Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Umeelewa lkn alichoambiwa aombe radhi? It has nothing to do na issue za gander.
Aombe radhi kwa lipi na wakati alikuwa anajibu mashambulizi..
Ulitaka amuache yule hivihivi???
Yule kamuattack huyu dada personally..naye dada kajibu hivyohivyo.

Mbona mnaanza kumng'ang'aniza dada wa watu afuate akili yenu.
 
Kwahiyo nyie attack zenu kwa wanawake mnaona ni sawa?
Ila hii ya huyu dada mnaona si sawa..

Yaani ni sawa na kumpangia huyu dada pa kumpiga adui.
Adui amempiga dada ngumi ya tumbo,dada akamtandika na teke la kichwani nyie mnasema hapana,usingempiga kichwani..ungempiga tumboni.
Naah, hata michezo ina sheria zake, mfano kwenye boxing unaruhusiwa kupiga ngumu tu na sy teke, kwenye kick boxing teke na ngumi etc, na ukienda tofauti unakuwa disqualified.

Hii mada ingekuwa ni mmb ya dini hoja yake ingekuwa relevant Ila yeye kaingiza issue ya dini ktk masuala mengine, na sjui kama unajua namna gani mmb ya dini yalivyo sensitive.
 
Ni shida imagine Hawa ndo wababa wa familia wanafikiria mtu kuwa mwanamke ndo wakupangiwa chakufanya loh
Hata sija violate any rule ya JF nimejibu ukweli ule ni umalaya tu wa kimfumo dume. Hafu nyie wanaume kila siku mnafanya discrimination kwa wanawake humu JF Tena nitaanzisha Uzi hapa ili JF waseme na wao Wana support hzo discrimination zenu.
Hapo pa hisia umenichekesha mkuki kwa nguruwe eeeh mtamu nyie daily kuzalilisha wanawake huwa sio hisia, idio.t kweli nyie na bado
Siombi radhi kwa huo utopolo wenu wanaume suruali
Naona anatumia nguvu kubwa kukutaka uombe radhi na wakati sioni kosa pale.
 
Naah, hata michezo ina sheria zake, mfano kwenye boxing unaruhusiwa kupiga ngumu tu na sy teke, kwenye kick boxing teke na ngumi etc, na ukienda tofauti unakuwa disqualified.

Hii mada ingekuwa ni mmb ya dini hoja yake ingekuwa relevant Ila yeye kaingiza issue ya dini ktk masuala mengine, na sjui kama unajua namna gani mmb ya dini yalivyo sensitive.
Mada ilikuwa ndoa..
Yule kaka ameenda kumuattack dada,we unaona hapo alikuwa sawa???

Haya amejibiwa Kama alivyopaswa..
Ulitaka amjibu nini?
Yaani mtu amekuattack badala ya kujibu mapigo Wewe umjibu kitu kingine..inakuja kweli???
Ni sawa na mtihani wa kiswahili Wewe unaenda kujaza namba.

Dada yupo sahihi tu...sema amemuweka ngumi imemkolea mwanaume mwenzenu halafu mnakaa kumtetea tetea..
 
Sawa!

kweli wasanii sio watu wa kuwaamini huwa wanatunga matukio tu ili asisahaulike kwenye media.
Wasanii wengi ni kiki Tu na kuzusha jambo

Mwanamke akusaliti halafu wewe uombe msamaha mrudiane?Ina make sense?
 
Hakuna radhi yoyote ya kuombwa hapo..
BTW kitu alichoongea ni kweli kabisa,najua hata Wewe unakubaliana naye kabisa kwamba ni sawa[emoji3].

Amepangua hoja zenu mnataka mumshikilie sasa kwenye radhi.
 
Hyo mahari isiyofika milion huwezi fananisha hela na utu
hivi nyie wanawake wa 50/50 utu gani ambao mnanyimwa? hoja ni kwenye ndoa lazima awepo bwana mwenye uamzi wa mwisho bila wimbo wa 50/50 ambao hautekelezeki ni sawa na kuwepo ma boss 2 kwenye ofisi moja,haiwezekani..kanuni ni moja the boss is always right na mume yuko right mkuu
 
Umeongea vema sana mkuu.
Hizi ndio principles zangu ninazotumia.
Huwa ni mtu mstaarabu na mpole lakini kuna mpaka nimeuweka,akivuka hapo huwa nageuka na kuwa mbogo.
Msingi mkuu wa yote hayo ni kosa la kuchagua mke. Kuna mahali nilisema mke wa ndoa anapaswa kutambua kuwa ndoa sio uwekezaji wa 50/50. Ili ndoa idumu ni LAZIMA kuwe na clear line kati ya mke na mume, kwamba ni nani mwenye ndoa!!

Sasa kwa ndoa za kisasa ambapo mwanamume na mwanamke wana hisa sawa mwenye ndoa, inahitaji mke mwenye busara na malezi bora mno. Wengi wanaingia wakiwa na mtazamo wa kiuanaharakati ndani ya ndoa ndio products za kina Kiria hizo.

Nikisema mume awe mume namaanisha kwamba mke anatakiwa atambue wazi kuwa maisha yake yanategemea ndoa, kwamba bila ndoa basi dunia kwake ni chungu. Kama ukioa mke ambaye ana mtazamo wa kuwa ukiona sifai nirudishe kwetu, basi jua hukupata mke bali mwanamke. Siku hizi kuna ujinga fulani umetamalaki, kwenye send off ni kawaida kusikia wazazi wa mwanamke wakisema binti huyu hajafukuzwa kwao, hivyo ukiona kakushinda mrudishe kwa amani. Ukisikia kauli kama hiyo jua mwanamke huyo atabaki na connection na watu wa kwao na atakusumbua kweli.

Nikija kwenye swali lako, mke akikuletea hayo wala hakuna haja ya kuita vikao, MWONYE. Wewe ni mume, umetoa mahali kujenga mji wako sio wenu. Akikusikia umepata mke, la hajakusikia basi jua iko sauti anayoisikiliza huko nje, yaweza kuwa kidume au mashoti zake. Hapo sasa kama atakuwa anarudia na kuleta dharau na kiburi KUWA MWANAMUME. Mrudishe kwao akapumzike kwanza, hilo litamshitua mno kama ni mke anayestahili ndoa, tena hawezi kucheza na mambo yako ya msingi.

Mwanamke ukimruhusu akudharau basi jiandae kwa maumivu makubwa zaidi. Lazima ajue kuna mahali umechora mstari na kwamba hatothubutu kuuvuka. Akishajua hilo atakuheshimu na ataogopa kukuletea ujinga. Lakini kumbuka wewe pia unapaswa kuwa mume mwenye kujitambua.
 
hivi nyie wanawake wa 50/50 utu gani ambao mnanyimwa? hoja ni kwenye ndoa lazima awepo bwana mwenye uamzi wa mwisho bila wimbo wa 50/50 ambao hautekelezeki ni sawa na kuwepo ma boss 2 kwenye ofisi moja,haiwezekani..kanuni ni moja the boss is always right na mume yuko right mkuu
Yani siwezi kuruhusu mtu aniamulie maisha yangu au nitakacho kisa ndoa that's never to me, ujue never nafanya ninachojiskia kwa usahihi na sio eti kisa wewe mwanaume, hyo hakuna vichwa vingine bangi tupu kwanini viachiwe vifanye maamuzi.
 
Ukiona mtu anaanza kukupigia ramli ujue ameishiwa hoja.

Ndio Kama huyu Sasa,alishaanza ramli zake.
Umeona wao hujikita kuzalilishwa, Sasa sifa yetu kubwa na uanauke wetu ni kuzaa ni tendo la asili kabisa Wala sio adhabu.
Wanaume wa humu wakishindwa hoja huanza ramli chonganyishi
 
Mada ilikuwa ndoa..
Yule kaka ameenda kumuattack dada,we unaona hapo alikuwa sawa???

Haya amejibiwa Kama alivyopaswa..
Ulitaka amjibu nini?
Yaani mtu amekuattack badala ya kujibu mapigo Wewe umjibu kitu kingine..inakuja kweli???
Ni sawa na mtihani wa kiswahili Wewe unaenda kujaza namba.

Dada yupo sahihi tu...sema amemuweka ngumi imemkolea mwanaume mwenzenu halafu mnakaa kumtetea tetea..
Halafu mbona wanatoka nje ya ndoa kwa kushikilia Jambo moja why?
Dawa ya Moto ni Moto tu
 
Back
Top Bottom