubishana naye
 
Ndiyo mke kumsaidia mume wala siyo shida. Shida ni je huyo mume ana tabia gani au je huyo mume naye anamsaidia mkewe majukumu yake mfano kazi za ndani.

Halafu siyo wanaume wote wanaosaidiwa na wake zao wanakuwa wamekwama
Hiyo itakua kwa upande wako ila binafsi niliowashuhudia wote ni ama wamekwama au hawana uwezo kabisa yani wale jobless,yes wapo wanaume hawana kazi zama hizi. Mke kusaidia majukumu ni kama mume kusaidia kazi za ndani ambazo nikiri wanaume wengi huzifanya
 
Labda huko nchi za uarabani ambazo ni non secular countries ambako wanatumia sheria za dini (hasa dini ya kiislam) kama sheria za nchi ndiyo mara nyingi kunakuwa na ukandamizaji wa wanawake

Lakini secular countries karibu zote hakuna sheria inayopendelea jinsia fulani na inayokandamiza jinsia fulani kwamba eti kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa hakuna
Kwanza nasikitika hujajibu maswali yangu, niliyo kuuliza.

Soma tena maswali yangu kisha uyajibu, miongoni mwa maswali niliyo kuuliza ni kuwa unaujuaje ukandamizaji yaani marejeo yako ni yapi ? Ngoja nikusaidie, mfano nikikuuliza unalijuaje kama hili ni gari ? Je utaanza kusema kule Japani au Wapi gari lina matairi matatu au la ?

Naona unalifanya tamko "kufanana" likawa sawa na "haki sawa" huku tunaita kulibaka neno na kubananga maana ya maneno hayo.

Tuendelee....
 
Hiyo itakua kwa upande wako ila binafsi niliowashuhudia wote ni ama wamekwama au hawana uwezo kabisa yani wale jobless,yes wapo wanaume hawana kazi zama hizi. Mke kusaidia majukumu ni kama mume kusaidia kazi za ndani ambazo nikiri wanaume wengi huzifanya
Mmhh sasa wanaume wa huku JF wanaishi dunia gani. Maana according to wao ni kwamba hakuna mwanaume anayekubali kufanya kazi za ndani hata kama mke wake anamsaidia kiuchumi.
 
Hongera sana mkuu, na ahsante kwa ushirikiano wako! na hongera mingi sana kwa mwandani wako kwa kuoa wewe.

With no disrespect I bet you have some issues with ur marriage!
Ndiyo nimeolewa. Ninarange kati ya miaka 35-39.
 
Kwanza nasikitika hujajibu maswali yangu, niliyo kuuliza.

Soma tena maswali yangu kisha uyajibu, miongoni mwa maswali niliyo kuuliza ni kuwa unaujuaje ukandamizaji yaani marejeo yako ni yapi ? Ngoja nikusaidie, mfano nikikuuliza unalijuaje kama hili ni gari ? Je utaanza kusema kule Japani au Wapi gari lina matairi matatu au la ?

Naona unalifanya tamko "kufanana" likawa sawa na "haki sawa" huku tunaita kulibaka neno na kubananga maana ya maneno hayo.

Tuendelee....
Kwanza kabisa inatakiwa ufahamu kuwa si kila swali lazima lijibiwe moja kwa moja

Pili kwangu mimi ukandamizaji ni ile hali ya mtu kutumia mamlaka yake au nguvu zake kumuonea mtu mwingine ambaye hana mamlaka kama yake au nguvu kama zake
 
Hongera sana mkuu, na ahsante kwa ushirikiano wako! na hongera mingi sana kwa mwandani wako kwa kuoa wewe.

With no disrespect I bet you have some issues with ur marriage!
Ningekuwa nina issues na ndoa yangu ningekuwa nimeshaomba talaka siku nyingi sana. Ila kwa sababu bado nipo kwenye ndoa basi hizo issues umezitunga wewe.

Kutetea vilema siyo lazima na wewe uwe ni kilema. Wanaume wa JF muelewe hilo.
 
Fair enough mkuu, relax we r in this together!

Sikujui na wala sihitaji kukujua, ila you sound to me as a good person, ungekuwa unajibu bila negativity au any sort of attitude or rudeness ungetisha zaidi mkuu.

Ila all in all, I'm so glad kuskia kwamba unaendelea vyema na ndoa yako na upo kwe chama chetu Cha walala uchi,
Ningekuwa nina issues na ndoa yangu ningekuwa nimeshaomba talaka siku nyingi sana. Ila kwa sababu bado nipo kwenye ndoa basi hizo issues umezitunga wewe.

Kutetea vilema siyo lazima na wewe uwe ni kilema. Wanaume wa JF muelewe hilo.
 
Ahaa kumbe hiyo ndio tafsiri ya kiongozi?? Mimi kwa uelewa wangu mdogo kiongozi anatakiwa kuwa mfano kwa matendo mema ili wanaomfuata nyuma yake waige mwenendo mwema. Kumbe kiongozi maana yake ni mtu anayeruhusiwa kufanya makosa ambayo wanafamilia wengine ni mwiko....hii kwangu ni definition mpya. Ahsante kwa kutujuza

Sent using Jamii Forums mobile app
wanaume wengi hawajui uongozi katika familia unatakiwa uweje.
 
Mimi nilishasema sitakaa nifuate tamaduni za kiafrika nitafanya kile ninachotaka mimi tu. Ilimradi simdhuru mtu wala sivunji sheria za nchi basi hayo mengine kwangu ni upumbavu.
Utaisikia now kwenye bomba.. Jiandae tuu kuzalishwa na kuwa dumped
 
Mmhh sasa wanaume wa huku JF wanaishi dunia gani. Maana according to wao ni kwamba hakuna mwanaume anayekubali kufanya kazi za ndani hata kama mke wake anamsaidia kiuchumi.
Aisee labda nimewanote vibaya ila kwangu mimi sio kusaidiwa tu majukumu na mwanamke yani mwanaume kufanya hizo kazi ni jambo la kawaida katika kudumisha mahusiano na napenda mno yani kwamba natamani hata leo ningekua na hiyo ndoa.... Ila ikumbukwe haya yote yawe ni kwa ajili ya mapenzi binafsi tu na katika kudumisha upendo lakini heshima yangu kwa mawanamke kama kichwa cha familia ibaki palepale
 
Naona wanaume dhaifu mnajifariji weakness zenu humu, kamwe hamuwezi shindana na wakati lazima uumie, Zama za kale zimepita Sasa ni new era ya kujali utu wa mtu yoyote regardless of gender. I'm happy wanawake wanaweza kufanya yao bila kuonewa na mifumo kandamizi ya mifumo dume.
Wanawake wenzangu tuchape kazi tujikwamua kiuchumi ili tusipate tabu.
The future is female indeed.
Hicho unachosema kinawezekana tu ikiwa hujaamua kuolewa au kuolewa na mwanaume asiye na uwezo ili nae afue na kupika na kusafisha watoto tofauti na hapo hakuna mwanaume anaamka kudekimwanamke kalala eti ni 50/50
 
Inasikitisha wanaume wengi Wana inferiority complex Yani anaona raha kumfanya mwanamke wake atakalo, as if huyo ni mfugo wake wakati ni mtu mzima na akili timamu.
Kwanza mtu huwezi kuwa Bora kwa ku undermine wengine
na ndio maana ya kulipia mahari
 
Hivi kwa nini kiola kosa likitokea kwenye ndoa mwanamke ndio anakua kazorotesha? kwa taarifa yako sasa, ndoa nyingi zinazorotshwa na wanaume.. mwanaume akishakua na mchepuko huko huwa hawawezi kurizisha ndani na mwanamke huwa anajua kabisa hila anaweza hasikwambie akakuangalia tu.. sanasana kama mimi nakwambia kabisa hunirizishi kwa hiyo kazi kwako kurudisha hisia penzi liendelee hama uniruhusu nigongwe na watu wengine coz siwezi kukusubiria wewe wakati starehe yako unaipata sehemu nyengine je mimi anipe nani hiyo starehe? otherwise uwe na matatizo ya kiafya nitaelewa lakini isiwe ile ya kuniona huyu nae wa nini mieee aahaa
Ni declare interest mapema,mimi sio mwanaume wa kuishi kwa kutegemea mwanamke kihisia hali kadharika huwa siko tayari kuwa mtumwa wa kumridhisha mwanamke,kwangu hiyo kitu haipo.
Sasa mwanamke a cheat au vinginevyo i dont care ila tu nisijue maana hakuna kitu kigumu kama kukosa furaha eti nawaza kama umeridhika au laa,ndio maana mimi naona ndoa ni ngumu sana na kwenye ndoa nawaza watoto tuu mamabo ya kuridhishana hayapo kwenye ubongo wangu haijalishi nachepuka au sichepuki
 
Yeah its true bro, but sio kila mtu ana muda wa kupoteza. Nadhani miongoni mwa vitu vinavyotupotezea mda na malengo vijana wa kileo ni the so called true love. Watu wamekuwa so fake bora uchunge pesa yako zaidi!
wewe una mtizamo kama wangu ukihangaika na eti kutafuta kupendwa au kumridhisha mtu utapata tabu sana,binafsi naamini pesa itanipa furaha maana nikitaka mwanamke ni rahisi na sitaki mwanamke wa kufuga tuanze kuzinguana noo,nafurahi sana kuwa introvent maana naweza kuishi alone bila tataizo na vitu vya kunipa furaha ni zaidi ya mwanamke,napenda adventures sana,kimbembe wanacho wale wanaume ambao wanategemea furaha kutoka kwa mwanamke hao lazima waisome namba na waumie moyo kweli kweli na ndio hao wanaua na kujiua na kuvurugwa kabisa na mambo ya mahusiano
 
Kwanza kabisa inatakiwa ufahamu kuwa si kila swali lazima lijibiwe moja kwa moja
Kwa kuzingatia hilo ndiyo maana nikasema hujajibu swali, na mfano nimekupa.
Pili kwangu mimi ukandamizaji ni ile hali ya mtu kutumia mamlaka yake au nguvu zake kumuonea mtu mwingine ambaye hana mamlaka kama yake au nguvu kama zake

Hii ni maana ya jumla,ambayo kwa mada yetu hii unatakiwa kuielezea kwa vipande vipande na kulenga mada. Labda nikupe mfano ili upate kuelewa usije kuona umejibu swali kumbe hujajibu swali. Kwa mfano mwanamke kutokufanya kazi na kuchangamana na wanaume, huku ni kukatamizwa au ni nini ? (Kisha utarejea kule juu nilipo kuuliza swali ya kuwa je unaujuaje ukandamizaji).

Pili, katika mijadala kama hii yenye kuangalia uhalisia na ukweli wa mambo, usiwe unapendelea kusema "Kwangu mimi ukandamizaji.... ". Hapa kunaibuka maswali mengi sana ambayo yanadhoofisha kauli yako yako bali yana ashiria "ubishi" na si kujifunza,na kauli hii ni ngumu sana kuiepusha na MAKOSA.

Tuendelee ....
 
50/50 namna gani hapa? Hawa hawa viumbe ambao kukiwa na mende ndani au panya achilia mbali nyoka hata kama kuna mtoto wa kiume wa miaka saba tu ndani ndiye watakayemtumainia au wengine?

Ndoa ni taasisi lazima iwe na utawala madhubuti,fahari wawili hawakuwahi kukaa zizi moja wakaiva....katika family level baba ni kichwa cha familia hili halitopingika ila ikumbukwe kuwa kiongozi haimaanishi unyanyasaji na ndio maana leo hii hata wanafunzi wanapokua darasani huchagua mamonitors na mamonitress au cr's kwa lengo la kuwaongoza wengine.... Mtakua na sheria,taratibu au sera zenu zinahitaji kusimamiwa na mwisho wa siku maamuzi ya wachache (viongozi) yatahitajika ilu kuliokoa jahazi.

Mwanamke kwa level ya familia bado atastahili kumtii mumewe kama kiongozi wake na mumewe kumpenda na kumtunza mkewe kama muongozwa wake,suala la fifty fifty hata asili ya maumbile inalikataa,ajitokeze mwanamke leo hii adai fifty fifty katika majukumu tuone mwisho wake,mke anastahili kupendwa,kutunzwa,kuheshimiwa lakini kamwe hili halimpi uhalali wa kuwa sawa au kuwa juu ya mume wake...kuna kuoa na kuolewa sio kuoana
You have nailed it,na huu ndio ukweli kabisa sasa hiyo 50/50 sijui wataipataje,wanawake wanachekesha kwa kweli..zaidi ya mdomo mwiingi na umbea sijui kitu gani kingine wanawake wanaweza..maisha yakimpiga au yakiwa mabaya kwenye familia huwa hawana uvumilivu hapo atatumia kiungo cha chini ajikimu kumbuka hawa maisha yao ni ligi na kujilinganisha ni tofauti na wanaume tunapiga moyo konde na kupambana ila wakiwa na tuhela ndio utawasikia na hizi nyimbo za 50/50
 
wewe una mtizamo kama wangu ukihangaika na eti kutafuta kupendwa au kumridhisha mtu utapata tabu sana,binafsi naamini pesa itanipa furaha maana nikitaka mwanamke ni rahisi na sitaki mwanamke wa kufuga tuanze kuzinguana noo,nafurahi sana kuwa introvent maana naweza kuishi alone bila tataizo na vitu vya kunipa furaha ni zaidi ya mwanamke,napenda adventures sana,kimbembe wanacho wale wanaume ambao wanategemea furaha kutoka kwa mwanamke hao lazima waisome namba na waumie moyo kweli kweli na ndio hao wanaua na kujiua na kuvurugwa kabisa na mambo ya mahusiano
Yeah this makes a lot of sense. Better uwe na Pesa itakuweka karibu na mambo yanayokupa furaha na ni satisfaction guarantee!

Kuanza kupasuana kichwa na the so called love ni kichefuchefu. Huna control na moyo wa mtu. Leo anakupenda kesho anakuletea mapicha picha.

Ukiangalia deep down unamenyeka zaidi kwa invoice wakati unaeza vuta kitu ukapiga na kunyoosha goti. Binafsi i thought critically nikaona kwa sasa nachokitaka ni 😼 tu! Non else. Muda unaobaki ni wa kutafuta hela tu!
 
Back
Top Bottom