Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Hutakiwi uangalie mtazamo wangu au wako,tunachotakiwa kuangalia ni upi usahihi, ndiyo maana nikakupa wasaa uweke ushahidi,hili linaonyesha wazi kabisa kwamba huna ushahidi zaidi unaishi kwa kusikia maneno ya watu, na hii ni ishara tosha ya kuonyesha huitumii akili yako vizuri bali unaongozwa na hisia kuliko ukweli.

Siku nyingine ukiwa una toa tuhuma hakikisha una ushahidi, na ujifunze kuutafuta ukweli na siyo "Qila wa Qala".

Ahsante.
Toa wewe mifano vile Mimi situmii akili kwanini usiquote wenye akili. Mimi nimeandika hisia leta Sasa hzo facts
 
"everything is about me , I don't care about others think about me"

This is a very selfish statement I have ever encountered in my life. This describes exactly what kind of a person ur are! Anyways pengine sababu ni mwanaume anakuambia uumbe radhi ndy maana umekuwa reluctant, Basi consider hata kuwa unaomba radhi for the mankind sake.
Wewe umeona yangu selfish mwambie huyo mwenzako aombe msamaha kwanza.
Sijaona haja ya msamaha na sioni tija yake hafu turudi kwenye mjadala acheni kutafta upenyo
 
Mjadala umeutia doa tayari.
Wewe umeona yangu selfish mwambie huyo mwenzako aombe msamaha kwanza.
Sijaona haja ya msamaha na sioni tija yake hafu turudi kwenye mjadala acheni kutafta upenyo
 
Upo sahihi madam, hii inatokea kwa pande mbili, lkn hapa niliangalia kwa upande mmj na ndy maana niweka title kwa "wanaume wanandoa".

Ila ukigongwa nje unamkomoa nani sasa? Najua utapata relief ya muda ila impact will still be there. Kwanini usikae chini na mwenzako myajenge, na Kama hamtoelewa then mjipime kama Kuna haja ya kuendelea kuwa wanandoa.
Nimekujibu kutokana na wewe humo ndani kuandika kwamba anayevunja ndoa ni mwanamke tu au mwanamke ndio mwenye makosa tu!! imenishangazaaaaaaaa!! inaonekana ufikiriaji wako ni kimfumo dume sana uubadilishe la sivyo kila mwanamke utamuona mbaya mbele yako.. Kuna muda wa wewe mwanamme utambue kama umekosea na sio kujifanya mwanaumeeeeeeeeee!! lazima utatuona wanawake hatufai. mwanamke ukiishi nae kwa akili na kwa upendo mbona ndoa itadumu labda awe na ukilaza wake mwengine
 
Sawa, nimekuelewa!
 
Kweli kabsa
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .
Ili ndoa idumu lazima mpendane, mhurumiane mheshimiane, msikilizane hyo ya kuwa juu ni Chaka letu wanaume kuendekeza ukandamizaji tu kwa wanawake
 
Mwanaume au mume kuwa juu haimanishi kuwa ni ticket ya kumuonea mke, au haimaanishi kuwa hakuna upendo, amani, n.k la hasha. Mwanaume kuwa juu maana yake ni kuwa mwanaume au mume awe kiongozi wa nyumba. Mnaweza sikilizana, heshimiana n.k sawa, lkn mwanaume nafasi yake ya yeye kuwa mtu wa mwisho kwenye maamuzi liwepo. Mbona hili hata kwenye vitabu vya dini lipo wazi na hata kiasili lipo hvy. Ndy maana sisi tunatoa mahali, tunawanunulia mashela kipindi Cha kufunga ndoa..... Yaani hii ni fact.

Binafsi siamini katika kumkandimiza au kumuonea KE, hapana, Naamini katika kuridhiana, kuheshimiana, kuvumiliana, n.k! Lkn pia Naamini ya kuwa mwanaume ndy kiongozi wa familia.

Huwezi wewe mke, ukamkaribisha rafiki yako/zako uliesoma nae shule bila ya kunipa Mimi taarifa. Au hauwezi wewe kwenda kwa mfano kuchora tatoo mwili wako bila ya kunipa Mimi mumeo taarifa hata Kama ni mwili wako.
Hapo upo sahh kaka... Kufanya vitu bila kushirikisha mume .. Kujiamulia tuu si vizuri tena si adabu
 
Mungu saidia huyu mtu asitengeneze mtoto maana Kwa muda mfupi tu mtoto huyo ataishi na mzazi mmojawapo.
Pole mkuu ila mi siabudu ndoa. Siko tayari kuishi na mwanaume mchepukaji au mnyanyasaji eti kwa sababu ya ndoa.

Siko tayari!! Bora niishi mwenyewe tu!!
 
Toa wewe mifano vile Mimi situmii akili kwanini usiquote wenye akili. Mimi nimeandika hisia leta Sasa hzo facts
Kwanza acha uoga. Hujaona mfao nilio kupa huko awali ?

Kuna muda tuna waquote nyinyi msio tumia akili ili kuwaonyesha udhaifu wenu na kuwakumbusha wengine, wawe makini na kukukumbusha weee utoke gizani ulipo ukitaka na usipotaka utabaki hivyo hivyo mpaka unakufa.

Facts ni zote ambazo ziko kinyume na wewe na niliyo kuandikia wewe zote ni facts na huwezi kujibu kielimu wala kuzipinga kielimu zaidi kukataa na kufata hisia zako na kukuonyesha hilo huwezi kujibu unayo ulizwa hasa, niliyo kuuliza hujajibu.

Wewe ni lawama tu unatoa hapo na kuniita Sina akili nikikupa jibu moja usianze kulia ka hao wenzako huko juu.
 
50/50 namna gani hapa? Hawa hawa viumbe ambao kukiwa na mende ndani au panya achilia mbali nyoka hata kama kuna mtoto wa kiume wa miaka saba tu ndani ndiye watakayemtumainia au wengine?

Ndoa ni taasisi lazima iwe na utawala madhubuti,fahari wawili hawakuwahi kukaa zizi moja wakaiva....katika family level baba ni kichwa cha familia hili halitopingika ila ikumbukwe kuwa kiongozi haimaanishi unyanyasaji na ndio maana leo hii hata wanafunzi wanapokua darasani huchagua mamonitors na mamonitress au cr's kwa lengo la kuwaongoza wengine.... Mtakua na sheria,taratibu au sera zenu zinahitaji kusimamiwa na mwisho wa siku maamuzi ya wachache (viongozi) yatahitajika ilu kuliokoa jahazi.

Mwanamke kwa level ya familia bado atastahili kumtii mumewe kama kiongozi wake na mumewe kumpenda na kumtunza mkewe kama muongozwa wake,suala la fifty fifty hata asili ya maumbile inalikataa,ajitokeze mwanamke leo hii adai fifty fifty katika majukumu tuone mwisho wake,mke anastahili kupendwa,kutunzwa,kuheshimiwa lakini kamwe hili halimpi uhalali wa kuwa sawa au kuwa juu ya mume wake...kuna kuoa na kuolewa sio kuoana
 
Nimekujibu kutokana na wewe humo ndani kuandika kwamba anayevunja ndoa ni mwanamke tu au mwanamke ndio mwenye makosa tu!! imenishangazaaaaaaaa!! inaonekana ufikiriaji wako ni kimfumo dume sana uubadilishe la sivyo kila mwanamke utamuona mbaya mbele yako.. Kuna muda wa wewe mwanamme utambue kama umekosea na sio kujifanya mwanaumeeeeeeeeee!! lazima utatuona wanawake hatufai. mwanamke ukiishi nae kwa akili na kwa upendo mbona ndoa itadumu labda awe na ukilaza wake mwengine
Dear pitia kwa mangi unywe soda nitakulipia
 
Asante Zoe

Na huo mstari wa mwisho ...
Na wote tuseme ameeeen
Teh teh kazi ipo yaani badala ya wanaume kubadilika wanataka wanawake ndiyo tukubaliane na upumbavu wao

Badala mwanaume aseme ataacha kuchepuka na kumnyanyasa mke wake ndiyo kwanza anasema kama hawezi kuvumilia aondoke
 
Mimi nilishasema sitakaa nifuate tamaduni za kiafrika nitafanya kile ninachotaka mimi tu. Ilimradi simdhuru mtu wala sivunji sheria za nchi basi hayo mengine kwangu ni upumbavu.

Unakubali kwamba hujakamilika ?

Sasa unachotaka wewe ni kipi, na huku unasema unafata sheria za nchi ? Kwani sheria za nchi hazina utamaduni au mlengo fulani ?
 
Basi unafurahii mwenyewe hapo ......!!

Ila nilichogundua wewe siyo pasua kichwa Kama nilivyokiwa nafikiria awali, sema unajichetua tu na bado hujayaelewa vzr haya Mambo.
 
Back
Top Bottom