Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
Nini maana ya fitina na ukweli ni nini hasa ? Je ukweli ni ule ambao wewe unaufasiri au ule ambao unaafikiana na hali hilisi ?
 
Hizo porojo zote muamuzi ni pesa!

If you have money + wisdom then you can live a very wonderful life without having to entertain any bullshit! Kama u kapuku then you will have to eat all the plain shit in this world sio kwenye ndoa tu bali popote pale ulipo!

Ukiwa na pesa utakuwa na a million times of options ya kuchagua mwanamke unayemtaka na kumshape jinsi unataka kama atazingua pia remember,

"Its okay to say no..Its okay to start over again..its okay to be alone!"
 
Don't make everything about you my friend, ur statement inaweza hurt others wenye Imani ile na kuharibu uzi mzima, just be matured ànd apologize, sadly umefunga PM yako, ningekuja huko huko kukusihi.
Mimi huwa si mnafiki wa nafsi yangu I hit direct my point no meandering like river. Yeye kaanza utopolo na mie nikamalizia
 
Akili kubwa ni inayofikiria beyong or outside the box.
Ina maana hata mfabo huna bibie ? Hilo box lina sifa gani ? Je yule anayefikiria kumtumia mwanamke kama bidhaa yeye una muweka wapi ? Au yule anaye weka kila kitu mahala pake ? Kauli yako inataka maelezo na mifano kadhaa.
Hyo feminist ni nyie mnaisema ndo nikauliza do you guys know the real meaning of feminist au mumecrelishwa tu
Ndiyo maana nimekuuliza wewe na kama una ujuzi na hili tamko pia unaweza kunipa faida.

Na unaposema ya kuwa sisi ndiyo tunasema mambo Feminist, basi sisis nfiyo tutakuwa na maana sahihi ya neno hili kuliko wewe uliye dhidi yetu. Unakubali hili ?
 
Don't make everything about you my friend, ur statement inaweza hurt others wenye Imani ile na kuharibu uzi mzima, just be matured ànd apologize, sadly umefunga PM yako, ningekuja huko huko kukusihi.
Everything is about me I don't care about what other's think about me, hata yeye kaongea statement mbovu sio yeye tu hata wanaume wengine humu na sihitaji chochote my apology won't change anything about what I believe so no need of doing it.
Huna haja ya kuja PM kufanyaje Sasa
 
Kuwa na hekima na vyote vyote
Safi kabisa, kwa maana hiyo hao unao wasema ndiyo wako sahihi zaidi kuliko unavyowaona wewe sababu wameweka kila kitu mahala pake na hii ndiyo maana ya HEKIMA na elimu wanazo, na wewe ndiyo unafanya dhulma kwa kuondoa kitu mahala pake.
 
Bro money can buy a woman and love but not True love, at some point binaadamu atahitaji penzi la kweli, ambalo hawezi nunua na pesa.
Hizo porojo zote muamuzi ni pesa!

If you have money + wisdom then you can live a very wonderful life without having to entertain any bullshit! Kama u kapuku then you will have to eat all the plain shit in this world sio kwenye ndoa tu bali popote pale ulipo!

Ukiwa na pesa utakuwa na option ya kuchagua mwanamke unayemtaka na kumshape jinsi unataka kama atazingua pia remember.

"Its okay to say no..Its okay to start over again..its okay to be alone!"
 
Ina maana hata mfabo huna bibie ? Hilo box lina sifa gani ? Je yule anayefikiria kumtumia mwanamke kama bidhaa yeye una muweka wapi ? Au yule anaye weka kila kitu mahala pake ? Kauli yako inataka maelezo na mifano kadhaa.

Ndiyo maana nimekuuliza wewe na kama una ujuzi na hili tamko pia unaweza kunipa faida.

Na unaposema ya kuwa sisi ndiyo tunasema mambo Feminist, basi sisis nfiyo tutakuwa na maana sahihi ya neno hili kuliko wewe uliye dhidi yetu. Unakubali hili ?
Wewe unanichosha tu huelewi hata swala dogo la Feminist Tena limeletwa na wenzako, wengine Wana harakati blah blah chineke ooh
 
Hahaaa watu bana wengine wakiguswa hustuki au uzalilishaji mpaka ifike kwa Imani yako. Jifunze kutetea Jambo lolote kwa haki bila kujali dini ya ntu.
Naomba nisaidie kitu kimoja Dada yngu ameshambulia Iman yko au amekushambulia ww Binafsi...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Safi kabisa, kwa maana hiyo hao unao wasema ndiyo wako sahihi zaidi kuliko unavyowaona wewe sababu wameweka kila kitu mahala pake na hii ndiyo maana ya HEKIMA na elimu wanazo, na wewe ndiyo unafanya dhulma kwa kuondoa kitu mahala pake.
Hyo ya kuwaona wako na hekima zaidi ni mtazamo wako sio mimi
 
Hyo ya kuwaona wako na hekima zaidi ni mtazamo wako sio mimi
Hutakiwi uangalie mtazamo wangu au wako,tunachotakiwa kuangalia ni upi usahihi, ndiyo maana nikakupa wasaa uweke ushahidi,hili linaonyesha wazi kabisa kwamba huna ushahidi zaidi unaishi kwa kusikia maneno ya watu, na hii ni ishara tosha ya kuonyesha huitumii akili yako vizuri bali unaongozwa na hisia kuliko ukweli.

Siku nyingine ukiwa una toa tuhuma hakikisha una ushahidi, na ujifunze kuutafuta ukweli na siyo "Qila wa Qala".

Ahsante.
 
"everything is about me , I don't care about others think about me"

This is a very selfish statement I have ever encountered in my life. This describes exactly what kind of a person ur are! Anyways pengine sababu ni mwanaume anakuambia uumbe radhi ndy maana umekuwa reluctant, Basi consider hata kuwa unaomba radhi for the mankind sake.
Everything is about me I don't care about what other's think about me, hata yeye kaongea statement mbovu sio yeye tu hata wanaume wengine humu na sihitaji chochote my apology won't change anything about what I believe so no need of doing it.
Huna haja ya kuja PM kufanyaje Sasa
 
Yeah its true bro, but sio kila mtu ana muda wa kupoteza. Nadhani miongoni mwa vitu vinavyotupotezea mda na malengo vijana wa kileo ni the so called true love. Watu wamekuwa so fake bora uchunge pesa yako zaidi!

Bro money can buy a woman and love but not True love, at some point binaadamu atahitaji penzi la kweli, ambalo hawezi nunua na pesa.
 
Back
Top Bottom